Search results

  1. KIFALU

    Mshahara wa sales executive postal bank ni sh ngapi?

    Wadau msaada naombeni kufahamu gross salary ya sales executive postal bank au basic salary
  2. KIFALU

    Nimeitwa kwenye interview postal bank Musoma, je pakoje?

    Tuko pamoja mkuu we nafasi gan uliomba?
  3. KIFALU

    Msimamizi wa lodge Dar es Salaam anahitajika

    Kama umepokea simu 84 c uchague sasa kinachokufanya uendelee kutafuta watu wengine nini sasa kweli jina tu hataree pia yawezekana kweli ni danguro hilo kazi halali weka tangazo open watu wajue na lodge yako iko wapi ha ha ha weka mbali na watoto
  4. KIFALU

    Tamko la Mh. Rais kusitisha ajira kwa muda na utekelezaji wake

    Mie nshaanza mapambano nipate private sector Nipige kazi!
  5. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Mtu unajitahidi kufata vigezo mwisho wa siku wanakutema ha ha ha
  6. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Du mlioitwa tufahamisheni ili tutoe tumaini bank ya postal
  7. KIFALU

    Nafasi za Temporary Credit Clerk za Postal Bank walishaita?

    Wakuu Bank ya postal ilitoa nafasi tajwa apo juu,je kuna walio itwa interview na kupangiwa kazi?Samahanini sana msaada tutani.
  8. KIFALU

    kuhusu kujisajili na NMB bank tellers

    Ndugu sio wew ata mie nimeshindwa kabisa pia wanadai utoe copy ya vyeti certified then uscan combined na cv then ndo uapload du ila mie nataka nikajaribu tena ikigoma naacha2!
  9. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Okay nimepata furaha mana nilikua ONE MAN DOWN
  10. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Mleta mada ndo za limit 25yrs?
  11. KIFALU

    TRA Office Assistant posts, Usaili 18 Juni 2016

    Du mie niliomba za hivi karibuni preventive assistant so cjui ndo zenyewe wanaita au
  12. KIFALU

    0222125506 ni ya shirika gani wakuu?

    Tumekupigia hukupokea hivo next time kua makini pia usichoke kuomba kazi pindi tukitangaza tena
  13. KIFALU

    TANROADS huwa wanaitaje interview?

    Huwa wanapiga cm mkuu we omba then tulia ukimwomba mola
  14. KIFALU

    FNB na Mwalimu Commercial Bank watatujibu lini?

    Ata mie muhanga wa hizo bank niliomba cha msingi tuvumilie uku tukicheki na kwingine!
  15. KIFALU

    Anaejua jinsi ya kupata ajira Mobisol atufahamishe

    Apo lazima upate ilikua mkoa gani hiyo interview?
  16. KIFALU

    Anaejua jinsi ya kupata ajira Mobisol atufahamishe

    Ngoja waje,mie niliomba loan field officer Shinyanga ila cjaitwa,kama umepata kapige kazi mengine mbele kwa mbele
  17. KIFALU

    Serikali ingetoa ajira kwa walimu wote ambao hawakuripoti vituoni

    Acha wafe njaa tena washenziiiii
  18. KIFALU

    Mshahara wa Sales Executive TPB

    Wadau habarini za majukumu,naomba kujuzwa mshahara wa sales executive Tanzania postal bank kwani Mara kwa Mara naona wakitangaza nafasi zikiwa na one year contract ukiajiriwa
  19. KIFALU

    FNB, Mwalimu Commercial Bank mbona kimya

    Mtu anauliza swaliswali badala msaidie apate ufumbuzi badala yake kejeli,ndo mana huwa cpost wala kuuliza kitu jf watu wanadharau sana!
Back
Top Bottom