Search results

  1. kadada wa pili

    Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

    Hakuna kazi ya kijinga km ualimu mkuu.mimi mwenza wangu alikuwa Mwlm mkuu nlipambana aachane nao maana Hadi mshahara wake ufanye majukumu ya shule kisa posho ya laki mbili.kwanza labda Kwa wamjini ila vijijini ni utumwa mwl mkuu anatukanwa na mratibu anatukanwa na wazazi anatukanwa na afisa...
  2. kadada wa pili

    Habari nahitaji mtihani wa maarifa ya Jamii darasa la tano

    Ndugu mwenye mtihani mzuri wa kiingereza darasa la tano naomba huku kwetu tunaita maarifa ya Jamii tafadhari sana naomba
  3. kadada wa pili

    Hata kama ajira ni ngumu, kijana nakushauri usirogwe kuajiriwa na Local Government almaarufu TAMISEMI

    Acha wadanganyne ila LGS ni Mahalia safi sana kujiendeleza kielimu na kipato ukiwa kata za pembezoni hakuna anaekufuatilia na maisha yapo poa sn hasa maendeleo ya Jamii watendaji na mifugo yaan wanamuda hatari
  4. kadada wa pili

    Vijana mliokatwa nafasi za maudhui zoezi la Sensa mmeona unafiki wa Wanasiasa

    Nikikumbuka hata kuscan tu Kwa simu walishindwa na kutuma maombi acha tukae pale tusikilizie
  5. kadada wa pili

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Mimi nlikuwa nambishia mtu akanitumia hapo TU maana niliomba maudhui na kwetu watakaosaili watu wapo watano n kuwa tumekatwa kimkakati maana vijiji vipo vinne
  6. kadada wa pili

    NBS mmezingua! Mngesema Toka awali nafasi za kuomba ni Karani na TEHAMA tu

    Unatakiwa kujua kata yako Inahtaji maafisa maudhui wangapi kabla mtu hajajithibitishia kupat
  7. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    [emoji848][emoji848][emoji848] sawa
  8. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Mbinu nayo ila sijajua unaongea nao vipi?
  9. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Wapi huko?Mimi nipo Singida wapi yanapatikana pia natamani kujaribu kila njia
  10. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Asante sana kaka hii ni njia nzuri Sana nayo. japo sijawahi isikia nashukuru nadhan ntajarib zote mpk nipate suluhisho
  11. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Yaan nahisi uko ndo itakuwa ishu maana wanajenga hatari
  12. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Asante matumizi yake kama hautajali inatumiwaje?
  13. kadada wa pili

    Msaada mchwa wamekuwa tatizo

    Habari za jioni wanaforum. Naomba msaada wa anaejua suluhisho la mchwa nyumba Iko kwenye kichanga lakini mchwa ni wengi Sana ndani kumepigwa tairizi lakini bado tafadhari ndugu zangu anaejua dawa anisaidie. Asanteni
  14. kadada wa pili

    PSSSF, hivi fao la uzazi bado lipo?

    ila maajabu kuna waliozaa mwaka jana wengine wanasema wamelipwa sasa sijui mpk utoe rushwa au ndo tunapoozwa
  15. kadada wa pili

    PSSSF, hivi fao la uzazi bado lipo?

    Habari naomba kuuliza hivi hili fao la uzazi kwa watumishi waliojifungua bado lipo au limeshafutwa kazi tunayopata kujaza fomu na majibu mnayotupa tukifuatilia ni bora mseme halipo watu wajue.
  16. kadada wa pili

    Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Asante kwa melezo ndugu.ilo kampuni Ni binafsi linashirikiana na serikali ya mtaa na halmashauri katika urasimishaji. Nashukuru kwa ushuri wakutafta wakili. 666 chata, Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kadada wa pili

    Kwa wanasheria naombeni msaada wenu

    Anatakiwa kulipa aliyekushtaki mpk ukionekana unamakosa unarudisha gharama za ukaguzi na zingine za Baraza Sasa ulipeje we wakati umeshtakiwa kesi sio yako aliyekushtaki awajibike mpk ukweli upatikane Sent using Jamii Forums mobile app
  18. kadada wa pili

    Pata ushauri wa bure wa kesi yoyote, Ardhi, Jinai na Madai (Thanks Giving Days)

    Habarini wakili najua unaweza nisaidie mawazo kwnye huu utata unaonizunguka Mimi na majirani zangu kuhusu urasimishaji wa ardhi.mimi na majirani zangu tulinunua viwanja vikiwa Bado havijapimwa na tuka Jenga wote ikatokea mmoja wetu kajenga ukuta. imekuja kampuni ya upimaji wanasema Yule mwenye...
  19. kadada wa pili

    Ardhi University(ARU) - Special Thread

    Habarini watu wa ardhi najua mnaweza nisaidie mawazo kwnye huu utata unaonizunguka Mimi na majirani zangu kuhusu urasimishaji wa ardhi.mimi na majirani zangu tulinunua viwanja vikiwa Bado havijapimwa na tuka Jenga wote ikatokea mmoja wetu kajenga ukuta. imekuja kampuni ya upimaji wanasema Yule...
Back
Top Bottom