Search results

  1. C

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Wakati mwingine mtu kachoka,foleni ndefu au katoka tu home kavurugwa na mambo binafsi.
  2. C

    Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Yaan huyo mdada anaonekana ana kasheshe,jinsi anavyoongea tu ni mshari.
  3. C

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Sikatai mkuu Bima ya Afya wana mapungufu,lakini mtoa mada shida yake haipo kwa watu wa Bima,yeye kaelekeza kero yake kwa watu wa Hospital. Watu wa Hospital wanafuata maelekezo ya Bima,hiki mpe mgonjwa hiki usimpe,Huduma hii toa hii usitoe kama sio level yako...Sasa mgonjwa unapoanza kuhoji...
  4. C

    Muhimbili yaongeza Gharama za Kuona wagonjwa wa VIP

    Wewe ulienda kusomea kejeli?
  5. C

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Ushatumiwa nyaraka huko nyuma kasome kama utaambulia chochote. Mambo mengine huwa mnahoji shudu..Mbona Daktari akikwambia una malaria huulizi utajuaje kama ni Malaria kweli?
  6. C

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    We nae acha kukaza fuvu,hizo dawa ambazo hupewi kwa bima ujue ndio za gharama kubwa,manake kama zingekuwa zinaruhusiwa mahospitali yangepata pesa nyingi sana. Hakuna mtoa huduma ambaye atakunyima dawa ya gharama kwa makusudi,pia Catalogue ipo inayoonesha dawa zinazoruhusiwa na bei zake na dawa...
  7. C

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    Hivi kumbe hizo barabara bado zipo vile vile tangu nilivyoziacha 2020?
  8. C

    Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Kwahiyo nyumba milioni 50 inaweza isitoshe labda kama atatumia materials cheap sana. Kuezeka tu hiyo paa inaweza kwenda mil 15
  9. C

    JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

    Maxence Melo njoo hapa mnatuhumiwa kuficha matapeli.
  10. C

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Umeelewa nilichoandika au unakurupuka tu? Unasoma vitabu wewe? Ukiambiwa utaje waandishi mahiri kutoka Tanzania utamtaja huyo bwana? Tuzo ndio kipimo chako cha uandishi mzuri?
  11. C

    JWTZ na Waziri Mkuu ingilieni kati huu utapeli

    CDF anafanya utapeli wa Magari? kweli wajinga ndio waliwao.
  12. C

    Pamoja na kusemekana ni mkoa wa kihalifu, Ni kwanini kuna matukio machache ya uhalifu Mara.

    Mtoa mada umewahi kuishi Mara? Wewe unataka matukio unayosikia Geita sijui mama kamuua binti yake? Hayo huyapati Mara. Huku ni ugomvi kidogo mtu kakimbilia silaha kakuramba kidogo. Matukio ya ugomvi wa namna hii mtu anaenda Hospital kupata PF3 yanaishia polisi,hayo ya Geita ndio yanaishia...
  13. C

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    huyu sijui labda ana hoja lakini uandishi wake hauna taste nzuri,kuna jamaa yangu alinunua kitabu chake niligusa page moja tu nikaishia hapo hapo,hili andiko nimesoma mpaka kati,hoja unaiona,ila taste ya uandishi kukuvutia uendelee kusoma hamna.
  14. C

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Huu uzi nimeingia Chaka.
  15. C

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Hiyo vita mie ilinishinda kufuatilia baada ya kuona media ziko biased,yaan ukweli unategemeana na Chanzo gani unafuatilia,kila chanzo cha habari na ukweli wake. Propaganda zilikuwa nyingi kuliko Habari.
  16. C

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Kama anaokoteza habari za mitandaoni,anawezaje kusema ni ukweli halisi wa mambo yaliyopo Ukraine?
  17. C

    Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

    Kuna wanajeshi na watu wengi wanaguswa moja kwa moja na hiyo vita,nina hakika hawa watakuja kuandika habari za vita hii,sio kwa kuperuzi mitandaoni kwa kile walichoona kwa macho,Sidhan hata kama bei itafika huko.
Back
Top Bottom