Search results

  1. KOLOKOLONI

    Kwako ni dhambi ila kwangu sio dhambi

    Afrika Afrika Afrika Afrika. Sasa naamini ndiyo mnatoka utumwani .
  2. KOLOKOLONI

    Biblia ndio kitabu pekee chenye uwezo wa kukupa afya ya akili?

    Kama kuna kitabu kinachoharibu akili ni Bibilia acha kudanganya Watu. Eti nyoka aliongea na Hawa hivi toka lini nyoka anaongea, Eti Samson aliua Simba kwenye jangwa la Palestina toka lini simba anaishi Jangwani, Eti walivuka Bahari ya Shamu usiku mmoja yaani km600 uvuke usiku mmoja? Mke wa Ruth...
  3. KOLOKOLONI

    Kubet ni dhambi?

    Katika Ulimwengu hakuna dhambi hizo ni porojo za Wazungu na Waarabu tu. na Imani zao za sungura na fisi . Tunachokaza Waafrika ni kwamba Watu hawatakiwi kuishi kwa kubahatisha tufanye kazi.Wazee wa Kiafrika wanasema Michezo ya kubahatisha ni burudani tu wale usiwekeze akili huko maana mwanya wa...
  4. KOLOKOLONI

    Kijiji chote kimesombwa na Mafuriko, Kanisa limebaki

    Ujenzi imara location sahibi. Hakuna nguvu za kiroho hapo kanisa lingekuwa na nguvu hiyo basi lingefichwa kama Nyuklia .Hakuna nguvu yoyote kwenye hizo imani
  5. KOLOKOLONI

    Wakristo na Waislamu ni Wamoja tena Watoto wa baba mmoja tofauti yao ni Matumizi ya " Upanga" tu!

    Acha utumwa Wakristo ni Wazungu Waislam ni Waarabu hawana undugu hata kidogo wewe Muafrika ni kujipendekeza tu Baba yako wa Imani ni Mwanamalundi.
  6. KOLOKOLONI

    Video: Mvua kubwa ilivyosababisha athari mitaa ya Mwanza, leo Desemba 10, 2023

    Hiyo mvua ni kubwa sana hata mngekuwa na miundombinu mizuri bado hali ingekuwa tete
  7. KOLOKOLONI

    Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

    Wewe ndiyo huna akili unaamini Mungu wa kutoka Mashariki ya kati anayeongea kiarabu na Hebrew . Mtumwa wa Wakoloni
  8. KOLOKOLONI

    Ili mtu mweusi aweze kuendelea anabidi kujifunza kutoka kwa mzungu na watu wa dunia ya kwanza

    Acha upuuzi Shaka zulu alisoma wapi? Mkwawa alisoma wapi? Kabaka alisoma Wapi? Pyramid za Misri zilijengwa na Mzungu gani? Timbuktu University ilijengwa Mzungu gani ? Hao walioandika hivyo vitabu vipi waliwaji kuwa kiongozi
  9. KOLOKOLONI

    Majura, Askari wa Kituo cha Mabatini-Kijitonyama anayefanya kazi akiwa amelewa

    Haya ongezeni bidii wafukuzwe wote ili wabadili majukumu yao kwa kutumia taaluma zao badala defensive awe offensive . Tukumbuke tu katika taarifa za Un kule Tanzania inaonyeshwa kuwa na alama ya kijani maana yake Hali ni Shwari kabisa ni tofauti na mataifa mengi Afrika hali ya uhalifu inaoneshwa...
  10. KOLOKOLONI

    Ujumbe wa Ijumaa: Omba kufundishwa na Mungu

    Upuuzi Mtupu yaani taarifa za kufikirika tu. Kila nikifikiri hatujarith utajiri wa Sulemani na bali dhambi za Adam na Hawa napata tabu sana kuamini Bibilia. Yaani Hawa kala Apple moja tu kafukuzwa bustanini na kaambiwa utazaa kwa Uchungu sasa wale Ng'ombe wetu hapa Tarime mbona na wao Wanazaa...
  11. KOLOKOLONI

