Mi napingana vikali na mleta mada, pale Mlimani City ni sehemu nzuri sana ya kufanya shopping kama unahitaji kufanya manunuzi ya vitu vya nyumbani kama sabuni, mafuta, maji ya kunywa(all groceries)
Ingia pale Choppies bei ya vitu ni rahisi kuliko hata mitaani kwenye maduka ya Mangi. Lita 5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.