Search results

  1. Kim Jong Jr

    Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

    Wakati wenzako wanasoma Geography kuhusu circle ya formulation ya mvua ulikuwa bize kula kamasi
  2. Kim Jong Jr

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Hahahaha chizi mmoja wewe! Mbona hamzuii umasikini Kwa maombi au Ajali za Barabarani Kila siku zinaua watu mbona hamzizuii Kwa kuomba! Jinga kweli wewe
  3. Kim Jong Jr

    Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    https://www.reuters.com/world/africa/world-bank-suspends-tanzania-tourism-fund-over-abuse-allegations-2024-04-24/#:~:text=DAR%20ES%20SALAAM%2C%20April%2024,evictions%20by%20rangers%20last%20year.
  4. Kim Jong Jr

    Kinara wa demokrasia na haki za binadamu duniani anatumia nguvu kuzuia maandamano ya amani kupinga mauaji Gaza

    Wengi ni Diaspora kutoka Palestine na middle east kwanini wasirudi kwenye nchi zao wakaandamane?
  5. Kim Jong Jr

    Mbunge Mohamed Issa: Ajira za Wazanzibar zimechukuliwa na Wageni

    Dawa Hicho kisiwa kigeuzwe kuwa Mkoa
  6. Kim Jong Jr

    Majanga yanayoikumba Dunia, chanzo adhabu Toka Kwa Mungu, tugeuke na kutubu

    Wenzenu hayo majanga wanasayansi wanajifungia ndani waje na Majibu nyie mnataka kutubu ,😂😂😂😂 Kweli Africa ni mang'ombe
  7. Kim Jong Jr

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Mondi kawabania wakina BabaJuni yule dancer wake Hadi wametoroka wako zao Marekani. Nenda kafuatilie vizuri sababu ya wao kutoroka wcb mkuu naamini utakuwa unajua! Ila ile sababu ikiwekwa hapa tutakimbiana!
  8. Kim Jong Jr

    Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Kumbe IDADI ya watu ndio kigezo cha muziki kuwa mzuri na kuvuma! Mbona south Africa wana IDADI almost na sisi na wana Amapiano inasikika Dunia nzima. Tangu tunakua tunacheza KWAITO. Kigezo cha IDADI ya watu sio kigezo namba Moja cha muziki kuvuma. China na India zina watu zaidi ya Bilion...
  9. Kim Jong Jr

    Hizi ni baadhi ya fursa za ajira upande wa Soka ukiachana na uwezo wa kucheza mpira

    Somea football agent japo ni gharama Ingia hapa ujifunze namna ya kuwa agent wa soka. Tanzania maagent wa fifa hawazidi 10. https://inside.fifa.com/legal/football-regulatory/agents/how-to-become-a-licenced-football-agent
  10. Kim Jong Jr

    Waziri Jafo: Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma

    Bila Zanzibar kuwa mkoa hizi heka heka hazitaisha
  11. Kim Jong Jr

    Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Africa lazima uchukue tahadhari kabla serikali haijakupa tahadhari! Chunguza wewe mwenyewe unaponunua kiwanja kuhusu hatari ya Hilo eneo. Je ni mkondo wa Maji. Sasa wewe subiri uambiwe au utangaziwe kuwa Hilo eneo ni hatari. Mtu unaenda kuweka kuku wa milion 50 kwenye eneo la mkwajuni...
  12. Kim Jong Jr

    Marehemu Captain G Habash aliwahi sema binti yake ataolewa na tajiri tu

    Ana watoto wawili acha uongo mwingine ni WA kike
  13. Kim Jong Jr

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Sio kwake kapanga. Jirani take pale alikuwa anakaa Mke wa Mwanasiasa maarufu alikuwa na kashkash huko Arusha
  14. Kim Jong Jr

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Gardener kaacha majumba wapi wakati alikuwa kapanga kijitonyama na ndipo ulipokuwa msiba wake ?
  15. Kim Jong Jr

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Tabata wanawake wamejaa UTI sugu! Nenda viwanja classic achana na huko uswekeni
  16. Kim Jong Jr

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Takataka hizo nilipoteza Hela yangu Bora utafute Spray Original
Back
Top Bottom