Search results

  1. J

    Msaada, mtoto mchanga kutapika

    Hi jf members, Mtoto wangu ana mwezi 1 na wiki 2, usiku huwa anajisokota na kuanza kulia badae anatapika, hili limemtokea mara kwa mara, lakini usiku amesumbua sana kwa hali hiyo hadi nimeogopa, Mwenye utalaamu na watoto wachanga tusaidiane
  2. J

    Tumsaidie anataka kujiua

    Hi jf ndugu yangu mpnz wake ni mjamzito, leo ameenda clinic wamemchukua HIV test akambiwa hana maambukizi na pia VDRL (test for syphilis) akakuta, Kwenye card ya clinic kandikiwa PMTCT 2, VDRL ameandkiwa NR(Non Reactive maana ake hana syphilis) , rh factor postive na blood group O, kumbe jamaa...
  3. J

    Ukiwa na pesa hayaji mapenzi

    Hi , Hii ni kwa mtazamo wangu, maana kuna wimbi kubwa la wadada kukimbilia wanaumme (wazee) wenye pesa na vitu vya thamani, soon hao wazee wakifulia hao wadada hawaendelei kua nao tena. jamani hao si zaidi ya machangudoa wajipangao barabarani? Maana wenyewe wako open, siyo kama hawa...
  4. J

    Mimba miezi 6

    Hi JF members? Mke wangu alianza safari juzi kafika leo huko alikokua akienda ni mbali sana, lakini amenipigia sim anajisikia vibaya tumboni ukizingatia ni mjamzito wa miezi 6, Je, hiyo safari inaweza kumletea madhara ktk ujauzito wake? NB: Alitumia usafiri wa basi, pia ni mimba ya...
  5. J

    Ameingia tarehe 21 mwezi huu katika siku zake

    Hi JF, Kuna rafiki yangu ameniuliza kwamba mke wake ameanza period tarehe hiyo hapo juu, je ni kati ya tarehe hipi akikutana nae anaweza akapata mimba? Wana mwaka mzima kwenye ndoa bila mtoto, dr. kawambia hawana tatizo wote. Watalamu tumsaidie huyu jamaa.
  6. J

    Vyeti vyasaidia watu kupata mkopo CRDB

    Hii tarifa ya kuweka vyeti vya shule/chuo dhamana ili upate mkopo CRDB mimi naona haiko sawa kabisa, kwa sababu unapokopa lazima urudishe mkopo uliokopa, Je endapo utashindwa kurudisha mkopo kwa sababu mbalimbal bank itafanyia nini vyeti vya mhusika? Pia mhusika atashindwa kuomba kazi...
  7. J

    Post graduate ya diploma

    Kuna dogo kamaliza diploma ya ualimu, anaulizi kipi bora kati ya post graduate ya diploma au degree? Na post graduate ya diploma inachukua muda? Wanaojua hii faculty wamsaidie dogo au kwa yeyote anaejua anaweza toa mchango.
  8. J

    Kila kitu Kupost!!! Inakera

    Hi jf! Mm hua nafatilia sana comments za humu jf, kuna watu (great thinkers) wanapost vitu vyenye mashiko na vya kuelemisha na kukosoa mtu mmoja mmoja or society at large, eg. Kuna post nmeona jana inayohusu misiba inavyofanyika ktk tamaduni mbalimbali" na nyingine nyingi. Lakn kuna...
  9. J

    Dawa ya tumbo kwa mama mjamzito ni ipi,

    Hi jf members, mke wangu ana mimba ya miezi minne (4), mwa lakn tumbo linamsumbua sana chini ya kitovu muda mwingine pembeni mwa tumbo, je ni hali ya kawaida kwa akina mama? Je ni dawa gani ambayo anaweza tumia na isimletee madhara? Je ni kipndi gani mtoto huanza kujigeuza tumboni...
  10. J

    Anaweza soma sheria kwa haya matokeo?

    Hi jf members? Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo? NB: history F, Kisw D, english D. (div.3 point 15), education hataki.
  11. J

    Ujauzito

    Hi JF members, Mke wangu ana ujauzito wa miezi 3 na wiki kadhaa lakin chunusi zimemtoka usoni (vichunusi vidogo vidogo lakni vingi), na hii ndio mimba yake ya kwanza. Kabla ya ujauzito usoni alikua soft uson, je akijifungua zitaisha zenyewe? Je kipindi cha pre_natal stage wanawake wengi...
  12. J

    Ananishangaza sana huyu mama

    Habari zenu Jf members, Mm ni kijana (me) , kuna mama mmoja jirani yngu age within 40-45yrs na bint yake tulimaliza nae chuo mwaka juz, so huyu mama nakama my mumy. Kinachonishangaza ni kwamba nikimsalimia anaitika"marahaba shemu" badala ya mwanangu , and she always call me "shem" no matter...
  13. J

    Stashahada and certificate

    Hi great thinkers, Kama kuna mtu mwenye PDF ya walimu wa stashahada na grade A, apost hapa tuwasaidie ndugu zetu hawa, Hv nice sunday
  14. J

    Ushauri walimu

    Msibabaishwe na tetesi za watu wanaojisikia kupost chochote afikiriacho, kwani hata kama akiandika uongo na kupotosha jamii ajira zenu ziko palepale, watu kama hao hawakosi ktk jamii. Ni haki ya mtu kuongea chochote kile ilimradi asivunje sheria ya nchi, lakini kwa mtu msomi anatakiwa aongee...
Back
Top Bottom