Search results

  1. KOLOKOLONI

    Mafuriko wakazi wa Wilaya ya Kinondoni hali ipoje?

    Nimekuwa nikisikia sifa kem kem Wilaya ya Kinondoni kuzuri sana Wilaya zingine za Dar es Salaam ni hovyo Kabisa.Sasa Mtupe taarifa za Mafuriko huko kwenu kupoje? Kutoka hapa Tarime hali ni Shwari
  2. KOLOKOLONI

    Mkataba wa bandari Wanirudisha Kanisa Katoliki

    Mkataba wa Bandari Wanirudisha kanisa katoliki. Wazee salama humu. Kwanza nikiri tu miaka mingi sana sijatia Mguu wangu Pale Kanisani inakaribia miaka 13 ila kinachoendelea Nchini juu ya Mkataba wa bandari wacha nijisogeze nione ni kweli wanausoma huo Waraka ni Maaskofu wa kanisa Katoliki...
  3. KOLOKOLONI

    Rais Samia, vita ya kiuchumi ni ngumu sana kaza buti na mkanda hasa

    BANDARI YA DARESALAM IMEMUINGIZA RAIS SAMIA KWENYE VITA VYA KIUCHUMI Chukua kalamu na karatasi kwenye andiko hili unaweza kuandika chochote…. Ipo hivi…. Bandari ya Daresalam inahusika kwa asilimia 95% kwenye biashara za Kimataifa Tanzania. Ni eneo Muhimu mno na fursa kubwa sana kwa nchi yetu...
  4. KOLOKOLONI

    Wapi sehemu salama kuishi katika jiji la Dar es Salaam

    Leo nimekuwa kwenye mizunguko yangu tokea asubuhi Karibu Wilaya zote za Jiji hili Mvua zimeanza kunyesha Barabara nyingi hazipitiki kutokea city centre Hadi kwenye Maeneo maarufu .Mahali gani niishi hapa DSM ili nisiwe na hofu ya njia kufungwa na Mafuriko au nikiwa home nisisombwe na Maji niishi...
  5. KOLOKOLONI

    Vimbwanga na vituko vya member mpya wa JamiiForums

    Wakuu Salama humu ndani. Nimekuwa member humu ndani ya JamiiForums kwa miaka Mingi na huwa najivunia Sana kuwa nimejifunza Mambo mengi Sana na kutatua migogoro Mingi ya kiimani, Kisheria na kimaradhi. Leo na Jana nikawa napitia vimbwanga na vituko mbalimbali nimeona vingi na wengine ni Wasomi...
  6. KOLOKOLONI

    Tujuzane Wilaya gani hapa Dar Mvua imeelemewa mpaka huu muda

    Wanajamvini tupeane taarifa mapema Maeneo gani tusifike kabisa sababu wameelemewa na mvua na Mafuriko makubwa. Huu muda nipo hapa Ubungo ila ninamoango wa kufutilia mishe zangu karibu mkoa wote wa DSM ila Mvua inanitisha.
  7. KOLOKOLONI

    Tusitishane hapa Mortuary Tokea kitambo watu wanakufa msijibebeshe Matangazo ya vifo utafikiri tulikuwa hatufi

    Kuna miwatu siku hizi wamechukua jukumu la kutangaza taarifa kifo. Wakati kila Mortuary zilizo katika hospitali zote zimekuwa zikipokea maiti hata kabla ya CORONA sasa imeshakuwa ajabu kila mtu akifa watu wanashangilia eti CORONA.. kwani kabla ya CORONA watu walikuwa hawafi? Karibu mtaanza...
  8. KOLOKOLONI

    Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Nimefutilia mataifa mbalimbali kupitia mitandao naona madaktari na wakemia wakitaja dawa mbalimbali katika ugunduzi wa tiba ya Corona lakini Tanzania naona fofofo. Sasa najiuliza pale Muhimbili University na Bugando mnajifunza kuosha vidonda tuu? Au ni vyuo vya ujenzi wa Maghorofa? Hivi...
  9. KOLOKOLONI

    Kwanini unakubali kurekodiwa video ya ngono?

    Hili tatizo limekuwa sugu mbaya zaidi wahanga wengi husema walikuwa hawajui wakati wanarekodiwa na wengine kuishia kuomba radhi .Swali dogo tu kwanini ukubali kurekodiwa video ya ngono wakati wakati wewe haushi kutegemea kuuza hizo video.Mbaya zaidi zinazagaa mtandaoni!!!!!
  10. KOLOKOLONI

    Mapenzi ya kujirekodi video wakati mnafanya tendo la ndoa in Ujuha Uliopitiliza.

