Search results

  1. Japkas

    Zitto Kabwe: ACT- Wazalendo, hatutajiunga na UKAWA

    Zitto Kabwe # ACTWazalendo Tutaingia kwenye uchaguzi wenyewe. We will go it alone as a party to defend our principles. Mkutano Mkuu wa Chama wa Kidemokrasia ( National Convention) utafanyika tarehe 10 Agosti 2015. Hiyo ni post aliyoiweka kwenye mitandao ya kijamii Twitter na Facebook.
  2. Japkas

    CCM ndio Serikali ya Tanzania na UKAWA itaunda Serikali kivuli

    Kwa vyovyote vile CCM ndio itakayotoa kiongozi mkuu wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wana UKAWA watatengeneza Serikali kivuli. Sioni dalili za UKAWA kuchukua nchi labda waweke nguvu kwenye kuongeza idadi ya wawakilishi wa wananchi bungeni. UKAWA bado hawajajiandaaa.
  3. Japkas

    Maneno haya ni Magumu kwa Mh. Lowassa kuyatamka.

    Ninaamini haitotokea siku Lowassa ayatamke maneno haya mawili kwenye mikutano yake yote ya mbio za uraisi, " UFISADI na UADILIFU. Haya ni maneno mazito na muhimu kwa mgombea yeyote wa urais. Watanzania wanahitaji kuona UFISADI unaondolewa.Sasa kiongozi gani aondoe UFISADI? Je ni FISADI...
  4. Japkas

    Siwezi kuamini kuwa zamani ndio kulikuwa na uaminifu katika ndoa

    Kumekuwa na mijadara mingi ya kuhusu ndoa za zamani na sasa. Na wengi wamekuwa wakituhumu ndoa za sasa kukosa uaminifu na kusifia ndoa za zamani kuwa zilikuwa na real LOVE. Hii mijadara imefanya ndoa ionekane haina maana kwa miaka ya sasa. Lakini kwa utafiti wangu usiohitaji uandishi wa kitabu...
  5. Japkas

    Wanawake wazuri na wanaume wawajibikaji wote wameolewa na kuoa

    Hii ni halisi. Wanawake wote wazuri wako ndani ya ndoa au wameshawahi kupita kwenye ndoa lakini kwa sababu zisizozuilika hawako kwenye ndoa tena. Na kama bado hawajafikia hatua ya ndoa wako kwenye taratibu za ndoa. Lakini kama uko above 30s na bado huna ndoa na hata mchumba huna ila bado...
  6. Japkas

    Sidanganyiki ng'ooo!!!

    Mimi niko na Yesuuuu, Sidanganyiki ng'oo!! Hahahaaaaa. Huu kweli usanii mtu anaimba kile ambacho kwake ni vigumu mno kukitekeleza. Anakwambia hadanganyiki lakini moyoni amedanganywa sauna. ACHA MOVIE IENDELEEE.
  7. Japkas

    Utandawazi unavuruga mahusiano

    Kizazi hiki cha utandawazi kimekuwa kigumu kweli kudumisha mahusiano. Kuna sehemu ambazo utandawazi umefanya mabadiliko makubwa sana. Kama kwenye shughuli za kiofisi, kibiashara na nyinginezo. Lakini linapokuja suala la hii sector ya mahusiano daaaa, utandawazi umeharibu kila kitu. Kiwango cha...
  8. Japkas

    Zamani walichagua kabila kuoa

    Zamani iliwezekana lakini kwa sasa haiwezekani. Makabila yaliyoaminiwa zamani kwa sasa kuna watu fake ndani yake. Endeleeni kuchambua makabila
  9. Japkas

    Hivi huu ujasiri binadamu anautoa wapi?

    Mwanaume/Mwanamke kuingiza mchepuko kwenye chumba anachotumia na mume/mke wake inawezekanaje? Mbaya zaidi kwenye kitanda kilekile unachofanyia majambozi na mwenzi wako wa ndoa. Ni moyo gani mgumu unaoweza kuhimili kuta zikishuhudia mtu wa tatu anaingia kwenye chumba chenye siri ya watu wawili?
Back
Top Bottom