Hii taarifa una uhakika nayo...usitake kushushua hadhi YA JF, SASA inabidi kuhakiki taarifa zinazoletwa humu kama zina ukweli..zamani Jf ilikuwa kisima cha habari zilizofanyiwa upembenuzi yakinifi..sasa hivi mtu akilala akiamka anaposti ujinga
Wadau, nimehamia hivi karibuni Buyuni Italiano kama unaenda Chanika.
Namtafutia mwanangu shule, ili mwakani aanze darasa la kwanza, shule nataka ya taasisi za kidini au watu binafsi, na iwe na usafiri wa kumchukua nyumbani na kumrudishia, sitaki shule zinazowashusha stand watoto na kuwaacha...
Sana nimegonga mademu kama watatu nimekutana nao wote sasa ni wagonjwa nimepima mara kibao kila mwezi...wife kapima wote tuko poa...lakini bao la peku tamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.