Search results

  1. Japkas

    Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

    Zinaongezwa sio kwamba zinaanzishwa kwa sababu zipo kwa zaidi ya miaka 20. Kigezo hizi Medium school za serikali zinatoza ada kidogo ya uendeshaji tofauti na private schools.
  2. Japkas

    Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hapa tutofautishe kati ya timu kuwa tajiri na timu kuwa na kikosi chenye thamani kubwa. Kuwa na kikosi chenye thamini kubwa si utajiri wa timu
  3. Japkas

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Maamuzi yoyote utakayofanya yana athari kubwa mbele. Chagua ambalo unaona ni rahisi moyo kulibeba. Sometimes ukifikiria sana kuhusu hali ya watoto itakuwaje malezi ya bila wazazi wote endapo mkiachana matokeo yake wanakupoteza wewe. Sio wakati wote ufikirie watoto itakuwaje? Fikiria wakikupoteza...
  4. Japkas

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Bila shaka atakuwa anafuata taratibu zote za kuandaa hesabu. Ikiwa hivyo hiyo 90B si tatizo
  5. Japkas

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Hayafanani. Kampuni moja inaanza na "The" na nyingine haina hilo neno. Hivyo ni kampuni mbili tofauti
  6. Japkas

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Kwa mfumo wa sasa biashara mbili tofauti zinakuwa na TIN namba moja endapo mmiliki wa hizo biashara ni mmoja labda aamue kumkabidhi mke au watoto umiliki wa kampuni mojawapo
  7. Japkas

    Tetesi: CEO wa Simba Kajula Mzee wa kibegi afutwa Simba

    Mangungu anaondolewa na upande wa wanachama ndio wenye mamlaka naye. Hao akina Try again wanasimama badala ya investor bwana Mwamedi so ana mamlaka nao
  8. Japkas

    MPYA Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na k vant huongeza nguvu za kiume

    Na ndio uwe umepiga hayo mavyombo halafu ukatumia na yale maplastic utakesha ni balaa
  9. Japkas

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hii story ina addiction mbaya sana. Muda wote unajikuta unachungulia kama kuna muendelezo.
  10. Japkas

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Hawakuacha wake au waume zao na wala Yesu hakuwaambia waache ili wamtumikie.
  11. Japkas

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Lengo sio kumuacha mme ili kumtumikia Mungu lengo ni ili biashara zake ziende na azifanye kwa uhuru bila kuwa na mipaka.
  12. Japkas

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Tumejifunza kufunika kombe mwanaharamu apite kwa kuondoa mabishano ingawa kukaa kimya hutafsiriwa Kama mnuno. Tukiamua kuongea mahusiano yanakufa maana kuna wakati hamuwezagi kujishusha na hamchagui silaha ya kushusha kwenye moyo wa mtu.
  13. Japkas

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Ameshasema ameyaharibu maisha yake atakuwa anapambana kuyaweka sawa
  14. Japkas

    Naibu Waziri Hamis Mwinjuma 'Mwana FA' ni kirusi kwa ustawi wa michezo, Rais amtoe wizarani

    Mimi naona umeandika kichuki zaidi. Yanga imependelewa kipi? Na F.A hawezi kuua urafiki na GSM kwa sababu ya uwaziri kumbuka kuna wakati alimfaa na kuna kurudi mtaani. Lazima awe na hatua ya kuanzia jinsi ya kuishi mtaani. GSM ni nguli wa biashara. Unajuaje kama anatafuta fursa za kujifunza...
  15. Japkas

    Naombeni ushauri wakuu, mke wangu amezaa na mwanaume mwingine

    Watu mnazungumza habari za watoto mnamsahau mtendwa. Hii kitu hawatakuwa na amani maisha yao yote. Hili jambo linaweza tokeza kifo mbele ya safari si la kuchukulia poa
  16. Japkas

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kodi inakatwa kwenye odds na ndio maana ziko chini kuliko kampuni nyingine. Jaribu kufuatilia
  17. Japkas

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Ingawa ni ngumu kaa kimya endelea na maisha yako huyo hakutaki. Huko mbeleni mtauana. Na bora hata hamjazaa.
Back
Top Bottom