Search results

  1. Kim Jong Jr

    Natafuta kiwanja Goba

    Wakuu, Nina Milion 4.5 tsh natafuta kiwanja eneo la Goba lenye ukubwa wa mita za mraba 400 yaani 20/20. Kama unajua au una kiwanja njoo unifanyie biashara.
  2. Kim Jong Jr

    Nina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji, natafuta wateja

    Habari wadau Nina idadi kubwa ya kuku wa kienyeji hapa dar es salaam. Naomba kujua kama kuna mtu ana mgahawa au connection na restaurant/hotel yoyote anaweza kuniunga ili tufanye kazi. Kuku wangu wana wastani wa kilo 2½ mpaka 3½ na bei ni shilingi elfu 11 kwa kuku mmoja. Nakaribisha...
  3. Kim Jong Jr

    Diamond atoa lugha chafu kwa mashabiki

    Katika hali isiyo ya kawaida diamond amewatolea maneno machafu mashabiki waliomkosoa tabia yake ya kutembea hovyo na Wasichana hali inayomkosesha Amani Mpenzi wake, Zari. Hali hiyo imejitokeza kwenye post aliyoiweka diamond kwenye Ukurasa wake Wa Instagram akimtakia Heri ya kuzaliwa Zari.
  4. Kim Jong Jr

    Computer Inasumbua

    Wadau computer yangu ni aina ya Dell ina RAM 4GB na Local disc space ni 300GB... Mpaka sasa nina documents za GB 1 tu!!!! ila kila program ninayotaka kuitumia computer inakuwa nzito sana.. Inachukua muda mrefu kuzimika na Muda mwingine inaandika "Program not responding" . Sijui tatizo ni...
  5. Kim Jong Jr

    Mastaa wa Tanzania tujifunze kwa mastaa wa kizungu

    Tangu yametokea maafa ya mafuriko na kuua zaidi ya wananchi 300 katika nchi ya Sierra Leone Sijaona star hata mmoja wa kitanzania alietoa pole kwenye mtandao wake wa kijamii. Najua wengine watakosoa na kusema kutoa pole ni suala binafsi. Nakubaliana na hilo ila mbona MASTAA wa kizungu wamekuwa...
  6. Kim Jong Jr

    Tulikuwa tunavaa nusu uchi kabla ya wazungu kuja, iweje leo tunaona haifai?

    Kwa waliobahatika kusoma somo la history tuliambiwa kuwa kabla ya ujio wa wakoloni jamii nyingi za kiafrica zilikuwa zikitembea bila mavazi. Walikuwa wakivaa magome na ngozi za wanyama. Jamii zingine zilikuwa zikiishi uchi wa mnyama kabla ya ujio wa mzungu alieleta mavazi. Swali langu ni je...
  7. Kim Jong Jr

    Kumbe Barack Obama ni mkristo?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikisia kuwa Barack Obama ni muislamu. Leo nimekutana na hii interview aliyoifanya Obama na kugundua Rais huyo anaeenda kumaliza muda wake wa kukaa pale Magogoni Ya marekani ni mkristo wa kutupa..... Obama's Religious Beliefs Onyo: Hii thread sio ya kidini ila nilitaka...
  8. Kim Jong Jr

    OPERATION SUSIA MAGAZETI UCHWARA

    Habari wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima ikichangiwa kwa kiasi kikubwa na maswali ya kipuuzi yaliyoulizwa na wahariri uchwara Jana kwenye press ya mheshimiwa na wahariri.... Kutokana na imani niliyokuwa nayo kwa hawa wahariri uchwara na vimagazeti vyao ambavyo vilikuwa vinanipotezea...
  9. Kim Jong Jr

    KERO: Honi kali za daladala za Mbagala na Gongolamboto

    Habari za wikendi wanaJamiiForums, Kama title ya thread inavyojieleza, kumekuwa na ongezeko la magari yenye honi kali kama za treni au meli hususani daladala za Mbagala na Gongolamboto. Honi hizi kali zimekuwa ni kero kwa abiria na watumiaji wengine wa barabara. Nikiwa kama mtumiaji mkubwa wa...
  10. Kim Jong Jr

    WezeshaMamaLisheTanzania

    .
  11. Kim Jong Jr

    Mlima Kilimanjaro upo Tanzania

    Kichwa cha habari kinahusika... Wale majamaa wa nchi jirani wanaoongoza dunian kwa kupigwa na wake zao kila kitu kilichopo tanzania wao wanakitangaza kimataifa kuwa kipo kenya..... Leo naanza rasmi kampeni maalumu ya kutangaza maliasili zote zilizopo tanzania ambazo manyang'au yamekuwa...
  12. Kim Jong Jr

    Chukua tahadhari eneo la nyuma ya chuo cha Ustawi wa Jamii

    Habari wanajamvi... Siku za hivi karibuni kumezuka kikundi cha vijana waharifu wanaotumia mapanga, visu, fimbo na malungu kufanya unyang'anyi kwa raia wa eneo tajwa au wapita njia wasioishi eneo hilo.. Mwezi uliopita Mwanafunzi wa chuo cha ustaw wa jamii alinusurika kifo baada ya kucharangwa...
  13. Kim Jong Jr

    Naheshimu maamuzi ya mahakama lakini kwa hili. ..

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Musoma, imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka 27 jela, Mkami Samo (20), mkazi wa Mtaa wa Lumumba baada ya kupatikana na kosa la kuvunja chumba cha darasa la awali na kuiba madawati na viti vyenye thamani ya Sh395,000, mali ya Happy Athumani. Chanzo...
  14. Kim Jong Jr

    Tahadhari ya Tapeli wa Ajira

    Poleni ndugu zangu wote mlio katika changamoto ya ajira either ya kuajiriwa ama kujiajiri.. Napenda leo kushare utapeli niliotaka kufanyiwa na mpuuzi mmoja aliejifanya ni mfanyakazi wa VODACOM MLIMANI CITY. Ilikuwa jana tarehe 7.01.2016 nilipigiwa simu na rafiki yangu ambae nilimaliza nae chuo...
  15. Kim Jong Jr

    Mfano wa Picha ya Mto Msimbazi ulivyokuwa

    Mfano wa Picha ya mto msimbazi kabla ya kuvamiwa na wananchi walioanzisha makazi yao maeneo mbalimbali unapopita mto huo Huu ni muonekano kwa sasa eneo la mto lilivyo mara baada ya uvamizi wa wananchi na kuanzisha makazi yao kinyume na sheria Kesho Tarehe 5.1.2015 zoezi la ubomoaji...
  16. Kim Jong Jr

    Mchungaji Rwakatare acharuka Ubomoaji wa Jengo lake lililo ndani ya eneo la bahari

    Mama Rwakatale amepinga zoezi la ubomoaji wa nyumba yake usiendelee kwa sababu mahakama imeshawahi kutoa maamuzi kuhusu sakata hilo la jumba lake lilijengwa kwenye hifadhi ya Bahari.. ----------- Baada ya nyumba yake kuwekewa alama ya kutakiwa kubomolewa muda wowote kuanzia Januari 6, Mchungaji...
  17. Kim Jong Jr

    DONALD TRUMP

    Donald trump amesema kuwa Barak obama na Hilary clinton ndio waliounda kikundi cha kigaid cha ISIS Pia Unaweza kusoma kwa undani zaidi kupitia hapa kwenye mtandao wa CNN kuhusu hilo Trump: Clinton, Obama 'created ISIS' - CNNPolitics.com Ni miezi miwili tu tangu raisi wa Urusi Putin...
  18. Kim Jong Jr

    GARI LINAUZWA

    Gari aina ya Brevis namba B linauzwa..Gari lipo katika hali nzuri kabisa... Bei ni milion 8.5 ila maongezi yapo... Kama unania ya kununua gari hilo unaweza kuwasiliana na mmiliki wa gari husika kwa namba 0787194181au 0716521717 Mmiliki na gari lenyewe wapo dar es salaam.. Nimejaribu kuweka...
  19. Kim Jong Jr

    Ujumbe wa CRDB leo usiku

    Tunaomba radhi kuwa matawi yetu yanayofungua siku za Sikukuu kesho tarehe 01/01/2016 hayatofunguliwa. Huduma za ATM,Fahari Huduma na SimBaking zitaendelea kufanya kazi.
Back
Top Bottom