Search results

  1. Diva Beyonce

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Ubunge una muhangaisha ka kuku anayetaga kutaga loh, na bado mpaka ajutie usaliti Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Diva Beyonce

    COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    [emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Diva Beyonce

    Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

    Ilikuwaje ukaacha bange na starehe yake ni ipi
  4. Diva Beyonce

    Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

    Hongera kwa hii topic umenifanya ni log in JF baada ya mda mrefu coz mada yako nzuri sana I hope to learn more from you honestly
  5. Diva Beyonce

    Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

    Huyo binti amusemee kwa watu wazima wamwekee mtego. Hilo libaba la hivyo na halijiheshimu ukute lina ngoma na anafanya hivo maybe kwa vile sio mwanawe
  6. Diva Beyonce

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

    Na wengine ndo wanalipa kisasi kina Nani hao walioifanya nchi for granted maana nchi ni yetu sote
  7. Diva Beyonce

    Mikoa ya Pwani imependelewa sana katika mgawanyo wa Rasilimali za Nchi.

    Kwahyo unataka napo papendelewe ka chato airport. Maana watumishi wengi huhama nakuja mikoa karibu na Dar es Salaam.
  8. Diva Beyonce

    Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

    Pole sana ukiona manyoya jua kaliwa ungekuwa umeandikishana ungemshtaki siku zote watu tuwaaminio ndo matapeli wakubwa.
  9. Diva Beyonce

    Rais Magufuli atakubali kuachia ngazi muda wake madarakani ukiisha?

    Hata hyo neema hawezi kuileta na huo uwezo hana, kiongozi mzuri huonekana mapema kwa kufata katiba na kutenda haki madictator wengi huwa hawana maono hasa wa kiafrica zaidi ya ubinafsi wa kujaza tumbo zao
  10. Diva Beyonce

    Rais Magufuli atakubali kuachia ngazi muda wake madarakani ukiisha?

    Huyu hata roho yake ina chembe ya ukurunzinza
  11. Diva Beyonce

    Tambua kama unadukuliwa WhatsApp yako

    IPO hyo options mi nimeweka yakutokuonyesha wangapi wameview na mi Niki view hawaoni.
  12. Diva Beyonce

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

    Ana hekima na utu nadhani anafata imani yake safi ya dini tofauti na mkuu wake anayewaza kulipa visasi a.k. a muumini wa jino kwa jino
  13. Diva Beyonce

    Edward Lowassa atakiwa kuripoti haraka sana kwa DCI

    Na ndo kazi ya awamu hii kujitaftia kiki zisizo wasaidia wananchi.
  14. Diva Beyonce

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Ushabiki umempofua bila Jk, Mkapa kufunguliwa mashtaka hapo ni kazi bure ni mwendelezo wa Sizonje kutafta kiki baada ya kila jambo kumshinda, ka lile la Acacia
  15. Diva Beyonce

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Magu kashindwa sasa ana create matukio ili watu wasihoji hali ya uchumi wa nchi. Yeye mwenyewe ajipeleke na ufisadi wa nyumba na Tanroads.
Back
Top Bottom