Search results

  1. F

    Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

    Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine. Naogopa asije akatafuna nyaya...
  2. F

    Ushauri: Viongozi wa dini wazuie Quran na Biblia kutumika mahakamani kwa mashahidi kula viapo

    Wakuu, nimekuwa nikifuatilia mashahidi wengi mahakamani Wanakula kihapo kwa hivi vitabu, na kudai watasema ukweli mtupu. Na kumalizia Mungu awasaidie. Lakin mwishowe kwenye ushahidi wanasema uongo live live. Kitendo hicho mm naona nikuvinajisi vitabu vitakatifu. Kwa mfano tu mzuri, hivi...
  3. F

    Kazi zingine hazifai kuzisomea. Serikali msipokuwa Makini mtakosa wafanyakazi siku za mbelen.

    Wakuu Salam, Kwa mtazamo wangu kuna kazi naziona kama ngumu sana, mtu anapo zisomea ni kwa moyo wa Upendo tu na uzalendo. Siku akiachishwa kwa matatizo ya kawaida, awe anapewa posho kidogo za kujikim maana kupata ajira tena ni ngumu. Kwa mfano makomandoo wa Jeshi, naona ni mateso makubwa sana...
  4. F

    #COVID19 Kama sanitizer inauwa virus wa Corona kwenye mikono, kwanini zisiwepo santizer za kunywa Kama maji au juice?

    Wakuu habari, samahan kuuliza si ujinga na kama ni ujinga basi ukinipa jibu utakuwa umenipunguzia ujinga. Tunashauriwa kunawa mikono kwa maji tiririka. Iman yangu naamini tukinawa virus wanaondoka na maji, hiyo sawa. Tukitumia sanitizer, tunapaka kwenye mikono na kuhamin virus wamekufa. Sasa...
  5. F

    Napendekeza itungwe sheria ya kuwaadhibu watu hasa Police wanao banbikia watu kesi za uongo.

    Habari wakuu. Hii tabia ya Jesh la police kumkamata mtu na kumtangaza hadharan kwa uma kwamba ni mkosaji, mfano ni Jambaz, Gaidi, mwizi n.k. Na uma wote tukajua hivyo.. Ikidhibika mahakaman kwamba yule mtu si mkosaji bali alibambikiwa kesi na police kwsbb zao binafsi. Napendekeza sheria...
  6. F

    #COVID19 Pamoja na kuvaa barakoa nahisi mtu anaweza kupata virus vya Corona kupitia vinywaji vya kwenye cafe au bar

    Wakuu habari za siku nyingi, Nimeshtukia hii kitu sana mtu kupata virusi vya corona kupitia vinywaji Kama soda au bia kupitia njia ya wahudumu. Umevaa barakoa vizuri kabisaaa, una nawa mikono n.k, Ukienda bar unavua barakoa una agiza bia ata ukiwa peke yako. Muhudum akija anakufungulia ile...
  7. F

    Nawezaje kurudisha e-mail nilizozifuta kwenye account yangu

    Wakuu Salam. Naomba kuuliza hivi ikitokea ukafuta kwa bahati mbaya emails ulizotumiwa kwenye inbox ya yahoo, kuna njia yoyote ya kuweza ku-recover? nimedelit information zangu za muhim kwa bahat mbaya. Nisaidieni tafadhari
  8. F

    GHARAMA ZA MACHINE ZA KUSAGA NA KUKOBOA NAFAKA KAMA MAHINDI n.k

    Heshima kwenu wakuu, 1.Naomba kujua kwa mtu mwenye kuelewa gharama za kununua mitambo midogo ya kukoboa na kusaga nafaka hasa mahindi.nk. 2.Gharama za uendeshaji wa mitambo n.k. ASANTEN
  9. F

    Baraza la kiswahili, mnaweza kutupa ufafanuzi kuhusu usemi huu, AJALI HAINA KINGA.

    Wakuu, ninavyo ona ajali zinavyo maliza ndugu zetu na nguvu kazi ya taifa haswa kwa kipindi hiki, naumia sana, hivi hii methari ya AJALI HAINA KINGA iko sawa hii, kweli ajali haina kinga? baraza la Kiswahili mgetoa ufafanuzi mlikuwa na lengo gani haswa kupitisha msemo huu!!!
  10. F

    Mwongozo: Madini ya Ruby na soko lake nchini Msumbiji

    Wakuu, poleni na Majukumu Wiki kama mbili hivi nilichangia hoja ya mtu aliyeomba ushauri kuusu kwenda msumbiji kufanya biashara ya madini. Baada ya apo nilipata PM nyingi za watu wakiomba niwape ramani ya kwenda huko. Kwanza niwaombe msamahaa wote ambao sikuweza kuwajibu kwa wakati na wengine...
  11. F

    Polisi tunawashukuru kwa kukemea wanaotumia mitandao vibaya, ila na nyie acheni uharifu muwe mfano