    Watumishi wengi wa Umma tumeachwa Kimaisha na Wajasiriamali wadogo

    Yaani wewe Mbumbumbu kweli yaani ukiwa bizzy na mavitabu kuangalia uhalisia kweli huwezi ona ukweli Kundi kubwa la Watumishi wa umma ndiyo wajasiliamali wenyewe. Wao ndiyo wakulima,wao ndiyo wamiliki wa vyombo vya usafiri wao ndiyo wafanyabiashara tatizo kubwa ya hao wafanyakazi huwa wanaficha...
  12. KOLOKOLONI

    Je, Mabinti wa Mtume wetu walipofariki walizikwa na Waume zao?

    Katika hii dunia hapajawshi tokea huyo Mtu ni hadithi tu eti mtu kafa miaka ya 500 kitabu cha kwanza miaka ya 800 hivi kuna ukweli hapo
  13. KOLOKOLONI

    Nahisi Nimetupiwa kombola la kichawi usiku wa kuamkia leo, nahisi ganzi kwenye nyao za miguu, viganja vya mikono na mdomoni

    Siyo wanaoamini Bibilia wala Quran.wenye uwezo wa kupambana na Uchawi wa Afrika Nguvu zilizopo Afrika ni kali sana kuliko za Mashariki ya mbali .Ushauri wangu kwako usipoteze muda kwa Imani za kigeni rudi kwenye Imani ya Muafrika halisi Upate tiba za jadi utakuja shukuru .Iman za kigeni ni...
  14. KOLOKOLONI

    Kuna baadhi ya watu ukiwasalimia hawaitikii salamu

    Ameshapewa file lako ambalo limeeditiwa aahaaa
  15. KOLOKOLONI

    Ni muda wa kanisa katoliki kuongozwa na waafrika wanaoongoza kwa waumini na imani kuliko wazungu wanaozidi kutoamini Mungu

    Boresheni Imani yenu acha upuuzi hata hujiulizi wazungu wakristo kuhiji Uzunguni ,Waarabu Uislam kuhiji Uarabuni,Wahindi Hindu kuhiji India Wewe Muafrika eti kuhiji mpaka Uende Uzunguni,Uarabuni na India yaani hujiongezi tu? Nenda kasalimie kwenu December Waafrika huenda kwenye mizimu yao na...
  16. KOLOKOLONI

    Umefika Muda Serikali itutumie vijana kutoka Tarime ili kukomesha Masuala ya Uhalifu kwenye baadhi ya Mikoa

    Dar wakulya ni wauza mayai na mchicha tu yaani wanatandikwa kila wakati na madereva daladala . Mkurya anasumbua huko huko Tarime tu DSM ni yabaina yake kweli kweli majambazi wanatoka Moro , Pwani na kusini
  17. KOLOKOLONI

    Mafuriko Dar, shida sio Barabara shida ni ujenzi holela na kuhakisha mikondo ya Maji

    Hiyo siku isiyokuwa na jina haipo na jiji litanoga tu. Jiji lote lipo bondeni
  18. KOLOKOLONI

    Waha /Abaha ni Wanyarwanda?

    Neno uraia limeanza kutumika baada ya Uhuru hivyo Waliokuwa wanaishi Tanganyika Walitangaziwa kuwa Wao ni Watanganyika na kama hutaki ondoka Tanganyika wao wakabaki Tanganyika hivyo ni Watanganyika hivyo basi sass tumeungana na Zanzabar hivyo wao ni Watanzania hivyo acha Upuuzi hatuangalii...
  19. KOLOKOLONI

    Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    Ukiona Muafrika bado hajafungiwa wala kuwekewa vikwazo na Mabeberu ujue huyo hayupo upande wetu ukiona Muafrika anasifiwa na Wazungu jua ameshatusaliti hii hasa kwa Wanasiasa.
  20. KOLOKOLONI

    Kenya leo wanapanda miti Milioni 100. Haya ni mambo Tanzania tunapaswa kuiga

    Hapo itakuwa 100 tu maana hata maji ya kumwagia hawana na mvua hazinyeshi
Back
Top Bottom