    Habari wanajamii forums wenzangu naamini jumapili ipo safi kabisa . Rejea kichwa cha habari hapo juu kinachosema Mapenzi ya kujirekodi video wakati mnafanya tendo la ndoa in ujuha uliopitiliza. Mara kadhaa nimeshuhudia wadada wakihaha kutafuta mbinu ya kujikinga zidi ya aibu ya video ambazo...
  11. KOLOKOLONI

    Tupeane taarifa ya hali ya mvua na barabara mahali ulipo

    Kulingana na hali ya hewa kuwa ni MVUA kubwa kuendelea kunyesha tupeane taarifa mahali ulipo. Já barabara zinapitika barabara gani tusipite je kuna majanga yoyote mtaani kwako. Hayo tu wanajamvini.
  12. KOLOKOLONI

    Nauli ya daladala kupandishwa ili ifanane na basi ya mwendo kasi

    Habari kutoka chini ya kapeti nauli itapanda kutoka 400 mpaka 600 na wa 600 mpaka 900 kama hutaki tembea kwa miguu kuanzia 1.10.2015 ili tufananishe na bei ya mabasi ya mwendo kasi nje ya hapo kampuni itapata hasara.
  13. KOLOKOLONI

    Mbinu za kujilinda usitekwe au kuuwawa kipindi cha kampeni

    Tanzania tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu hapo octoba bila shaka tutasikia mgombea au mpambe wa mgombea katekwa au kauwawa na watu wasiojulikana. Sasa mbinu hizi chache zitakuokoa na zahama hizo. 1. Acha kudharua vitisho vyovyote juu ya maisha toa taarifa polisi ili hatua zichukuliwe. 2...
  14. KOLOKOLONI

    Kenya ifanye nini kujiokoa na magaidi wa kisomal

    kenya ifanye nini ijiokoe na ugaidi wa kisomali maana hali ni tete.
  15. KOLOKOLONI

    Rais apewe nguvu ya kukataza adhabu ya kifo isitekellezwe na si kuruhusu kuruhusu kutekelezwa

    kutokana na mauaji ya albino yanayoendelea nchini nimmegundua kuna madhaifu katika sheria zetu za nchi kwani inaonesha kuwa bila rais kuruhusu utekelezaji wa adhabu ya kifo basi mhalifu hatoadhibiwa ili iwe onyo kwa wengine. Kutokana na hali ya ubinadamu inaonesha rais huwa anaingiwa na hofu ya...
  16. KOLOKOLONI

    Unatambua kuwa ni jukumu lako kuilinda Tanzania?

    Hofu yangu imenipeleka mbali sana mpaka nimefikiri inaweza ikafika siku ulimwengu ukasema tukae meza moja na hawa wanaopora silaha ili tujadiliane na kufikia amani ambayo kwa wakati huo nitakuwa imepotea.Sasa wewe kama Mtanzania mwenzangu uliye tayari kuitetea amani yetu wajulishe pollisi au...
  17. KOLOKOLONI

    Rais ajae awe Lowassa au Shein, hapo CCM kura yangu mtaipata

    Mpaka sasa ninapoitazama siasa ya Tanzania ninaona nafasi itakayoachwa na kikwete kiongozi anayefaa kuiziba hiyo nafasi ni Lowasa au Shein maana waonekana kiutendaji na usimamizi wao katika kazi upo juu zaidi kuliko viongozi wote wanohiitaji hiyo nafasi kwa sasa.Nje ya hao watu kura yangu urais...
  18. KOLOKOLONI

    Tanesco bunge linapokuwa limehairishwa kwa muda mtuoneage huruma kidogo

    Tanesco bunge likihairishwa kwa muda muwe mnaturudishia japo kidogo huo umeme wenzenu tutafilisika.
  19. KOLOKOLONI

    Serikali naomba mtusamehe sisi wanainchi wenu mturudishie umeme tutafilisika kibiashara

    kiukweli hii hadha ya kukatika umeme naona imezidi na hata ukirudi bado hauna nguvu kutokana na hii hali naiomba serikalli itusamehe tu wala hatutaangalia bunge tena kuhusu mabilioni ya iptl mpaka leo naona dalili zote za kufilisika kibiashara.Sasa naomba watuonee huruma tu iminibidi kuomba...
  20. KOLOKOLONI

    Hivi hiyo pesa iliyoibiwa tegeta ndiyo ile niliyokuwa nikinunulia luku kwa bei mbaya au hela gani?

    Nipo hapa na haka kasimu changu nikiendelea kusikia redio mara nikasikia kuna magunia ya hela yameibiwa Tegeta na pesa hizo zilikuwa mali ya Tanesco .je hizo pesa ndiyo zile nilizokuwa nanunuliaga luku kwa bei mbaya au ni hela gani?
Back
Top Bottom