Search results

  1. M

    Ukweli kuhusu CHADEMA Iringa na uongo wa TUNTEMEKE

    Mod, nipige ban mkitaka..... lakini lazima niseme kuwa huyu ni ************!!!!
  2. M

    Yu wapi Sioi Sumari?

    Wiki mbili zilizopita nilikutana naye pale Regency Hotel Mikocheni/Msasani akiwa na Lau Masha, Makalla na wenzao wakipiga maji kama hawana akili! Walikuwa na Totoz pembeni yao, nadhani wale walikuwa mamiss!
  3. M

    Makongoro mahanga na uwaziri

    Hili lijamaa kwa kutoa mlungula halijambo, alinunua ubunge toka wakati wa nominations kwa kutembeza hela, wakati wa uchaguzi alimwaga fedha nyingi tena zilizotoka kwa Rostam. Aombe mungu tu maana uchaguzi ukirudiwa Makongoro atakuwa ni historia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. M

    Kikwete anastahili sifa

    hahahaha!! Watanganyika no wanamagamba mnachekesha sana. Mtu anatimiza robo ya wajibu wake tu halafu mnampa siiiiiiiifa, utafikiri amafanya kitu kisicho tarajiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  5. M

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    huu ni ushindi wa Mungu dhidi ya shetani! maana yake ulitarajiwa maana Mungu yuko juu ya yote!
  6. M

    Viongozi na wanachama wa CCM Zaidi ya 3680 wanasubiri Kadi za CHADEMA wilaya ya Same

    Mkoa wa Kilimanjaro sasa utakombolewa na maombi ya wanamagamba yatakuwa yametimia!! Mikoa ya kaskazini yote kuwa chini ya CHADEMA si dhambi, dhambi itakuwa kushindwa kukomboa mikoa yote ya Tanzania kutoka mikononi mwa Mafisadi!!!
  7. M

    CCM yapoteza Wenyeviti wa mitaa Mbeya; wahamia CHADEMA

    tena ndiyo mikoa ya watu wenye akili zaidi ambayo kimaendeleo iko mbele!! Mkoa wa morogoro, lindi , pwani na mtwara iko nyuma sana na hao ndo wanaoimba kwa sana chama cha magamba!!
  8. M

    Sengerema: CCM yazidi kupukutika, Mkiti ahamia chadema na wanachama zaidi ya 1000

    wakati fulani tulikuwa juu ya Kenya kwa utu na intergrity lakini sasa hatuko popote na wala hatuwezi kujilinganisha na yeyote!! tupo tupo tu!!!!
  9. M

    Jeshi la polisi kumkamata Dr. Slaa

    hawa Polisi wetu wanajishughulisha na siasa zaidi kuliko kufanya kazi zao!! ndiyo maana vibaka wanachomwa moto maana kazi za kulinda raia na mali zao zimeachwa mikononi mwa raia wenyewena badala yake raia tunajichukulia sheria mikononi. Ole wao hao polisi tutakapo choka na kuamua kupambana nao...
  10. M

    Ratiba ya hukumu kesi za ubunge

    Uamuzi wa kesi zote hizo umeisha fikiwa na mahakama zetu ila hukumu zimepelekwa UWT Makao Makuu ili watoe ushauri kwa Mkulu kabla ya kufanyiwa editing na kusomwa! Lazima Magamba watuumize katika hili ili upepo wa kuwakataa Mawaziri wezi upite haraka, tunaanze kujadili uchakachuaji wa kesi!!!
  11. M

    W.J Malecela,Nape Nauye hamieni chadema

    wakaye huko huko kwenye chama cha babazao!!! no no chama cha Mama zao (CCM)!!!! mpaka kiwadodee!!!
  12. M

    FikraPevu: Waziri Chami ajibu mapigo sakata la TBS Bungeni

    Lazaro Nyalandu Bwana asipoulinda mji, yeye akeshaye afanya kazi bure. (Bible) haya ni maneno ya NAIBU WAZIRI LAZARO NYALANDU alivyomjibu waziri wake huko kwenye facebook! ilibidi nimpe LIKE ya nguvu kwa maneno hayo machache lakini yenye mana kubwa!!!!
  13. M

    Zitto Kabwe na 'Saini za Wabunge 70' za kumg'oa Pinda - Tafsiri yangu

    Zitto ajichunge sana leo, UWT wataingia chumbani kwake leo kumpekua na kuiba list ya waliosaini ili isiwasilishwe bungeni jumatatu.!!
  14. M

    Madiwani Kibao Monduli kuhamia Chadema kesho - Daily News

    hayupo kwa EL kabisa, aliyekuwepo ni mtangulizi wake Bw. Mruma ambaye alipigwa chini mara baada ya EL kujiuzuru uwaziri mkuu.Huyu wa sasa ni mdini fulani, amekakaa kihasara tu
  15. M

    Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

    Hata mie sijui hawa vilaza wa CCM wanaogopa nini katika suala la Muungano! Wengi tunaamini kuwa muungano unapendwa na una nafasi ya kushamiri, lakini kuna watu wachache ( nadhani kwenye kamati kuu ya CCM au Halmashauri kuu) hawataki kuona kitu ambacho watanzania wenzao wanzungumzia! Wangependa...
  16. M

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Mnaowasiliana na Zitto, mshaurini ayaweke majina ya walioweka saini zao hadharani ili wapiga kura tujue nani ni nani!! " You either support us in this war or we count you as our enemy"
  17. M

    Uchaguzi wa jimbo la segerea kurudiwa?

    CCM wameamua kuchakachua Majaji na Mahakimu ili kuepusha aibu zaidi!!! Hakuna Mbunge wa CCM atakaye vuliwa ubunge wake hadi 2015 maana wanajua CHADEMA wanaweza wakachukua kiti hicho. Niliambiwa na rafiki yangu mmoja kwenye CCM kuwa sasa wanaenda na falsafa ya "heri nusu shari kuliko shari...
  18. M

    Live in TBC topic what happened ktk uchaguzi wa Arumeru East

    Tendwa hana kitu akikutana na wasomi, leo ameshindwa kulemba lugha, amepewa kavu kavu akakosa cha kusema!
  19. M

    Live in TBC topic what happened ktk uchaguzi wa Arumeru East

    Dr. Mkumbo ni kichwa sana, maana kwake nyeusi ni nyeusi hajui kulemba!! amempasha na kumchana chana Tendwa live!
  20. M

    CHADEMA matusi haya hamkuyaona??!!!

    Tusi lipi hapa? Wassira akienda kwenye hifadhi ya Gombe huko Kigoma atakutana na wakazi wa hapo ambao hawatamshangaa au kumkimbia, lakini akija nyumbani kwangu watoto watajificha na kulia!!!!
Back
Top Bottom