Search results

  1. Kiraka

    Kwanini UKAWA na sio CCM

    Makala Kama iko hata chembe ya mabadiliko, chembe hiyo itakuwa Ukawa Jenerali Ulimwengu Toleo la 428 21 Oct 2015 KICHWA cha makala ya wiki hii nimekiteua kwa makusudi kabisa kwa sababu kadhaa. Kwa umri wangu na kutokana na uzoefu wangu katika siasa za nchi hii, ninajua kwamba siasa zetu...
  2. Kiraka

    Nyumba ya kisasa inapangishwa

    Jamani kuna dada yangu anapangisha nyumba yake nzuri iliyopo Segerea karibu na Rufita, Kituo cha basi cha kwabibi. Nyumba ni mpya iko karibu sana na bara bara na eneo tulivu, ina fence na uwezo wa kupaki gari mbili. Ina vyumba Vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master bedroom, jiko, na...
  3. Kiraka

    Hivi nini kinazuia kuonyeshwa picha za watu waliokamatwa na makosa mbali mbali kwenye TV, Magazeti

    Nimekuwa nikiangalia taarifa za habari na magazeti na ni mara chache sana utaona watu waliokamatwa kwa makosa mbali mbali kuonyeshwa picha zao kwenye runinga, au picha kwenye magazeti. Je kuna sheria yoyote inazuia hili, hatusemi kuwa wamehukumiwa na makosa lakini kwani si ni kweli wamekamatwa...
  4. Kiraka

    Elections 2010 Shibuda awamwaga CCM

    Chadema 17075 CCM 17014 Kama kawa wamebana wameachia!! Matokeo Rasmi Channel ten
  5. Kiraka

    Hodi Jamvini

    Habari zenu Waungwana Mimi ni Kiraka nimefurahishwa na jamvi, naona hakuna tundu ila nitakuwepo, kama itabidi nitatumika kuziba, kama niitwavyo. Naomba kukaribia....
Back
Top Bottom