Search results

  1. I

    Madesa mengine nayo mhhhh!

    huyo kazidisha utazani mwanafunzi aliyepata feki ye hajali kusomna mwaswali anachojali ni kukopi na kupest
  2. I

    Taaluma ya Ualimu

    du, we ulikuwa hujui kuwa taaluma hiyo ndiyo imepewa nafasi ya mwisho bila ya kufahamu kuwa huko ndiko kunakopikwa maofisa na maprofesa. nahisi tunaandaa vihiyo
  3. I

    ITV vs StarTv

    umesema kweli hawa jamaa wanaboa, kwani hata baadhi ya waeangazaji wake ni wake wake wasikuwa na pumzi za kutangazia, mfano ni Gamba, huyu jamaa anafanya kazi kwa kubahatisha ila anahema sana wakati wa kutangaza sijui ni bahati au ukabila ndio kigezo cha kupata kazi ITV, kwa kitaaluna ni hovyo
  4. I

    Kuna msichana yeyote wa JF Arusha?

    du jamaa we noma hiyo njia yao ya kupatia demu ni babkubwa, hongera but take care
  5. I

    Amkatakata Mpenzi Wake Wa Kike Sehemu Za Siri Kwa Kupenda Wanaume!

    jamani sijui ni maumivu ya aina gani anayofil huyo dada asiyetosheka na hiyo ndio faida ya kuwa mpenda ngono
  6. I

    Mradi wa nyumba za kupanga wa Dr. Hussein Mwinyi Dar

    nadhani utakuwa na kasoro coc huwezi kutukana hovyo hovyo, ni bora ungefafanua kama unalielewa suala hilo ili hata aliyetoa mada ajifunze
  7. I

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    kama kuna waliosomanaye huko uk basi watufahamishe kama alimaliza au la na hata kama yeye anaweza kututhibitishia
  8. I

    Vicky Kamatta: Dada mwenye mafanikio

    hivi tutaondokana lini na hili jinamizi la kupea ajira kwa kutumia undugulaizesheni ambao haujali taaluma ya mtu maana haungalii hata uwe ungumbaru kinachojaliwa ni memo imetoka kwa nani .Hebu na tuwape nafasi watu waliofaulu kiukweli ili nao wafaulu matunda na kusongoka kwao.
  9. I

    Nani mwongo zaidi?

    mabegi ya dada zetu lazima yawekwe hivyo vitu coz wao wakotofauti kimaumbile. chupi, pedi, kanga ni lazima vinasaidia pale unapopota breedi ya ghafla kwani huwa inabadilikaga na kutofuata tarehe je unaweza kuendesha gari bila kuwa na spana au tairi la spea
  10. I

    Nani mwongo zaidi?

    mapenzi si mchezo mchafu bali kuna wapenzi wachafu kikubwa kinachotakiwa ni kuaminia na kuheshimiana. suala la uaminifu wote hawafai
  11. I

    Mafisadi wa Elimu

    jamani me naomba hayo majina yangewekwa katika mtandao kwani hakuna atakayeweza kufuta na itakuwa vizuri kwani wengine hawatapa hivyo vitabu coz wababe wameanza visa vyao
  12. I

    Mafisadi wa Elimu

    ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwani ujumbe lazima utafika kwa jamii jamaa wamezoea kuwa vihiyo na sasa tumechoka hizo fedha si bora angepeka kilosa kwani zingesaidia ujenzi kwa waathirika wa mafuriko, nahisi kichwa chake kitakuwa kimejaa tope
  13. I

    wauguzi wa mwananyamala

    muuguzi mmoja akigundulika amefanya uzembe awajibishwe ili iwe mfano kwa wengine la sivyo tutaendelea kuteseka
  14. I

    Lt Gen. Kayumba Nyamwasa: Why I fled Rwanda'

    jamaa anatakiwa kuacha uroho wa madaraka badala yake atafakari jinsi ya kuijenga nchi yao na kujipanga vema ili mauaji yasitokee tena
  15. I

    wauguzi wa mwananyamala

    du hii nchi kuna baadhi ya maeneo yanatisha kama huna pesa suala la huduma bora sahau na hasa katika hospitali zetu za akina kayumba
  16. I

    wauguzi wa mwananyamala

    jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea dozi, hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na wauguzi wa aina hii?
  17. I

    wauguzi wa mwananyamala

    jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na walemavu
  18. I

    Malumbano ya Spika Sitta na Mzee Mrema

    jamaa kaishiwa hana jipya
  19. I

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    hiyo haisadii kama wa gundu ni wa gundu tuuu, kikubwa ni kusubiri wa ukweli kuliko kuwaendekeza hao matapeli wa mapenzi waliotapakaa mujini kama michanga
  20. I

    Jinsi ya kumtunza :"" pdidy""

    hivi, jamani mnalizungumziaje hili sakata la mtoto kukatwa kuganja kwa madai ya uzembe wa wauguzi
Back
Top Bottom