Search results

  1. N

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    The STUNNING IMAGES that feature in the 2015 in 'THE DAILY MAIL UK' today.
  2. N

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    The STUNNING IMAGES that feature in the photographs in the 2015 in 'THE DAILY MAIL UK'.
  3. N

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    Hawa wabunge wamekuwa wakifanya safari nyingi zisizo na tija kwa kujifanya wanaenda kujifunza mambo mbalimbali nchi za Ulaya, America na Asia kupitia kamati za Bunge. Badala yake waende wataalamu wachache waje watoe mafunzo kwao.
  4. N

    Kiwanja kinauzwa BUYUNI

    Kiwanja kinauzwa kipo BUYUNI eneo linaloitwa SHERATON barabara iendayo CHANIKA karibu kabisa na OIL COM pia na MONTESSORI. Kiwanja kina UREFU 32 na UPANA 17 miguu ya mtu mzima. Bei ni 4.5M, maelewano yapo 0768195508
  5. N

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kama ulichokiandika ndicho unachomaanisha inaelekea haukusoma na kama umesoma inaelekea ulikuwa unakariri na hauna ufahamu wa mambo. Jitahidi uwe mwelewa wa umuhimu wa kipengele cha dini katika sensa.
  6. N

    Toyota Rav4

    Ipo ya milango mitano ya mwaka 2002 registration BVK, Silver. Bei poa karibu na bure. 0656247324.
  7. N

    Nyerere Hakuwa na mapungufu, alikuwa Kiongozi Mbovu!

    Sawa ndugu, kama alivyofanya mwenzako na wewe tupe darasa ili tupate kuelewa usilete dhana za bendera kufuata upepo. Pia naunga mkono kwamba Nyerere alikuwa kiongozi mbovu asiye na mfano katika nchi hii.
  8. N

    CUF ina mkosi gani?

    Wanaume ni CCM, wengine wote wanatafuta wanalolitaka.
  9. N

    Kandoro alitumia silaha; MR. II hakutumia silaha

    Siku zote mwanafunzi mtukutu, mwalimu mbaya ndiye mzuri kwake; na kinyume chake. Watu hushabihiana na huelewana kutokana na tabia na matendo yao.
  10. N

    Saif Al Islam Gadhafi Captured

    BAKWATA wana mahusiano gani na kukamatwa kwa SAIF AL-ISLAM? Mbona hoja yako imekaa kiudini na inalenga kukashifu UISLAM na WAISLAM?
  11. N

    Chadema imejiandaa vipi 2015 kuzipata kura za waislam?????

    Ina maana Wakristo pia walitumika kama kondomu ndio maana hawakuiunga mkono CUF?
  12. N

    Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    Kuna watu humu JF huchangia mada kama watu ambao hawajaenda shule, hii inasikitisha sana ukitilia maanani kwamba JF ni ya GREAT THINKERS. Kwanza kabisa naomba watu waelewe kwamba kufanya vizuri kwa kiongozi wa nchi basi ni kufanya vizuri kwa chama chake kinachoongoza nchi husika. Kumekuwa na...
  13. N

    Brand new iphone4 16gb on sale

    Brand new Black Iphone 4 16GB on sale, mali toka UK. Ukihitaji nipigie 0786 191877. Bei 1.2M, kama uko serious tutaongea.
  14. N

    Battery Low!!!!!

    Duuuuu! Jamaa ni GREAT THINKER.
  15. N

    Nani nitakae muoa kati ya hawa

    Nikisema wewe MZINIFU kwa ushahidi uliotoa wa kuwa na watoto wanne wa nje ya ndoa utakataa? Mzinifu humuoa mzinifu mwenzie hivyo inabidi umtafute mzinifu mwenzako umuoe.
  16. N

    Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    Mimi ni mfupi kama EMORO WA EMPIRE BAKUBA lakini madada mpaka nachoka mwenyewe. Kuna rafiki yangu M-Nigeria ni tall lakini anatamani kulia anavyopigwa chenga za mwili na akina dada. Haya mambo kwa ujumla inategemea sana uono na maamuzi ya mwanamke mwenyewe. RIHANNA alisema yeye hupenda someone...
  17. N

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    Huyo mtu sio rafiki mzuri wa mumeo na familia kwa ujumla, siku za usoni anaweza akaja tongoza binti yenu. Ushauri wangu inabidi umpe taarifa mumeo haraka sana kwani hastahili kuwa karibu na familia yenu. Kumbuka rafiki sio ndugu, urafiki unaweza ukaisha ukapata marafiki wengine na wazuri kwa...
  18. N

    Mbunge wa Kilindi aipaka JamiiForums

    Ingawa anachokiongea ni sahihi lakini pia ni vizuri akathibitisha anayoyaongea.
  19. N

    Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

    Sina uhakika na taarifa kwamba Dr. Slaa amehamasisha watu kutokufanya kazi na siwezi kukataa kama amesema hivyo. Ninachoweza kusema atakuwa amefanya jambo lisilo na maana kwa kusema hivyo. Inabidi afahamu kwamba umaarufu wa kisiasa hautafutwi kwa njia za namna hii.
  20. N

    Kwanini na ni namna gani Dr Idrissa Rashidi aliondoka TANESCO?

    Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu kwa jinsi gani Watanzania wanavyoipenda nchi yao hususani katika uchangiaji wa mada mbalimbali hapa ndani. Mimi naungana na watu ambao wanamuelewa Dr. Idris Rashid kwa utendaji wake mzuri na wa hali ya juu. Lakini napenda kuwakumbusha kwamba katika kupambana...
Back
Top Bottom