Search results

  1. deejaywillzz

    Msaada app ya kubadili maneno ya kingereza kuwa synonims

    Tumia hii, pia ni nzuri sababu ina work onffline mode Synonyms Dictionary OFFLINE - Android Apps on Google Play
  2. deejaywillzz

    WiFi Router (HUAWEI B660) inauzwa TZS 200,000

    Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii WiFi Router kwa laki mbili (TZS 200,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Iko sim unlocked na ina admin web filtering na feature nyingine nyingi tu.
  3. deejaywillzz

    PC DELL Optiplex 3010 DT Inauzwa

    Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii Desktop PC (CPU+Monitor+Keyboard+Mouse+Cables) kwa laki sita (TZS 600,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Ina Movies, Series na Software za kutosha.
  4. deejaywillzz

    Kuna Data Center (Zanzibar)?

    Inaweza kuwa ngumu kwako lakini sio kwa wote kaka, its all about your business strategy. Mbona Zantel wanao yakwao, ila sio kwa commercials. Anyway mi nilichokuwa nahitaji sio kubishana kuwa kama inawezekana au haiwezekani. Ninachohitaji ni kujua kama kuna kampuni inatoa hiyo service au la...
  5. deejaywillzz

    Kuna Data Center (Zanzibar)?

    Kaka business has no limitation, ukiendelea na hiyo fikra utaishia kuajiriwa. siku zote think outside the box Don't take kila kitu kwenye politics, Zanzibar pia wana uwezo wa kujitegemea kama wao
  6. deejaywillzz

    Kuna Data Center (Zanzibar)?

    Habari wakuu, nahitaji msaada wenu. nataka kujua makampuni yanayo toa service ya data center Zanzibar
  7. deejaywillzz

    How do I configure ZTE Router?

    Asante mkuu, ninachojaribu kukimbia ni hicho kwamba sitaki ku connect kwa kutumia telephone line(ISP) kama ukiangalia vizuri PC1 ina modem ambayo ndio yenye internet. Ingekuwa katika hali ya kawaida ninge active ICS (Internet Sharing Service) kisha isambaze moja kwa moja. Ila nimeelezwa ya...
  8. deejaywillzz

    How do I configure ZTE Router?

    Habari wakuu, Nina router ya zamani ya ZTE ZXV10 W300 nataka iwe ina assign IP address (as DHCP Server) kwenye connected devices/PCs. Kisha PC1 igawe internet kwenye device/PC nyingine. Nafanya hivi sababu port ya internet ya router ni RJ11 na mimi natumia 3g modem. Nimeweka senario hapo chini...
  9. deejaywillzz

    Kati ya Programmer na I.T

    Wote wana fursa za kujiajiri, inaegemea tu na capital uliyokuwa nayo. 1. Kama wewe ni IT na una capital ya kutosha unaweza kufungua biashara kisha ukajiri programmer na ukawa una wa supervise. 2. Kama capital yako ni ndogo, unaweza wewe kama programmer ukaingia msituni ukafungua biashara...
  10. deejaywillzz

    Kwa wataalamu wa programming njooeni hapa nimekwama

    Ningekushauri utumie database, its more safe ukilinganisha na kuvuta data moja kwa moja kwenye text file
  11. deejaywillzz

    Nahitaji mtaalam wa networking

    Thanks brother, ngoja nikafanye hivyo
  12. deejaywillzz

    Nahitaji mtaalam wa networking

    Nia na madhumuni ilikuwa hivyo ila router yangu ni ya zamani na port yake ya internet ni RJ11 na mimi source yangu ni RJ45. Nilijaribu kutumia converter RJ45 to RJ11 lakini imefeli
  13. deejaywillzz

    Nahitaji mtaalam wa networking

    Hapana bro nataka router ndio igawe IP (ifanye routing) ila Desktop PC ndio igawe internet
  14. deejaywillzz

    Nahitaji mtaalam wa networking

    Habari wakuu, kuna hii network plan nataka kuitumia nyumbani ila nahitaji msaada wenu jinsi ya kufanya configurations Vifaa nilivyonavyo Router: zxv10 w300 (old router with RJ11 internet port) Switch Desktop PC with server 2012 (yenye network card mbili, DNS Server na Active director) Laptop...
  15. deejaywillzz

    Naomba ushauri wa network design

    Asante Kang nimekusoma. Ila mimi hapa ishu inayo nisumbua kichwa ni kwamba inawezekana ukawa na DNS & DHCP server in public network halafu Active Directory kwenye Private network?
  16. deejaywillzz

    Naomba ushauri wa network design

    Hapana shalet ni kwa ajili ya ofisi
  17. deejaywillzz

    Naomba ushauri wa network design

    Habari wakuu, Kwanza nifanye declaration kuwa mimi sina utaalamu sana kwenye mambo ya networking. Ninafungua ka ofisi kadogo ila nimetengeneza rough diagram lakini naomba ushauri kama ni kitu kinachowezekana.
  18. deejaywillzz

    Ku-sharing Linux folder kwenye kompyuta za Windows

    security = user [Downloads] path = /media/user/music/Downloads guest ok = yes browseable = yes read only = no
Back
Top Bottom