Search results

  1. S

    Msaada wa kununua android tablet.

    Nipo vacation nchi ya watu marekani, nataka kununua tablet ila nina mashaka kama zitafanya kazi vizuri bongo. Kwa wajuzi wa mambo, nahitaji kujua ninunue tablet gani ambayo nitatumia bongo vizuri? Je kwenye tablet nako kuna locked na unlocked? Je nikichukua locked from at&t au t-mobile...
  2. S

    Nahitaji gari ya 6 mil.

    Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600. Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha. Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.
  3. S

    Ushauri unahitajika, kati ya Nursing na Medical laboratory.

    Habari za leo wanajamiiforum, Nina shost yupo nchi za ughaibuni, anataka kusoma kati ya unesi au medical laboratories. Ila bidada anataka akisha soma arudi zake bongo kufanya kazi. Mimi kwa ushauri wangu nimemwambia bongo unesi haulipi, labda hiyo medical laboratories, ila nayo sijui kama...
  4. S

    Nahitaji mwenza wa maisha.

    Habari zenu wana jamii forums. Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono. >Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia. >Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo. >Elimu atleast awe na...
  5. S

    Hodi hodi hodi humu ndani.

    Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!!
Back
Top Bottom