Search results

  1. M

    TEC hawakujiandaa kuongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan

    Moja kwa moja kwenye mada. Tunao utamaduni wa kupokezana,akitoka Rais Mwislaam ,anaingia Rais Mkristo,lakini huyo Mkristo lazima atoke Kanisa Katoliki. Sasa alipoingia Magufuli kanisa liliona lipo kwenye Comfort zone. Madhaifu yote ya Magufuli hayakuwahi kuonwa na TEC na kanisa la Roma kwa...
  2. M

    Dkt. Charles Kitima na Dkt. Slaa wote wamewahi kuwa Makatibu wa TEC haya ndiyo maoni yangu kuhusu waraka wa TEC

    Nimesoma tamko la TEC Kwanza tamko limesomwa na mtu mmoja bila kuwepo na askofu mwingine yeyote. Aliyesoma na kuandika tamko amekuwa miongoni mwa watu wanaopinga mkataba wa bandari kwa nyakati tofauti hata kabla ya tamko la leo. TEC imetumika kama Jukwaa lilisaidia Slaa na Kitima kufikisha...
  3. M

    Bodibya Ligi wanaibeba PAMBA ya Mwanza na kuihujumu Kitayosce Ya TABORA

    Nimefuatilia kwa muda mrefu mwenendo wa na usimamizi wa Ligi ya Championship(Daraja la kwanza) Bodi ya Ligi na TFF wameshimdwa kuficha mahaba yako kwa timu ya Pamba ya Mwanza. Bodi ya Ligi wanafanya kila liwezekanalo kuhakikisha Pamba ya Mwanza ndio ipande ligi kuu na Sio KITAYOSCE ya Tabora...
  4. M

    TCRA wafuatilieni Vodacom, wanafukarisha wananchi

    Salam wana Jukwaa,natumia jukwaa hili kupaza sauti ya namna voda wanavyojinufaisha na pesa za Watanzania kwa ujanja ujanja. Vodacom kupitia kitengo cha M.pesa wana mawakala karibu kila pembe ya Tanzania. Mawakala wanatumia pesa zao kuendesha biashara hii. Shida inakuja Wakala anapopoteza Till...
  5. M

    CHADEMA ya sasa inajitofautishaje na CCM ya Hayati Magufuli?

    Ni rasmi sasa kila mmoja anatambua kuwa Freeman Mbowe yupo gerezani akipambana kwenye kesi inayomkabili. Hata hivyo tangu Mbowe amekamatwa ,harakati za mapambano na hekaheka za Chadema kuendesha Programu za kukijenga chama zimedorora. Binafsi nilidhani Chadema ni chama kikubwa chenye...
  6. M

    Mambo 8 ambayo Rais Samia kalitendea haki taifa ukilinganisha na Mtamgulizi wake

    Wapo wanajaribu kumkosoa Rais Samia kwa jinsi anavyoiendesha nchi hata hivyo huyu Mama ni Rais Bora kuzidi utawala wa Magufuli. Hadi sasa kisha fanya yafuatayo amabayo enzi za magufuli watu yaliwasononesha,hivyo Mama ni msikivu na mnyenyekevu kwa wananchi kuliko mtamgulizi wake. 1. Mama...
  7. M

    Uchaguzi 2020 Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Mnafanya vizuri kampeni za Urais lakini yafuatayo ni mapungufu niliyojionea kwa macho na mengine nimefuatilia kupitia mitandao. 1. Vijana wa CHADEMA wamepoa mitandaoni, wanashindwa kwa mbali sana na vijana wa ACT-Wazalendo, yaani Mkutano mkubwa wa Lissu unafanyika hakuna TV hata moja inayorusha...
  8. M

    Uchaguzi 2020 Angenda kuu za uchaguzi mkuu wa 2020 ni zipi?

    Mitandaoni kila mtanzania anasema lake. Vyama navyo kila kimoja kinayo maoni yake. Mazimgira uchaguzi nayo ni mjadala wakujitegemea hasa eneo la tume huru ili watanzania wawe na uhakika wa kura zao kuheshimiwa. Kwa maoni yangu hizi ndizo Agenda kuu za uchaguzi wa 2020. 1. Uchumi wa mtu...
  9. M

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na uchaguzi mkuu,Upinzani Ufanye nini kukomesha hujma za Tume ya uchaguzi ,Wakurugenzi...

    Sina shaka kuwa upinzani utapata kura nyingi za kuwafanya washinde uchaguzi. Upinzani watapata kura nyingi za Urais,ubunge na Udiwani. Swali ni je? Watatangazwa na wasimamizi wa uchaguzi? Upinzani wana mkakati gani wa wazi unaoweza kuwajengea imani wananchi kuwa maamuzi yao yataheshimiwa...
  10. M

    Unafukuza mbunge urudie uchaguzi kwa Bil 5 halafu unawatoza wauza mchicha 20000 kitafuta fedha za kuendeshea nchi.

    Leo nimetafakari nikakata tamaa,waafrika hatutakaa tuendelee asilani. Yaani Tanzania tunamahitaji mengi yanayohitaji fedha. Tunamshambulia Lissu kwa kuchochea tunyimwe misaada. Lakini kumbe hata kidogo tulicho nacho hatukitumii kwa nidhamu. Kwa hali ya kiuchumi ya nchi kiasi cha kutoza...
  11. M

    Kifo cha Halmashauri zetu

    Moja kwa moja kwenye mada. Serikali yetu ya awamu ya tano ilivichukua vyanzo muhimu vya mapato vilivyokuwa vikikusanywa na Halmashauri zetu. Halmashauri ziliishiwa pumzi,hakuna huduma bora tena,ofisini wanashindwa kuprint hata barua na nyaraka kwa kukosa karatasi. Idara zipo hoi kwa hoja kuwa...
  12. M

    Chaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu na Uchaguzi mkuu mwaka 2020 upinzani umejiandaa vipi kudhibiti hujuma za CCM?

    Moja kwa moja kwenye mada. Kuna njama kali zinasukwa kuhujumu uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020. Yapo majimbo kutokana na umakini wa wawakilishi wake,Serikali na ccm yake wameshindwa kukabiliana nao kwa hoja. Kila pahala usawasikia wakitishia kuwa hawataruhusu warudi bungeni...
  13. M

    Hivi Rais Magufuli anajua kuwa wanaolazimishwa kununua vitambulisho vya wamachinga ni wanyonge anaowapigania kila kukicha?

    Moja kwa moja kwenye mada. Tulimsikia Rais akielekeza kuwa wanaotakiwa kulipia vitambulisho ni wamachinga wenye mitaji isiyozidi mil 4,000,000/=. Kwa uelewa wangu nilidhani ni wale machinga wauza mitumba,viatu na wale wote wananaopiganisha mjini wakiwa hawana flame za kuwekea vitu vyao. Yaani...
  14. M

    Deni la taifa lazidi kupaa huku tukiambiwa mapato ya serikali yameongezeka.

    Wakati Rais wa wamu ya nne,Rais Jakaya Mrisho Kikwete anakabidhi nchi mwaka 2015, deni la Taifa lilikuwa Tril 43. Baadae akaingia Rais Magufuli,hata hivyo taarifa zinaonesha kuwa deni la taifa limepanda mpaka Tril 62 ndani ya miaka mitatu tu ya utawala wa awamu ya tano. Maswali ya mjadala...
  15. M

    Mashambulizi zaidi kuelekezwa kwa Zitto Kabwe huku watuhumiwa wakila keki ya taifa.

    Badala ya kuendeleza propaganda za kusadikika za kumuhusisha Zitto na miradi ya Nssf, wakati mkijua PAC hufanyia kazi Report ya CAG na siyo kufanya uchunguzi. Chakushangaza zaidi ni kuwa Dau amepewa hadhi ya ubalozi anakula bata badala ya kufikishwa mahakamani ikiwa tuhuma zake ni za msingi...
  16. M

    Zitto Kabwe ni mfano wa viongozi wazalendo,ahudhuria matukio mawili yaliyo mikoa tofauti ndani ya siku moja

    Wana jamvi. Jana ilikuwa siku ya Bunge kuujadili muswada wa vyama vya siasa. Zitto akiwa anakabiliwa na kesi ya uchochezi iliyomlazimisha kuchagua pakuhudhuria kati ya Mahakani (Dar es Salaam)au Bungeni(Dodoma). Wengi walitamani kumsikia kuona Zitto akihudhuria mahakamani ili kuruka mtego...
  17. M

    Spika Ndugai anamaanisha uovu ufichwe?

    Spika anasema kosa la CAG ni kwenda kusemea matatizo yetu mbele ya wafadhili wetu wa marekani. Kuwa Kenya ,Uganda na kwingineko nako kuna matatizo,lkn hawayasemi nje ya nchi yao. Anachosema Ndugai anakubali kuhusu udhaifu wa bunge,anakubali kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma,anakubali...
  18. M

    Wanyonge wa nchi hii ni kina nani?

    Mada inajieleza yenyewe. Nimekuwa nikisikia neno "WANYONGE" likitumiwa sana na tuliowapa dhamana. Lkn nikipita mtaani wotevwanapiga kelele,si wakulima,watumishi,machinga,mama lishe . Wote wanalia,chaajabu mtu akilia anaambiwa yeye ni miongoni mwa wapiga dili. Sasa naomba ufafanuzi na mimi...
  19. M

    Sheria mpya ya vyama vya siasa itaua vyama vyote ikiwemo CCM yenyewe

    Katika mjadala unaoendelea wa sheria mpya ya vyama vya siasa,watu wengi wanaitazama kwa upande mmoja tu wa njama ya watawala kuua vyama vya upinzani kwa kutumia ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Ukweli ni kuwa chama cha mapinduzi CCM nacho kitaathirika sana kwakuwa Sheria hiyo imelenga...
  20. M

    Kikwete Vs Magufuli

    Kumekuwepo na propaganda zinazoendeshwa na vijana wa CCM mpya kuwa Serikali zilizotangulia hazikufanya chochote zaidi ya wizi na ufujaji wa mali ya umma. Wameenda mbali na kutaja kuwa Miradi ya barabara iliyozinduliwa jana haikuwahi kufanyika huko nyuma. Haya ndio mambo yanaongeza mpasuko...
Back
Top Bottom