Search results

  1. sawani

    Tukinunua umeme wa TANESCO units ziende automatically kwenye mita ya kisasa. Tuachane na habari za kuingiza TOKEN. Is this feasible and implementable?

    Chief, Hili jambo linawezekana kabisa. Na hakuhitajiki mita nyengine. Hata mita hizi hizi zikibaki bado linawezakana. Kama kuna mpiga domo mzuri humu na anajua anaweza kushawish hili litokee anitafute. Labda tu watunyime kuingia kwenye hizo system zao. Lakina huhitaji mita nyengine. Utakuwa tu...
  2. sawani

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    TUNASEMA WAMEKOSEA HILI AMA LILE. INGELIKUWA KWELI TUNA AKILI HIVI HATA KUSHAURI HAWA WAFANYABIASHARA AMBAO HAWAKUANZA LEO KAMPUNI ZAO, TUNGELISHAKUWA NA MAKAMPUNI YETU NA WASINGEWEZA KUJA KUFANYA BIASHARA HAPA. Ikiwa umeshindwa kuanzisha hata genge, usifikiri unaweza kumshauri mtu mwenye...
  3. sawani

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    Mwanangu ukikubali ukweli huu utavuna kwa wakati wake. Ni mchungu tu mdomoni lakini ni mtamu kimaisha. Jouney to success starts only when you start being responsible for your own mediocre life. Hupewi mshahara mdogo kwa sababu ya ubahiri wa muajiri, bali unapewa mshahara mdogo kwa sababu...
  4. sawani

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    Sasa nimeona nyingine hapa kama hiyo walikufukuza kwa sababu ya ujeuri, safari hii UJIPANGE, u apply tena. Sasa wanataka Cheif Technical and Depute Director huko Manyara. Ni kampuni iyo hiyo. Angalia hiyo link hapo chini. Apply kabla ya tarehe 16 mwezi huu. Siyo ujizungushe zungushe uchelewe...
  5. sawani

    Viettel acheni kutudharau Watanzania

    Umeshajaribu kuwa mtu ambaye usipokuwepo mitambo yao haifanyi kazi halafu wakaendelea kukulipa mshahara uo huo? Hebu jaribu tuona halafu uposti tena matokeo yake. Usijaribu tu hiyo elimu au vyeti ambavyo wengi wanavyo, na ukileta zako watakutimua waite mwengine. Nina wasiwasi mchango wako...
  6. sawani

    Kipina joto (kanum.. Vs .. Lul..)

    Mapenzi ya watu kwa MAREHEMU, na sifa kem kem kutoka kwa SIRIKALI kuwa MAREHEMU amekuwa balozi wetu nchi za nje kantika tasnia ya kujifanya mtu mwengine, kunampa uhalali MAREHEMU kuwa na urafiki wa kimapenzi na mtoto mwenye umri chini ya miaka 18, japo siku zote tunapigia kelele jambo hilo? Na...
  7. sawani

    Mtandao gani wa Simu za mkononi unafikisha huduma ya internet hadi vijinini?

    Wadau natumaini mu wazima nyote. Tafadhali ninaomba msaada kupata taarifa. Ninataunda mitambo ya shughuli fulani zitakazofanyika maendeo ya vijijini. Nitahitaji kukusanya taarifa kutoka kwenye mitambo hiyo. Wazo la kwanza lilikuwa kutumia GPRS na kukusanya data kwenye server. Lakini nimepata...
Back
Top Bottom