Search results

  1. BIGURUBE

    Phone4Sale Boxed HTC Desire 12+ Android inauzwa

    Wadau Nina simu yangu nauza. Simu ni Nzuri sana na haijawahi kuwa na changamoto yoyote ya kiufundi. Simu ni brand ya HTC, Model DESIRE 12+, RAM 4GB, internal memory 32 GB. Bei kwa maduka Mengi ni kuanzia 600k+ Mm nauza 300,000 tu. Kwa Mwwnye kuhitaji nicheck 0764931111
  2. BIGURUBE

    TV4Sale LG TV inch 43 mpya inauzwa

    Wakuu salam, nauza tv yangu mpya brand LG size 43 model ya 2019, ni tv ya kisasa sana, Ina features zote mhimu km internet, Netflix, YouTube na nyingine Nyingi km zilivyo tv za kisasa. Tv nilinunua mwaka huu kwa 1.300.000 Bei ya sasa Dukani ni 1.250.000 hii ni bei ya Mlimani city. Bei ni...
  3. BIGURUBE

    Barua kwenda kwa mke wangu kipenzi

    Nakupenda mke wangu.
  4. BIGURUBE

    INAUZWA For books lover, Amazon Kindle For Sale

    Brand new Amazon Kindle inauzwa, (full boxed) ni nzuri sana kwa wapenzi wa kusoma vitabu online au wanafunzi wa chuo, itakuepusha kutembea na mavitabu au Kila siku kwenda library kufuata vitabu! Ina uwezo wa kuhifadhi vitabu vingi kwa kadiri utakavyo! Kindle haina tatizo lolote, nauza sababu...
  5. BIGURUBE

    Prof. Benno Ndullu, biography &CV

    *SHKAMOOO PROF. BENNO NDULLU!!!*[emoji119][emoji119][emoji119] 1. Prof. BENNO NDULLU was born on 23rd January 1950. He is now 69 years old. 2. He started his career at the Udsm in the early 1980s before joining the World Bank as Lead Economist. 3. He has a PHD degree in Economics from...
  6. BIGURUBE

    Mkwewe Rais Kagame

    Natamani kumjua Huyu dogo aliebahatika kumuoa binti mrembo Mtoto wa Kagame. Bila Shaka anatokea kwny moja ya Familia kubwa nchini Rwanda!
  7. BIGURUBE

    Kama unafikiri kuwa zile shanga/cheni za mwanamke wako ni kwa ajili yako tu, kaka unajidanganya!

    Andika maumivu, zile shanga au cheni anazovaa demu wako sio kwa ajili yako tu, zile ni kwa ajili ya wengine pia atakaokutana nao huko kwny mishe mishe zake! Ndio maana hata asipokuwa na wewe bado anavaa! Tena kuna baadhi ya makabila idadi ya shanga kiunoni Ina reflect idadi ya wanaume ambao...
  8. BIGURUBE

    Kwanini wanaosifia awamu ya 5 ni viongozi tu na sio wananchi wa kawaida?

    Kwa Utafiti wangu mdogo niliofanya naona awamu hii ya 5 wale wanaoisifia na kuipamba ni either viongozi wa nchi DC, RCs, DEDs, mawaziri au wanachama wa ccm tena wanaoishi kutegemea siasa, sijaona mwamko wa wananchi ww kawaida wakitoa sifa kwa serikali yao! Hapa ninachokiona ni kuwa serikali hii...
  9. BIGURUBE

    Toyota kuacha kutengeneza VX V8 2021

    Toyota wataacha kutengeneza gari model V8 kufikia 2021. Sababu kubwa ni ukubwa wa engine na uchafuzi wa mazingira especially diesel emissions. Hii huenda ikawa taarifa mbaya kwa viongozi na wasiasa wengi ambao ni wapenzi wakubwa wq hizi gari The iconic Toyota LandCruiser V8 is nearing the end...
  10. BIGURUBE

