Search results

  1. Saytoti

    Kudamshi

    Hivi ni nini maana ya kudamshi? Kiswahili ni kipana wanandugu.
  2. Saytoti

    Airtel Malaria mpya

    Laini za airtel usajili wake wa vidole ni tatizo mwezi mzima unahangaikia laini moja. Tatizo ni nini?
  3. Saytoti

    Serikali ikune kichwa timu ya kupambana na Barrick

    SERIKALI IKUNE KICHWA TIMU YA KUPAMBANA NA BARRICK Na EVANS MAGEGE, KAMPUNI ya Barrick Gold Corporation kupitia mshirika wake Acacia, imeonekana kutaka kupeleleza ili kuwafahamu watu ambao watateuliwa na Rais Dk. John Magufuli kuunda timu ya kuiwakilisha Tanzania kwenye mazungumzo ya...
  4. Saytoti

    Kauli ya Mwigulu Nchemba baada ya kutembelea eneo walilouawa askari 8

    WAZIRI wa mambo ya ndani ya nchi,Mwigulu Nchemba,amesema hawatokubaliana na mtandao,kundi ama mtu anaehusika na kugharimu maisha ya askari ama wananchi wasio na hatia. Aidha amebainisha kwamba kilichombele kwa sasa ,wanaendelea kuhakikisha kuwa wanarudisha silaha zinazochukuliwa katika matukio...
  5. Saytoti

    Magari used yanayouzwa hapa bongo na yanayouzwa huko nje yanautofauti gani?

    Magari used yanayouzwa hapa bongo na yanayouzwa huko nje yanautofauti gani?
  6. Saytoti

    Dalili ya mwanamke anayekutaka kimapenzi ni ipi?

    Ningependa kufahamu dalili ya mwanamke kukutaka kimapenzi ni zipi maana kukuambia moja kwa moja hawezi kufunguka.
Back
Top Bottom