Search results

  1. mobakha

    Msaada wa QuickBooks

    Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
  2. mobakha

    Biashara ya vyombo vilivyotumika

    Habari gani wakuu, za majukumu? Natumai ni wazima wa afya, naishi Zanzibar naomba kuelimishwa vipi nitaweza kufanya biashara ya vyombo vilivyotumika, nataka kuagizia moja kwa moja kutoka nje ya nchi. Natanguliza shukrani.
  3. mobakha

    Naomba kujua kuhusu Screen Liquid Protector

    Natumai ni wazima, leo nakuja na swali nataka nijibiwe maana huku kwetu nimeona sana huduma hii nataka nitumie ila nasita kiukweli maana sijui ubora wake. Ni nini faida na hasara ya Liquid Screen Protector za simu? Natanguliza shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mobakha

    Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

    Habari za leo ninatumai ni wazima wa afya na mnaendelea na jukumu la kujenga taifa letu. si mweledi sana wa kuandika ila leo nimekuja na hili lililonitokea. Kiufupi ni kwamba mke wangu ameibiwa simu yake ya android nyumbani kwake mchana kweupe sitoeleza stori yote ila baada ya tapeli...
  5. mobakha

    Maisha ni magumu

    Maisha ya sasa hivi haijalishi ni msomi au si msomi ila yanakua na changamoto nyingi sana. ulipopapata pashikilie kwa sababu juu ni kugumu sana na fursa nikidogo labda uwe na mtaji wakutosha
  6. mobakha

    Ninahitaji laptop used

    Habar zenu wadau. ninahitaji laptop used inayouzwa kwa alie kuepo Zanzibar. iwe na sifa angalau zifuatazo. RAM isipungue 2GB, Hard disk isipungue 320GB. alienayo naomba tuwasiliane.
  7. mobakha

    Faida gani naweza kupata kwenye mtandao wa twitter?

    nimeanza kutumia facebook na mitandao mengine mingi ya kijamii kama vile instagram, hi5, mocospace etc kipindi sasa. ila tatizo linakuja wakat nataka kutumia mtandao wa twitter, huwa sina mzuka nao na hatimae naacha kuutumia. mara nyingi huwa najiuliza ni kwa nini hali hii itokee. jee kwa kuwa...
  8. mobakha

    Nitaitambuaje TECNO original?

    Ninatumia simu ya Tecno P5 kutoka China, nimeambiwa sio feki(yakichina), nataka kujua ni vipi ntajua kama kweli simu yangu si feki
  9. mobakha

    SPSS (statistical package for social sciences)

    Ninashida na hii program nimejaribu kuidownload lakini sikufanikiwa, naomba msaada jinsi yakuweza kuipata kiurahisi.
  10. mobakha

    Nitapataje hii programm SPSS(Statistical package for the social sciences)

    wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program. nimejaribu kuidowload sikufanikiwa, naomba msaada kutoka kwenu jinsi yakuipata. May God bless yhu all
  11. mobakha

    Mwenye software ya SPSS(Statistical Package for the social sciences)

    Wana JamiiForums wenzangu ninashida sana na hii program, nimejaribu kudownload lakini ckufanikiwa. naomba sana msaada kutoja kwenu niweze kupata hii kitu. may God bless yhu all!
  12. mobakha

    Msaada tatizo la kutuma sms kwenye tecno p5

    naomba msaada simu yangu ukitumq sms mara moja zinaendelea kuingia zaid ya mara moja. nimejaribu kuristore lakin tatizo likawa lile lile. nifanyeje wadau nisaidieni please
Back
Top Bottom