Search results

  1. Kiraka

    Amri Kiemba: Simba SC haina Katiba ya kuruhusu imilikiwe na mtu mmoja, ndiyo wapo kwenye mchakato wa kutengeneza katiba

    Hivi ina maana kuwa kundi hilo lilikuwa na timu vibonde? Kama una qualify na point chache na mchezo mkononi?
  2. Kiraka

    Naitazama Hoteli ya Kiromo View Resort kwa Uchungu

    Hi na ule uwekezaji wa Kigamboni Dege nao mnasemaje? Kwanini yale majengo yasifanywe japo tawi la chuo kimoja wapo?
  3. Kiraka

    Habari picha: Huu Uchawa wa huyu Kiongozi umevuka mipaka

    Ni sawa, kwa sababu akiangalia mjinga kama yeye amekuwa waziri kwanini asiseme hivyo, huyo jamaa ukimwangalia, ukimsikiliza unaona kabisa ni tapeli mganga njaa.
  4. Kiraka

    Bendera ya Kenya jengo la Burj Khalifa iliwekwa 2019, ni nani amemuongopea Rais wetu kuwa imewekwa karibuni?

    Tuseme tu ukweli...ule mkataba mama hakusoma, alipewa tu a saini. Hawezi.
  5. Kiraka

    Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

    Hawa Wananchi chenga sana.
  6. Kiraka

    Yanga Walia na "Mvua ya Magumashi" mechi yao v/s USM Alger

    Kweli kukandwa kubaya... 😉
  7. Kiraka

    Rais Samia ashiriki Hafla ya uzinduzi wa Mradi wa kufua Umeme wa Kikagati Murongo, Uganda, Mei 25, 2023

    Sifa za mtu apewe.. Ni ukweli mtupu kuhusu hilo, pamoja na mapungufu yake mengi kama binadamu wote tulivyo.
  8. Kiraka

    Narudia tena, tusije kurudia kufanya kosa kama la 2015. Nchi ilikuwa inaenda kufa

    Hujui usemacho, unajua chanzo cha mtifuano huo unaousema?
  9. Kiraka

    Mbwa koko wameadimika mtaani

    Wachina wanatusaidia kuwatunza.
  10. Kiraka

    Serikali kuboresha uwanja wa ndege Chato

    Huu uwanja kwani umeshatumika? Hiyo ni dili nyingine ya upigaji...Uwanja hata haujatumika tayari unapangiwa bajeti mpya ya kuuboresha? Ina maana mwanzo ulijengwa kwa kiwango gani?
  11. Kiraka

    Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Kwani lilipokuwa limejaa dini moja kipindi cha Mwendazake ni shida gani ilitokea? CCM ni ile ile..
  12. Kiraka

    Baada ya kumaliza ndugu wanaompinga, alijimaliza mwenyewe

    Historia hufunza...
  13. Kiraka

    Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

    Mkuu pole sana, na hongera kwa kuweza kupigania haki yako. Yule hakimu nipe initial tu za majina yake? hata PM.
  14. Kiraka

    Nimekuta Milioni 20 imewekwa kimakosa kwenye akaunti yangu

    Wewe mi mwivi narudia tena wewe ni mwivi, sijakosea wewe sio mwizi ni Mwivi. Pata picha hiyo ni hela ya kumpeleka mgonjwa amezidiwa India halafu wewe umekwiba. Karma is real... Witch craft too...
  15. Kiraka

    Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

    Kama ulikuwapo, mimi BIG namuona ndio huyu aisee...
  16. Kiraka

    Utata: Mtuhumiwa adaiwa kujinyonga kwa Nguo ya Ndani akiwa Kituo cha Polisi

    Kwanini si anavaa shingoni anapanda sehemu anajining'niniza?
Back
Top Bottom