Search results

  1. Mziba

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Ingawa posti yako Mkuu Trimmer Ahsante kunivuta shati. Academically ndivyo itakiwavyo. James J. Angleton. Kama binadam wote tulivyo mapungufu hayakosi hakuna aliekamilika. Huyu Mzee Hana sifa nzuri Marekani kwa wanafuatilia. Nafasi aliodumu nayo ya Jasusi Mkuu wa Counter Intelligence...
  2. Mziba

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    Ingawa unalekea kua mwandishi mzuri baadhi ya maelezo yako Kuhusu James Angleton CIA officer 1954-1974 au 75 sio sahihi na mfano wako unaompimanisha Abu Omar (Fugitive extremist) na Sheikh Ponda (Social Justice Advocate), unampoteza msomaji na kumpandia mbegu ya fitna Mtanzania mwenzetu. It is...
  3. Mziba

    Nancy Pelosi: Facebook inaongopea watu

    Facebook Inadanganya Watu asema Pelosi. Spika wa bunge la Baraza la wawakilishi United States, ambae ni kiongozi wa tatu ngazi ya juu Marekani baada ya Rais, Makamu, kisha yeye. Kulingana na gazeti la Los Angeles Times May 30, Spika Nancy Pelosi alisema hayo kuhusiana na video yake iliofanyiwa...
  4. Mziba

    Ndugai kumfananisha CAG na 'Mbwa' ni tusi zaidi ya mtu kusema 'Bunge lina udhaifu' katika kuiwajibisha Serikali

    Mkuu pia tukumbuke kua anaemlisha mbwa na alie daraja ya chini ya mbwa, wote hulishwa na WANANCHI. nakumbuka sinema "all dogs go to heaven" kwa hio, Wananch, wakimkabidhi mtu asimamie, yule aliekabidhiwa hana ruhusa ya kudai yeye ndo mwenyemali. Wote wanalipwa mishahara, lakini wizi wa mabilioni...
  5. Mziba

    Zitto Kabwe: Spika ameagiza Kamati za Bunge za PAC, LAAC, Bajeti na Uwekezaji kutofanya kazi na CAG, tunakwenda Mahakamani!

    Bwana Kabwe, hawa kaka zetu walitutaka sisi tusome, baadhi yetu alhamdulilahi wenye huruma wametupa, Zitto hali za maisha kila mtu anaiona, mimi hili jukwaa hua simchangiji bali msomaji. Lakini siku hizi kukodolea tu nashindwa basi najikuta naishia hapahapa kule kwenye machakachaka yangu...
  6. Mziba

    Spika Ndugai amtaka Prof. Assad(CAG) kufika mbele ya kamati ya maadili vinginevyo atapelekwa kwa pingu

    Ndugu Mussa Assad ni mfano muhimu wa kuigwa kwa Wahasibu wote Tanzania na kwingineko. Ukweli, Uadilifu ni chachu ya taaluma-Accountancy. Alichosema Mussa si kigeni wala si dharau. Hajafichua yaliyomo kwenye repoti. Hii niujumbe kwa viongozi, hasa wa biashara, ukidharau repoti yoyote ya...
  7. Mziba

    Kigoma: Askari Polisi watatu wauawa kwa mishale

    Asante kunishauri niwe Mnafiki ambao mwisho wake ni kifo, Jaribu kuangalia Katiba ujue haki yako. Mwl. Nyerere alisema hivi "Utiifu ukizidi Huzaa Uoga, Uoga ukizidi huzaa Unafiki, Mwishowake ni kifo" Magufuli ni dhalimu. Raia wengi wamepotezwa na Kuuawa wakati wake kuliko, Nyerere, Mwinyi...
  8. Mziba

    Kigoma: Askari Polisi watatu wauawa kwa mishale

    Hakuna sheria inayo mkataza mtu kuweka makazi eneo lisilomilikiwa. Serikali muda wote ilikua wapi? Sheria iliopo kwenye katiba ni kua walipwe thamani iliopo. (market value) endapo serikali itachukua eneo hilo kwa manufaa ya umma. Mfumo Katili umefika kwa wenyenao. Magufuli anataka Tanzania...
  9. Mziba

    Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

    Yeye mwenyewe sitajiri Huyu Ustazi wa Chemistry. Watu wana msemo, jihadhari na MTU anamsotea mwenzie kidole Vitatu vinamuangalia yeye! Haya yote hadi maneno yake yanavunja KATIBA ya Jamuhuri.
  10. Mziba

    Tuunganishe dots utekwaji wa Mo Dewji

    Mistari yako ni hakika. Nilimwambia MTU dhana ya kua ccm wamemtajirisha kijana sasa wanamgeuka. na habari 90,000 skua nayo. wala korosho. Ndio maana Ndungai anapiga ribit wabunge kwenye swala la hela za korisho 1. Hii ni hatari na aibu sana kwa nchi. Yani ametupunguza hadi nafasi ya chini...
  11. Mziba

    Kifo cha dola ya Marekani chawadia rasmi. Iran, Uturuki, Urusi na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke dola ya Marekani

    Why would the EMIRATES do that? you really wanna have African business men wandering around Sharjah looking for FX instead of goin shopping, how about tourists. Emirates would not invite that kind of retaliatory driven gimmick rubbish.
  12. Mziba

    Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

    Weka kipumbu, au tumbula. ok how about bank account? Hiyo haitwi salio dogo, inaitwa saving. mwezi ujao tutakuonyesha jinsi ku-balance cheque book. Natoka baruti, hodari wa kuuliza we. excellent! adios amigo
  13. Mziba

    Wahasibu na wenye uelewa naombeni msaada wenu hapa tafadhali

    Usichanganye revenue ambayo ni mapato ya biashara kwenye mchanganuo wako binafsi hili neno hutumika kwenye kunukuu mapato ya kibiashara. Wala siku yoyote rafiki, usichanganye matumizi ya biashara na matumizi yako binafsi. Ili kupata uhalisia. Umetumia neno "mapato na matumizi yangu" kumbe hii...
  14. Mziba

    Kifo cha dola ya Marekani chawadia rasmi. Iran, Uturuki, Urusi na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke dola ya Marekani

    Blockchains' money could be taken as a consideration for example, but a buck will still be rolling, that's just a tiny fraction of the world wide circulation.
  15. Mziba

    Tz shooting themselves in the foot

    First of all, he needs to know why is Nigeria has been singled out and not the other two which he mentioned, Ghana and Gambia? In addition, why the action has taken place suddenly, what an emergency. There could be a good reason behind it.
  16. Mziba

    Magufuli ni Rais wa kwanza wa Tanzania ambaye hakulelewa na Nyerere

    Swali zuri, lakini kulelewa na mtu haina maana yule anaelelewa atafuata maelekezo ya mlezi ya anaemlea. Haya yako dhahir kwenye familia zetu na jamii. Alicho sisitiza Mwalimu Nyerere ni sifa na miiko ya kiongozi na wajibu wa Uzalendo. Kwa kifupi maneno yake hasa kunako miiko ya kiongozi na...
  17. Mziba

    Tangu ianze kauli mbiu ya elimu bure binafsi sijaona manufaa yoyote katika hili maana hali imekuwa mbaya sana

    Mkuu Nebuchadinezzer, hongera kwa findings ya tafiti yako. Sasa ni marufuku bila kibali maalum. Sidhani kama anatambua kua anauwa ubunifu higher education. inakua ngumu wanafunzi kufanya utafiti. bila research inabikia kubahatisha. na ni dhidi ya katiba freedom of information. Kutojali...
  18. Mziba

    Tangu ianze kauli mbiu ya elimu bure binafsi sijaona manufaa yoyote katika hili maana hali imekuwa mbaya sana

    Post muwafaka, kuna wale vijana waliokua wako vyuoni kusomea ualimu, mara wakaachishwa masomo kwa sababu sikuzielewa. Vipi hatma yao, ikiwa shule zinafungwa kwa kukosa walimu. Nilifikiri, ulikua uamuzi wa haraka. Warudishwe vijana shule wamalizie. Tunasikia sifa kaongeza wanafunzi milioni...
  19. Mziba

    Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

    "Evil prevails when goodmen do nothing" "Evil prevails when goodmen do nothing" JFK. "Udhalimu huendelea pindi watu wazuri wasipofanya kitu". Hongera Omari kwa uandishi mahiri na wa kufidisha. Nidhahiri kua UDHALIM na UKATILI unaofanywa na serikali hii ya Magufuli ni matokeo ya...
Back
Top Bottom