Search results

  1. UMBEEE

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Mpira umeisha
  2. UMBEEE

    Hawa ni Watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD

    EZekiel Malongo jamaa wa mpira
  3. UMBEEE

    KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Zinaitwa PreP na siyo PEP
  4. UMBEEE

    KWELI Kuna dawa ya kuzuia maambukizi ya HIV ndani ya saa 72

    Hizo dawa zipo lakni enyewe umeza kwa sku 5 kwanza ndupo utapata kinga dhidi ya ukimwi na ni muendelezo kunywa mpaka pale utakuwa mbali na hatari ya kuambikizwa ukimwi.. Kwa mfano mtu kazi yake ni kujiuza kwa njia ya ngono. Huyo kwenye hatari kwa hiyo huyo mtu anatakiwa ameze hizo dawa kwa siku...
  5. UMBEEE

    Wasomi wa afya na Wakemia Tanzania, mbona kimya kuhusu ugunduzi wenu wa dawa ya Coronavirus?

    Wapo kaka kuna proffesor wangu anataka kufanya utafiti juu ya chanjo ya korona lkn anaona gharama ni kubwa mnoo ameshaandika proposal Sent using Jamii Forums mobile app
  6. UMBEEE

    Ukifanya mchezo na tatizo la msongo wa mawazo tutakupoteza

    Leo nimekutana na hii hali ya msongo wa mawazo. Kumbe hata kutembelea mitandao inasidia kupunguza namshukuru Mungu nimejikubali kwa hali yeyote Sent using Jamii Forums mobile app
  7. UMBEEE

    Msaada

    Nimebadili lkn bado inasumbua
  8. UMBEEE

    Msaada

    Ina miaka 3
  9. UMBEEE

    Msaada

    Tecno
  10. UMBEEE

    Msaada

    Jamani simu yangu touch ya back zile ya chini yaani za kushoto na kulia zimegoma kutouch nimejaribu kuweka touch mpya lkn mambo ni yaleyale naombeni msaada. Cm yangu ni J5
  11. UMBEEE

    Shule ya kwanza Tanzania

    HII NDIYO SHULE YA KWANZA KABISA KUJENGWA TANZANIA. Mwaka 1848, Mmishonari wa Kijerumani Dk Johan Ludwig Krapf, alitembelea kijiji cha Magila kilichopo Muheza mkoani Tanga akiwa katika safari zake za Afrika Mashariki. Magila kuna mlima ulio katika safu za milima ya Usambara ukipakana na mlima...
  12. UMBEEE

    Vita ya Uchumi: Bei ya mbaazi yashuka hadi kufikia Tsh.50 - Tsh.200 kwa kilo

    Usiongee kisiasa njo kwa wakulima vijijini uone tunavyoumia hiyo soko limesemwa juzi tu na hatuna uhakika kama zitanunuliwa. Yaani we acha kabisa tumelima lkn hata gharama za kilimo hazirudi tumerundika mbaazi store tu.
  13. UMBEEE

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    hoja yangu ni kwamba sisi was kanda ya kaskazini hususani wilaya za babati Karatu ATM ziko chache mfana halmashauri ya babati ATM iko mjini tu na Karatu pia iko moja pale mjini tu sasa inatuwia vigumu MTU kusafiri mwendo mrefu mngeweka ATM kwenye raasisi kubwa kwa mfano pale babati mngeweka...
  14. UMBEEE

    King'amuzi cha Continental hakipo hewani kwa wiki mbili sasa, kulikoni?

    Hili swala la king'amuzi la continental kutokuwa hewani kwa muda week mbili nani anajua undani wake?
  15. UMBEEE

    King'amuzi cha Continental hakipo hewani wiki mbili sasa!

    Wana JamiiForums naombeni hili swala hili, king'amuzi cha continental kutokuwa hewani kunasababishwa na nini? Sasa ni takribani two weeks!
  16. UMBEEE

    Nahitaji Pikipiki aina ya Boxer

    Nahitaka Pikipiki aina ya boxer vp ubora wake pamoja na bei yake.
  17. UMBEEE

    Natafuta mke mwema

    Ni daktari niko singo namtafuta mke awe na umri kuanzia 22-27 elimu 4m 4 -- chuo ani pm
  18. UMBEEE

    Kinyozi anatafutwa

    mtu anayefanya kazi saloon kwa ajili ya kunyoa nywele kichwani
Back
Top Bottom