Search results

  1. bonvize

    Naomba ufafanuzi wa Dhana ya namba 786

    Kwa sisi watu wa numerology hiyo namba ni 3 786 7+8+6 =21 2+1=3 Hivyo tunaenda moja kwa moja katika maana ya namba 3, ambayo ni cha tatu kinachozaliwa baada ya viwili kuungana.
  2. bonvize

    Nyota is real, kuna makundi ya nyota hayafai kabisa sio kwa urafiki, uchumba au ndoa

    Inategemea na huyo mtu amekua kiroho kwa kiasi gani, huo ni upande hasi wa capricorn. Pia huyo mtu anaweza kuwa capricorn lakini ukichambua kupitia numerology anakuwa na energy nyingine tofauti kabisa. Nyota inaweka watu pamoja lakini numerology inaenda specific kwa muhusika hivyo kufikia...
  3. bonvize

    Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

    Maandiko siyo siri, nenda chuo na idara aliyokuwa akifanyia hayo masomo yake ya PhD utapata andiko lake.
  4. bonvize

    Tafadhali Dkt. Dotto Biteko, tunaomba andiko lako la PhD

    Si kila masters ni lazima kufanya journal publication. Kuna namna zaidi ya moja za kufanya PhD, mtu anaweza kuchagua kufanya utafiti moja kwa moja au kukaa darasani kisha kufanya utafiti.
  5. bonvize

    Namba 40 ina siri gani?

    Ndugu haya elimu ya namba (numerology) mimi uwa najifunza mwenyewe tu kupitia vitabu na machapisho ya kwenye mitandao.
  6. bonvize

    Namba 40 ina siri gani?

    Kwa watu wa kawaida hiyo ni 40, lakini kwa wenye elimu ya namba hiyo ni 4. 40=4+0=4 4000=4+0+0+0=4 4 ina maana ya jiwe la msingi, maandalizi kabla ya kwenda hatua inayofata. Hivyo 4 ni ujenzi wa misingi mipya, ndio maana unaona baada ya hizo 40 kunakuwa na uelekeo mpya.
  7. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Sawa, nitakujulisha.
  8. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Mwanzo mwa uzi, utaona nimeandika sehemu ya 7.
  9. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Nimeweka muendelezo ambao unahusu mzunguko wa maisha 9, 11 na 22.
  10. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Tarehe za kuzaliwa mara nyingi tunakuwa tunaelezwa na wazazi au walezi wetu hivyo akikosea hata tarehe moja tu hili somo la namba lazima litoe majibu tofauti.
  11. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Nitaanza kuleta muendelezo wake.
  12. bonvize

    Ni ipi Hoteli nzuri Morogoro?

    Tafuta lodge tu, maana kwa kiasi hicho hauwezi kulala Kingsway, Flomi au Morena.
  13. bonvize

    Ulimwengu na elimu ya Namba

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1514920/
  14. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Sizungumzii imani nazungumzia namba, pingili 33 za mgongo na shahada 33 za wajenzi huru.
  15. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Sawa nitaituma
  16. bonvize

    Ulimwengu na elimu ya Namba

    Uliwaendelezea somo, wewe usiye muhuni?
  17. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Hakuna ramli ni elimu ya namba tu ambayo wengi hawaipendi. Nikupe mfano kidogo Mwanasayansi Nicole Tesla anasema ukielewa 369 basi umeweza kuelewa siri za ulimwengu. Katika ijumaa ya kusulubiwa Yesu, masaa yaliyotajwa ni saa 3, 6 na 9. Namba ni zaidi ya unvyozijua, punguza ugumu wa kupokea...
  18. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    Mtunzi mzima, muendelezo utakuja.
  19. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    12 1+2=3 Soma maelezo ya namba 3
  20. bonvize

    Tarehe ya kuzaliwa na utabiri wa kesho yako

    15 1+5=6 Soma maelezo ya 6
Back
Top Bottom