Search results

  1. M

    Hali siyo nzuri kiuchumi kwa vijana Arusha

    kaiulize sirikali yako hao wauwaji wa tembo na wauza sembe kwanini hawajashughulikiwa. huyo mtalii unataka aje aangalie nini wakati tembo mnawamaliza. jipanguse
  2. M

    Hali siyo nzuri kiuchumi kwa vijana Arusha

    Mleta mada hujui unachoongea. njoo na mada ya kujenga. umbea peleka huko huko.
  3. M

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Nafikiri huyu mzee atakua anatafuta umaarufu uzeeni. nijuavyo mimi unaponunua ticket lazima ina namba ya kiti utakachokaa. na kama alikiuka utaratibu wa kwenye ndege iweje useme amedhalilishwa. nimesafri na PW zaidi ya mara 10 na sijawahi kusika hata mara moja lugha ya Kiswahili kutotumika...
  4. M

    Membe apigia chapua uraia wa nchi mbili Katiba mpya

    Naunga Mkono Hoja, Uraia wa nchi mbili kwa maendeleo ya Tanzania na watanzania kwa ujumla.
  5. M

    Elections 2010 Vituko vya Maswa

    yeah! must be smthing fishy!
  6. M

    Elections 2010 Zanzibar kumekucha

    Ah, hawa TBC1 wanachakachua sana, asubuhi wametangaza kuwa CCM imeshinda urais Zanzibar, BBC as well, now its different, who should I believe?
  7. M

    Elections 2010 Hali halisi vituoni siku ya kupiga kura

    Nimemaliza kupiga kura yangu hapa Ilkiurei nje kidogo ya mji wa Arusha, watu ni wengi sana, kuna utata wa baadhi ya majina ya watu kutoonekana lakini waangalizi wako makini sana kuwaelekeza wapiga kura namna wanavyoweza kutambua vituo vyao kwani wengine majina yao yamehamishiwa vituo vingine...
  8. M

    Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    Tunamuamini, tunamuhitaji, hatuchagui mafisadi kesho! Yes I said it!!!!
  9. M

    Elections 2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Jakaya Mrisho Kikwete Ahadi za Kikwete: 1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam mpaka mikoa ya Kanda ya ziwa-Nzega, Tabora Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda- Tanga mjini Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria-Igunga Kulipa madeni ya chama cha Ushirika...
  10. M

    Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

    Amka wewe! dunia ya leo haiitaji watu mbumbumbu kama wewe wasioelewa nini kinaendelea hata nchini kwao, ah!
  11. M

    Green gaurd kufanya fujo kwenye foleni za wapiga kura wakiwa wamevaa jezi za chadema

    Ukweli usiopingika, ni takribani masaa masaa kumi yamebaki kufikia ile siku ambayo watanzania wenye kiu ya mabadiliko ya kweli kwenda kufanya hitimisho kwa kumchagua kiongozi wanaemtaka, vyombo vya habari vimekua vikitoa tathmini mbalimbali, Jamii forums inaonyesha kuwa Dr. Slaa anaongoza kwa...
  12. M

    Elections 2010 PICHA NA VIDEO: Kampeni za Slaa jimboni Kawe leo

    Tushiishie hapo, tunahitaji volunteers please!!!
  13. M

    Elections 2010 PICHA: Kampeni za Kikwete jimboni Karatu

    wadau karatu wamefuata burudani hapo kwani wasanii wachache huburudisha huko, hii haimaanishi kuwa huyu tumbo mbele ana lake hapo
  14. M

    Elections 2010 Kabla ya kufikiria ushindi,je unayajua haya?

    hata wewe yaashiria ni mwanachama mfu wa ccm lakini asili yako ya uoga wa kutamka hadharani ndio inakuponza, jikaze kisabuni ndugu! CHADEMA fimbo yao!!!!!!
  15. M

    Happy birthday, mr president

    madactari wa JK kaeni tayari, msije laumiwa kwa uzembe baada ya tar 31
  16. M

    Elections 2010 Bado siku 7, shekhe yahya vipi?

    tumwombee huyu babu apumzike kwa amani, yoko fainali kama kombe la dunia, anatafuta pa kufia
  17. M

    Rais mtarajiwa akikata mbuga ziwani

    we umetumwa ee? hapa humbadilishi mtu, songa mbele Slaa!!!!!
  18. M

    Nataka kujitoa chadema naomba ushauri

    Nina wasiwasi hawa jamaa ni feki, tena akili zao zinaashiria kuwa na chembechembe hai (reject) za kichina:A S 13:
  19. M

    Elections 2010 Jk kuvunja tena sheria ya uchaguzi leo pemba

    anyway, mwacheni amalizie muda wake wa mwisho huyu jamaa
  20. M

    Elections 2010 Jk kuvunja tena sheria ya uchaguzi leo pemba

    Sijui kama tume ya uchaguzi inaliona hili
Back
Top Bottom