Search results

  1. K

    Umewahi kusinzia kichinachina?

    Hiyo mpya technology inaweza ikatufanya tukageuka changu au :confused: kambale?
  2. K

    'Kina mama wengi Moshi wana saratani ya matiti';SIO KITOCHI KWELI!!!!

    ENHE!!! Hivi yawezekana kweli Niliwahi kuelezwa kuwa hapo zamani za kale,Waliishi nyumba moja na wanyama,km ngombe mbuzi kuku bata nk.Nyumba zenyewe full suit mlango tu ventilation vipi?kama vile haitoshi mzee akifurahi tu ndafu chini. mama mafuta ya ndafu mpaka liamba.Kila wiki lazima mafuta...
  3. K

    Habiba Kawawa afariki Dar

    MH!!!! Naam inasikitisha kuona na kusikia habari kama hizo.Si walikuwa wamepanga kumfanyia MZEE WA NCHI?? Itakuweje?? Wata ahirisha au watafanya kimya kimya? MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU HABIBA AMEN
Back
Top Bottom