Search results

  1. GISAMBO

    Tetesi: Ajali gari ya IT Mdaula

    Mwenye taarifa ya ajali ya gari ya IT iliyotokea Mdaula nmesikia ilikuwa na abiria wa 5 hajatoka hata mmoja, nilikutana na foleni kubwa hapo saa 10 alfajiri
  2. GISAMBO

    INAUZWA Pressure washer petrol

    Rated voltage/Fre: 220V/50Hz Engine:KM170F/212CC/70*55mm Motor speed: 2800rpm Rated pressure: 2465PSI Max, pressure:2700PSI Flow: 9L/MIN Alternator: Copper Aluminum pump head Plastic pressure pipe and gun Dsm - kimara Call 0686449612 650,000
  3. GISAMBO

    Plot4Sale Kiwanja Bunju B Sqm 1666

    Kiwanja ukifika Bunju Stand pale unaingia Kulia kama 1km watu washajenga kando ya kiwanja kina Hati na akidaiwi Bei n 80m negotiations 0692685475
  4. GISAMBO

    Arusha wadada wawili na mkaka mmoja Driving

    Aweanaishi Arusha mjin atafanya kazi chin ya kampuni na atalipwa kwa week Uwe chini ya miaka 33 Wadada wataendesha mjin leseni ikiwa ya biashara itapendeza zaid ila kikubwa uwezo kwenye driving Mkaka we utakuwa wa masafa marefu wewe uwe na cheti cha driving veta au NIT Tuma cv 0716176602...
  5. GISAMBO

    Kitanda cha chuma 5x6

    Good condition akichezi ata kidogo Ni fully chuma ad chaga chuma Kipo makumbusho Bei 200,000 Unapungufu tunaongea Karbun
  6. GISAMBO

    Dereva wa uber

    Naombeni kufahamishwa wap naweza pata mkopo wa gari ndogo kwa ajir ya biashara ya tax iwe ni bank au mtu binafsi nina kiwanja Bunju kikubwa na kina hati miliki lejesho naweza fanya 150,000 kwa week bila shida au kama una gari waweza nikopesha pia kwa hayo makubaliano Gari za watu hesabu ipoo...
  7. GISAMBO

    Dereva wa uber

    Naombeni kufahamishwa wap naweza pata mkopo wa gari ndogo kwa ajir ya biashara ya tax iwe ni bank au mtu binafsi nina kiwanja Bunju kikubwa na kina hati miliki lejesho naweza fanya 150,000 kwa week bila shida au kama una gari waweza nikopesha pia kwa hayo makubaliano Gari za watu hesabu ipoo...
  8. GISAMBO

    Wana mahesabu msaada wa haraka mambo yamekwama

    Ni hiv nina amaount ambayo siijui (x) nataka niki izidisha mara 0.18 jibu lake ni jumlishe na hiyo amount ambayo siijui(x) nipate 378 msaada Mfanya biashara nime kwama
  9. GISAMBO

    Mabasi ya Tahmeed ni hatari kwa safari yako

    Kuna haja ya serikali kusitisha huduma mara moja kwa kampuni ya usafirisha ya Tahmeed Ambayo inaongoza kwa ajali ambazo zina fanana moto moto kilasiku wao ni moto wameshindwa gundua chanzo cha moto kwenye magari yao nina wasi wasi yatakua chin ya kiwango ndio sababu Nakama yataendelea kutoa...
  10. GISAMBO

    Inatafutwa Masters Room Kimara

    Mwenye nayo ni pm fasta namba yaki
  11. GISAMBO

    HP deskjet 2135 printer Tsh 85,000 latest model

    Nauza printer nimeitumia kama miezi miwili, bado ni nzima vya kutosha, ni HP inkjet 2135 inafanya kazi 3 kwa pamoja ambazo ni: Printing, Scanning na Photocopying. Anayeitaka ani-PM nipo dar
  12. GISAMBO

    Natafuta gari ya M. 5 ya kutembelea

    Isiwe vitz Nipe gari yoyote isiwe na shida tuuh
  13. GISAMBO

    Mtungi wa gas oryx 40000

    Unapatkana makumbusho 0716628257
  14. GISAMBO

    Nyumba inauzwa chap chap Makongo

    Kama ghorofa ina Juu na chini 1. Juu Vyumba vyakulaa 4 Kila chumba kina choo ndani. Sebule kubwa Jiko kubwa na stoo yake Dining kubwa Public toilet Jumla ya varanda za kupumzikia zipo 4. 2. Chini. Sebule, Chumba na choo ndani Pia kuna stoo kubwa sana chini Parking kubwa Kisima cha maji Umeme...
  15. GISAMBO

    HUAWEI P7 AIJATUMIKA SANA 180,000

    H
  16. GISAMBO

    Chemsha Bongo

    Tank Namba ngapi unadhani litakua la kwanza kujaa sio mbaya ukitoa na sababu
  17. GISAMBO

    Samsung galaxy grand duos

    Aina shida yoyote Ina tunza chaji fresh tu. 8 gb internal memory Ni pm Namba yako Kama upo unahitaji Bei 170
  18. GISAMBO

    Msaada: Hivi vidonge sio ARV?

    Naomba jibu kama ndio hiv au ni vya nin ====== Ni hivi, huyu dada anakaa Arusha, nilikutanaga naye kwenye semina moja hivi tukabadilishana contact kiukweli nilitokea kumpenda sana huyu cos ni mzuri sana yani mzurii natamani hata niweke picha zake but nimeona sio poa kisuuu yani white ana...
  19. GISAMBO

    Tuwe makini kesho Bashite Day

    Jamani nawaomba kesho muwe makini na taharifa mbalimbali mtakazo zipokea nyingine zaweza kuwa sio za kweli kutokana na siku ya kesho 1/4/2017 ni siku ambayo watu wengi wana amini ni siku ya wajinga
  20. GISAMBO

    Dar kuna wingu kubwa lakini mvua hainyeshi

    Huwez amin na wingu lote hili Akuna mvua ya maana itakayo nyesha nawaonea huruma watu wanakimbizana buree
Back
Top Bottom