Search results

  1. njugilo

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Sasa hizo pesa za kulipia vipindi vya bunge nadhani ni sehemu ya kodi zetu swali langu ni kuwa je TBC hawapati ruzuku toka serilkalini au nayo imebinafsishwa kama UDA ,na kama wanapata sasa kigugumizi cha nini wakati wananchi ndio wanaiwezesha ? Kuna baadhi ya vipindi havina manufaa kwa jamii na...
  2. njugilo

    Some words of wisdom

    Your age
  3. njugilo

    A clever wife

    A clever wife often sleeps with a stupid husband. Is this true wadau
  4. njugilo

    Why most couples get divorce?

    The reason most couples get divorced is not because they get bored with each other. It's because when you're dating, you pretend to be someone you're not. And there's only so long you can hold that off.
  5. njugilo

    Some words of wisdom

    I love it when you run your fingers through my rugged hair, I love it when you get jealous because other boys will stare, I love it when you call me beautiful and compliment me so, I love it when you seem so confused as if you don't know, Ilove the way you stare at me and look into my eyes, My...
  6. njugilo

    The difference between "Simple Friends" and "REAL FRIENDS"!

    This is GOOD. I expect it back too! A simple friend, when visiting, acts like a guest. A real friend opens your refrigerator and helps hi ms elf (and doesn't feel even the least bit weird shutting your 'beer/Pepsi drawer' with her foot!) A simple friend has never seen you cry. A real...
  7. njugilo

    Kwanini watu wanaoana?

    Wana JF, Kuna kitu huwa kinanichanganya hasa kuhusu kuoa au kuolewa yaani ndoa.Si mara moja wala mbili nimekuwa nakatishwa tamaa na kujihoji je huwa upo ukomo wa mapenzi ? Kuna mashauri nimeyafanya na wanafamilia zaidi ya sita na kero kubwa ni kwamba upendo umepungua baina ya wana ndoa na...
  8. njugilo

    Makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa: Kujigeuza kuwa mama wa mumeo

    Na siku ukiwahi kurudi utasikia leo kasafiri umerudi mapema, maana huwa unafika hapa nyumbani sikuelewi sijui unakuwa umenuna au ndo pozi la hapa ndani,anashinwa kujitambua makosa yake ,da ni shida flani hivi,,,,,,,,,,,,,,
  9. njugilo

    Makosa wafanyayo wanawake kwenye ndoa: Kujigeuza kuwa mama wa mumeo

    Upole ukapelekea hata mitoko ikapungua kisha akaja na swali eti kwanini siku hizi hatutoki kama zamani,wakati huo naogopa kufokewa hata huko kwenye mtoko maana ndani ni kama redio ,kiukweli jaribuni kubadilika.
  10. njugilo

    Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Sawasawa ni mkaanga samaki maarufu anaitwa mama Upendo au Mama Mwakasendile.
  11. njugilo

    Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Hizi nyumba zilizobomolewa mwenge zinazaidiy ya miaka arobaini na kama zilikuwa ni maeneo ya wazi je serekali ilikuwa wapi kwa muda huo wote au isije ikawa sababu ni hiyo hoteli inayojengwa hapo karibu ? Nadhani wakaazi wa hapo wanajua na shauri lao lilikuwepo mahakamani je limeshatolewa uamuzi...
  12. njugilo

    17 love songs to enjoy

    1.How am I suppose to live without you – Michael Bolton 2.Nothing compares to you - Sineod Oconor 3.Sometimes love just ain’t enough – Patty Smith 4.If you were with me now – Kylie Minogue 5.Stuck on you – Lionel Richie 6.Killing me softly - Roberta Flack 7.Loving You – Minnie...
  13. njugilo

    17 love songs to enjoy

    1.How am I suppose to live without you – Michael Bolton 2.Nothing compares to you - Sineod Oconor 3.Sometimes love just ain’t enough – Patty Smith 4.If you were with me now – Kylie Minogue 5.Stuck on you – Lionel Richie 6.Killing me softly - Roberta Flack 7.Loving You – Minnie...
  14. njugilo

    Mawazilri waliopita wizara ya ardhi toka 1959

    Nani anaweza toa mafanikio au changamoto za mawaziri hao ? Lukuvi - (2014 - To date) Prof. Anna Tibaijuka - (2010 - 2014) Capt. John Z. Chiligati - (2008 - 2010) John Pombe Magufuli - (2006 - 2008) Gideo Asimulike Cheyo -...
  15. njugilo

    Hii picha ilipigwa Shinyanga nini kilinivutia?

    Kipi kilinivutia kupata hii picha hapo Shinyanga ?
  16. njugilo

    Break relationship

    For more than three months , i use to ask myself this question but today i find is much better to share with friends,Who has the rights to break the relationship ,the one started or the one agreed ? and why it happens the agreed party comes with big dreams (expectations) of success than challenges ?
  17. njugilo

    Message on my phone

    Kiingereza nakielewa vema na tatizo sio kujua maana ya huo ujumbe ,tatizo ni kushituka je ni hakika ujumbe kautuma kwangu au la !
  18. njugilo

    Message on my phone

    Hapo ndio kwangu inakuwa shida ,kwanza the message is still hanging on my head , and need to know why this sms is sent to me ,was it intended or accidental fall to my number ,help please !
  19. njugilo

    Message on my phone

    Nitamjibu haya bila kujua sababu ?
  20. njugilo

    Message on my phone

    Ujumbe umetumwa kwa kiingereza nitaandika vipi kwa kiswahili au labda unahitaji ufafanuliwe !
Back
Top Bottom