    DC adai talaka mbili kwa mpigo mahakamani

    DC aeleza sababu ya kuomba talaka Thursday August 15 2019 Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Simon Odunga amedai kuwa huwa anatoa matunzo ya mtoto wao wa kike ambaye kwa sasa anasoma kidato cha sita aliyezaa na Medelina Mbuwuli aliyefunga naye ndoa ya Kikristo mwaka 2001. Mkuu wa Wilaya ya Chemba...
  11. BIGURUBE

    Nauza Gari yangu mpya IST

    make:Toyota IST Registration: DQG insurance: premium/comprehensive to April 2020 Year :2004 Cc: 1290 Kms :30000 Purpose: commercial vehicle Engine :VVTI Clean Seats New Tires Music :Radio/cd Full Documents (File) Fuel :Petrol Transmission: Auto Seating Capacity 5 Imported From Japan Jack...
  12. BIGURUBE

    Jamaa kuamua kwenda kukaa na ndege kijiji kwake

    Wadau tulimlaumu Sana JK, Ila Huyu Ndio kaamua kabisa!
  13. BIGURUBE

    Mtaalamu wa mizani anahitajika haraka.

    Tunahitaji Mtaalamu wa mizani (weighbridge) kwa ajili ya kufanya settings, kwny mzani wa kampuni pamoja na kusajili kwa wakala wa vipimo. Mahali Ni Dar es Salaam. Contact-0714010511. 0764931111
  14. BIGURUBE

    Nauza Toyota Noah

    Wadau nauza hii gari aina ya Noah. Gari ipo Katika hali nzuri sana, haina tatizo lolote, tangu imenunuliwa imekuwepo tu nyumbani haijatumika sana. Gari ipo Iringa mjini, muuzaji ni mm mwenyewe (haina udalali) Vitu vyote vinafanya kazi (AC, radio nk) Bei ni 10 million. Mazungumzo kidogo yapo...
  15. BIGURUBE

    Mzani wa kupimia magari unahitajika

    Wana JF, tunatafuta mzani (New or second hand) kwa ajili ya kupimia magari ya mizigo kiwandani kwetu. Au hata mtu anaetengeneza platforms atengeneze then atuuzie. Mzani uwe na uwezo wa kupimia 10 tonnes na kuendelea. Kwa mawasiliano text or call +255714010511
  16. BIGURUBE

    Mzani wa kupimia magari unahitajika

    Tunahitaji mzani mkubwa wa takribani tani 10 kwa ajili ya kupimia magari kiwandani kwetu, kiwanda kipo Dar es Salaam. Mzani uwe umekamilika, uwe na vibali vyote pamoja na platform yake! Only serious contact +255764931111
  17. BIGURUBE

    Msaada: simu yangu kila nikiweka memory card haisomi!

    Wakuu naombeni msaada wa ushauri...natumia HTC Desire...nimejaribu kuweka memory card 4 mpaka sasa zote zinakataa kusoma. Tatizo ni nini?
  18. BIGURUBE

    Natafuta Transformer used ya 800-1200KVA

    Wakuu, Nahitaji transformer used kubwa kwa ajili ya kiwanda. Iwe nzima na inafanya kazi Ikipatikana kati ya 15/10/2018 itakuwa bora zaidi. Mawasiliano 0764931111
  19. BIGURUBE

    Top Ten Richest People In Africa (10), Mo Dewji yupo nafasi ya 20, he's the youngest billionaire.

    There are 25 African billionaires this year, up from 24 last year. Nigerian businessmen Femi Otedola and Abdulsamad Rabiu failed to make the cut this year. Mohammed Dewji of Tanzania is still the youngest billionaire in Africa with a fortune FORBES estimates at $1.09 billion. Angolan investor...
  20. BIGURUBE

    Nimekutana na my X-girlfriend, anaolewa na mzungu, kutimkia Marekani..(nimeumia kiaina)

    Wakuu kiujumla huwa siandiki sana issue za maisha yangu binafsi hasa za mahusiano. Jana Katika pita pita zangu nikakutana na girlfriend wangu niliedumu nae kwa miaka miwili akiwa na kijana wa kizungu handsome kweli (she was my side chick), Mm ndie nilikuwa mwanaume wake wa kwanza, nilianza...
Back
Top Bottom