Search results

  1. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Yes naifurahia body ya afrikan woman😁. Sasa hapo kwenye zawadi nyingine ngojea nione jinsi yakufanya pasi ya mambo kuwa mengi. Once again. Thank you🙏🙏
  2. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Kansa ya Shingo ya mlango wa uzazi ni bure kupimwa. HIV ni bure. MOYO ECG ni 30- 36k ECHO ni 140k and above. FIGO Kuna ultra sound na vingine ila ultra sound ni kuanzia 15k. INI inategemea dokta atashauri kipimo gani. KANSA YA MAZIWA Sijawahi kuchekiwa TZ. so sijui gharama zake ila najua...
  3. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Asante kwa kujali mkuu🙏 ila nishaongezeka.
  4. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Asante kwa kujali mkuu ila nishaongezeka na nina furaha na kujifurahia🙏. Ninalala vizuri kabisa na kuamka muda ninaojisikia.
  5. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Dear Missy Gf nime log in kwa lengo moja tu la kukupa asante. Uji wako umenisaidia kipenzi. Nimeongezeka hadi nimepitiliza kidogo😃 ila najipenda hata nguo sasa zinakaa na ngozi imenawiri kama nimetoka uzazi🤣🤣.Ingekua sio kuogopa kuambiwa lipia tangazo ningekurushia kapicha ujionee🤣😃. Anywayz...
  6. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Barikiwa kwa ushauri mkuu ila wataalam wanashauri tusisubiri kuumwa ndo twende hosp.
  7. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Ikiendelea hivi mwezi haufiki narudia mwili wangu
  8. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Utapungua tu dear. Una diet plan unayofuata?
  9. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Jana nimempa mtu hizo ingridients zako na yeye akaniongezea na mchele na mbegu za maboga kanitengenezea unga mzuri. Jana jioni nimeupika nikaweka na maziwa fresh na ya unga kuongeza ladha yaani ni mtamu hatari 😁 halafu unanunikia vizuri sana. Leo nishakunywa vikombe viwili na pia nahisi unaleta...
  10. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Hayo magonjwa yote yamepona mkuu kasoro ACID REFLUX,huo ninao toka niko mtoto,hauna tiba so far. Haujawahi kunikondesha.
  11. Q

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Asante kwa ushauri mkuu. Nitazingatia na cheddar cheese mimi naipenda. Uliongezeka kg ngapi mkuu baada ya muda gani? Barikiwa sana.
Back
Top Bottom