    Jeshi la police mimi binafsi nawashukuru kwa juhudi zenu za kupambana na uharifu, ila panapo bidi kuwakosoa ni lazima tuseme hata mkichukia. tabia ya police kula rushwa sana hasa wale matrafik wa njiani imekuwa kero sana tena sana jirekebishe na nyie ndo tuone mnacho kemea na nyie ni mfano...
  12. F

    Natafuta pumba ya ngano

    Wakuu, poleni na majukum. Ninaomba mnisaidie, hivi pumba za ngano ua zinapatikana wapi? kuna mtu kaniambia nijaribu kwa Bakhresa, hivi ni kweli naweza kuzipata apo? Kuna mtu ana contacts zozote na pale au pengine? kiufupi sihitaji nyingi kwasasa hata bei siijui ila kwa badae naweza kuziitaji...
  13. F

    Tahadhari: Ogopeni wanaosema wameingiziwa Dolla millioni Kadhaa za Kimarekani kwenye Account zao

    Wakuu habari za makumu: Jana jioni nikiwa kwenye folen barabarani, nilifungua cm nakukutana na uzi usemao kuwa Nimeingiziwa hela dola za kimarekani 300,000 naziogopa. Uzi huo ulitumwa kwa ID ya mtu anaye jitambulisha kama Mtumishi waMungu. Aliupost mida ya 10:46am. Wakati nataka...
  14. F

    Rafiki yangu, kaibiwa mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 70 na changudoa. Je anastahili kupewa pole?

    Wana JF poleni na makuju. nawashukuru kwa kuchangia hoja yangu iliyo pita isemayo Mungu iweke mahali pema pepon roho ya marehe!! Leo ninakuja na kituko kikubwa ambacho kimemkumba rafiki yangu. . Na swali langu ni JE HUYUANASTAHILI NENO POLE AU HASTAHILI KABISA? Kuna rafiki yangu ambaye...
  15. F

    Wafanyakazi wa benki ya Azania ni vimeo

    Mwaka 2011 nilifungua a/c katika benk ya Azania tawi la mwanza mwaloni, baada ya kuifungua nilipewa kadi ya ATM ambayo haina picha yangu ila inatumika ina nembo ya umoja. Baada ya apo nilienda nje ya nchi na kurudi majuzi, nilipo anza kwenda kuchukua hela zangu wahudumu wakawa wanagoma kunipa...
  16. F

    Mungu ilaze mahali pema peponi roho ya marehemu, hii ni sala au kanuni

    Wakuu poleni na majukumu, kwa mwenye mchango wa hili naomba anieleweshe kidogo. Mara nyingi mtu anapozikwa, hua wanasema Mungu ilaze mahali pema peponi roho yake. Hivi kweli hii ua ni sala au ni kanuni tu watu wamezoea kusema? Na kama ni sala hivi kweli Mungu anaipokeaga? Nimeuliza hivyo...
  17. F

    Naomba mchango wenu kuusu police trafic wa tanzania.

    Wanajanvi-poleni na kazi, kiukweli mimi kuna mambo yananikera sana kuhusu hawa traffic police. 1.Kwanza juzi nilikuwa natoka moro kuja dar na gar yangu, nimefika chalinze nikakuta gari nyingi ndongo zinasimamishwa na hawa jamaa nam nikasimamishwa na nikatii. wale jamaa walikuwa eti wanakagua...
  18. F

    Natafuta Ngozi za Mbuzi, Kondoo na Ngo'mbe zinahitajika.

    Na nunua ngozi za ngo'mbe, mbuzi na kondoo. ziwe zimekaushwa kwa kuwekewa chunvi. zisiwe na chapa za moto zisiwe zimetobolewa kwa visu wakati wa uchinjaji. niko dar ila popote zilipo nchini kuna mawakala wangu watakufuata. ni pm tafadhari
  19. F

    Shamba heka 15 linauzwa wilaya ya kibaha vijijini milion 22.

    1.Shamba liko wilaya ya kibaha vijijini kijiji kiitwacho dutumi kallibu na kijiji cha madege. 2.Shamba liko kalibu na mto ruvu na gari linafika mpaka shambani. 3. Ne sehemu ya mwinuko wakati wa masika mafuriko hayafiki kabisa 4. Linafaa kwa kilimo kwa mwaka mzima kwa kuwa na maji ya uhakika ya...
  20. F

    Tbs fanyeni kazi kwa umakini na uchunguzi zaidi. Si kuchoma vipodozi na mitumba tu'

    Wadau, nina dukuduku naomba mawazo yenu. mimi kwa maoni na mtazamo wangu naona hawa watu wanao fundisha ujasilia mali mfano kutengeneza sabuni za unga za nguo au za vipande, na mambo mengine. mimi naona kwakweli wanafanya vizuri na wananchi wengi tutajikwamua kiuchumi. ila sasa baadhi ya watu...
Back
Top Bottom