Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi.
Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k.
Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring...
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba.
Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada.
Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF.
Lakini kuna hoja kwamba ALAF anauzia brand,kwamba kuna kampuni nyingine nzuri zinafanya vizuri lakini hazina...
Habari zenu wana jukwaa la kilimo.
Nina shamba ninafanya kilimo cha mahindi. Nimenunua mbolea ya kupandia lakini muuzaji alichanganya akawapa vibarua UREA badala ya mbolea ya kupandia.
Naomba kujua hatua za kuchukua baada mkanganyiko huu kwani vibarua wameshapanda kwa kutumia UREA.
Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika.
Youtube kuna episodes chache tu.
Heshima kwenu.
Naomba kwa anayejua orodha yote ya riwaya za kipelelezi za Willy Gamba katika mtiririko wake kuanzia cha kwanza mpaka cha mwisho anitajie.
Nataka nianze kusoma ningependa kuanzia mwanzo.
Asanteni.
Habari wakuuu!
Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae.
Kwa aliyepo Dar es salaam ni vizuri zaidi.
Heshima kwenu!
Nimesikia kuna mikopo inatolewa na serikali kupitia hazina kwa watumishi wa uma. Nimetafuta nyuzi humu JF kuihusu lakini nimeona michango ni kidogo sana haitoi usaidizi mzuri.
Ninaomba kwa yeyote mwenye taarifa sahihi kuhusu mkopo huu,vigezo na masharti vya kupata ,utaratibu wa...
Habari zenu!
Jana kupitia ITV niliona tangazo kutoka kwa Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo akitangaza uuzwaji wa viwanja katika wilaya hiyo.
Kwakuwa napenda kumiliki kiwanja Bagamoyo lakini kwa sasa nipo mkoani kikazi sitaweza kufika ofisini na kufanya maulizo.
Naomba mtu...
Nilikuwa mtumiaji mzuri sana wa mtandao wa Vodacom. Baadae wakaja kupandisha bei za vifurushi vyao kwa kiwango kikubwa. Niliendelea kutumia Vodacom kwa matumizi yangu makubwa na kidogo laini ya Halotel. Baadae nikaja kushtuka Vodacom ukiwa mteja mzuri wanakupandishia bei, vifurushi vyako...
Habari!
Linatafutwa eneo katika mkoa wa Dar es salaam kwa ajili ya kuweka biashara ya Restaurant. Eneo liwe na population nzuri,watu wa kipato cha kati na juu na linalofikika kwa urahisi.
Sehemu yeyote katika mkoa wa Dar es salaam itafaa ili mradi kuwe na potential ya biashara hiyo.
Kama...
Hatimaye Filamu maalum ya kutangaza utalii wetu imezinduliwa rasmi. Mapokeo ya filamu hiyo miongoni mwa Watanzania wengi yamekuwa makubwa sana huku matarajio ya kupaa kwa utalii wetu yakipaa juu zaidi.
Mara ya kwanza nilipoona tangazo la filamu hii kwenye vyombo vya habari na mitandao ya...
Habari!
Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time.
Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina.
Je, kuna...
Katika jiji la Agra nchini India,kwenye kingo za mashariki za mto Yamuna limesimama jengo mashuhuri kuliko yote nchini India,TAJ MAHAL. TAJ MAHAL iliamriwa kujengwa mwaka 1632 na mtawala wa tano wa himaya ya Mughal aliyeitwa Shah Jahan. Himaya ya Mughal ilikuwa inapatikana katika eneo la...
Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki. Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki . Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
Habari zenu wakuu,
Ninatamani kuanza kutumia bidhaa ya Oriflame inayoitwa Novage advance breakout defence emulsion. Nimeambiwa kwa sasa hazipatikani kwa kuwa Oriflame hawa-operate nchini na hizo bidhaa labda ziagizwe nje.
Je, nini kilifanya Oriflame waondoke Tanzania? Kama kuna mwenye msaada...
Miaka kadhaa tangu kutolewa kwa filamu ya Apocalypto(mwaka 2006),bado nimeguswa kuandika makala yangu ya kwanza kwenye blogu hii kuhusu filamu hiyo.Ninaipenda sana filamu hii.
Mel Gibson na Farhad Safinia ndio walioiandika Apocalpto.Wawili hawa walikutana kwenye matengenezo ya mwisho mwisho ya...
Unajua haya matatizo mengine tunajitakia wenyewe lakini mwisho wa siku yanatugharimu. Miaka mitano ni mingi sana kuvumilia shida, bora ingekuwa miwili au mitatu alafu tunachagua viongozi wengine.
Hawa watatuua yani bora hata ufe kwa ugumu wa maisha kuliko kufa kwa chuki dhiki ya kiongozi wako...
Naomba mnisaidie jinsi ya kuipata tamthilia ya La Revancha iliyowahi kurushwa na chanel ya TBC1 enzi hizo ikiitwa TVT.Nimejaribu mitandaoni kwa uelewa wangu lakini sijafanikiwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.