Search results

  1. moe junior

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Wewe kama Jobless ulitamani maisha ya majobless yaweje?
  2. moe junior

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    Unadhani mahakama haijajiridhisha vizuri? Listen, saivi watu wanakuwa ni shareholder kwenye makampuni wanayoyamiliki na wanakuwa na share ndogo sana au hawana kabisa rather anakuwa ni advisor wa kampuni anayomiliki. So ukimtafuta kisheria mali anazomiliki humpati. What if Devis mosha anamiliki...
  3. moe junior

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    We ukipewa hiyo hela unaweza kujenga madarasa 10?
  4. moe junior

    Saa ya Rais Samia yadaiwa kuwa na thamani ya Tsh. Milioni 111,601,22/=

    That means Darasa moja full na fanicha zake ni 9m!! Hahaha jamaa amemmind mama bila kujua ukweli
  5. moe junior

    Ukikaribia miaka 40 utagundua vingi; mojawapo ni kuwa tunaishi na hofu ambazo si halisi

    Kwenye somo la saikolojia kuna mada inaitwa "Growth and development" kama ambavyo mtoto wa miezi 6 - 10 anatabia ya kuweka mdomoni kila anachookota basi ni sawa na mtu kuanzia 50's , 60's na kuendelea. Huu unaitwa umri wa majuto. Wengi sana wanashindwa kukubaliana na ukweli kwamba walishapoteza...
  6. moe junior

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Nadhani tudeal na tatizo la afya ya akili, wakiweka electric fence watu watajirusha ghorofani ili mradi afe. Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  7. moe junior

    Video: Kijana atoa uhai wake kwa kujirusha baharini

    Umeskia wapi? Mwilii umepatikana? Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  8. moe junior

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Ndo naelewa ulichokimaanisha Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  9. moe junior

    Tanesco Iringa mjini hali ni mbaya

    Nikiri kufahamu uwepo wa mgao wa umeme nchi nzima kutokana na sababu hizi au zile kwa namna wanavyozielezea wahusika (TANESCO) na waziri mwenye dhamana.ILA KUNA HII KUBWA KULIKO. Nipo Iringa mjini kwa likizo yangu ya mwaka, nimefika hapa nyumbani kata ya Igumbilo hali niliyoikuta kiukweli...
  10. moe junior

    Ijue bahari: Baharini kuna misitu mikubwa yenye miti mikubwa ya kutosha kuchana mbao kama utazamia

    Na pilipili! Ipo hivi chief, huyu ndugu yetu possibly alipanda katika zile boat zenye sakafu yenye kioo maalumu kwa ajili ya kuangalia vilivyomo katika maji mafupi ya bahari ila si kuzama chini ya bahari. Hizo boat zinapatikana sana hapa bongo mfano ukienda Ruvula (msimbati) kule Maingilio ya...
  11. moe junior

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Goba hapa! Alaaniwe in advance. Mtu (electrical engineer) anaamka asubuhi anamuaga mkewe anaenda job, kazini kwenyewe ndo kukata umeme. Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  12. moe junior

    Master J: 99% ya wasanii wa bongo ni 'mateja'

    Dullayo nshakutana nae maeneo flani majumba sita, dah mwamba kaisha aisee Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  13. moe junior

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Swali jepesi litakalozua maswali mengi "je wewe ni mtaalamu wa dawa za usingizi? I no...! Una uhakika gani kama dawa uliyomdunga ni ya usingizi na sio sumu? Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  14. moe junior

    Mtwara: Jinsi Askari Polisi akiwemo Mkuu wa Kituo na Upelelezi walivyoshiriki Mauaji ya Mfanyabiashara wa Madini

    Point itakayomfunga ndo hiyo "utaalamu wa dawa za usingizi" Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  15. moe junior

    Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Sauti nzur! Bila shaka upo faragha na shababi flan ivi. Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  16. moe junior

    Oscar Oscar uache kuwaita wachungaji ni matapeli! Chambua soka, achana na wachungaji kabisa

    Mwe! [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]. Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  17. moe junior

    Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Bro inshort utakavojiweka ndo matapeli watakavokuingia. Mi nna kiwanja kibaha, mapinga na Goba, kibaha na mapinga kuna utapeli wa kutisha, tapeli mmoja aliuza plot yangu cz sijaenda kusafisha wala kupaona for sometimes. Sikutaka kugombana na aliyeuziwa, kwenda polisi wa kwa mtendaji wa mtaa. Mi...
  18. moe junior

    Mganga Mkuu wilaya ya Moshi Mjini afariki dunia akiwa guest house

    Hapana mkuu, district medical officer (DMO) ni mbunifu wa mavazi Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  19. moe junior

    Ndugu yangu amekuwa mlevi wa kupindukia, nataka nimpeleke sober house

    hapo kwene familia kuwa complicated ndo penye chanzo. Kabla hujampeleka sober jaribu kumcheki afya yake. Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
  20. moe junior

    Mwamposa, ni vyema ukarekebisha baadhi ya vitu ambavyo ni kero kwa waumini wako na jamii kwa ujumla

    So mwamposa anazuia hayo yote? Ukienda kwake suala la moyo kusimama (kufa) halipo? You. Brain washed sheeps hebu amkeni asee Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom