Search results

  1. K

    HOW TO DUMP SOMEONE ''after having committed myself into serious relationship''

    Man you are in. You can do the following things: 1. Rejea lile eneo ambalo uliweka nae mkataba wa mahusiano. Inawezekana ikawa ni nyumba ya wageni au sehemu yoyote ile, itakuwa vizuri kama utamwita huyo mlengaw wako eneo hilo. Asigundue unataka kufanya nini. Akifika mpe good time yaani...
  2. K

    Lini Umewahi kusema"Ipo Siku"

    " Ipo siku" na kauli zingine kama "we ngoja tu", "utanitambua siku moja" n.k. Nikauli zinazoashiria kuporomoka kwa hisia juu ya jambo fulani. Bila shaka unakumbuka kile kisa cha sungura na ndizi mbivu. Alianza kwa mbwembwe nyingi akizirukia na kuamini atazifikia. kadri muda ulivyozidi kwenda...
  3. K

    Wababa kununua nguzo/taulo za ndani watoto wa kike dhambi

    Huu ni mtazamo tu! Baba mmoja ambaye ni marehemu sasa, nusura awe mkwe wangu. Huyu mzee alikuwa na mabinti watano, alichofanya mara nyingi ni kununua carton ya hizo pedy na kumkabidhi mama yao. Hapa hakuna dhambi hata chembe. Kwani tafsiri ya dhambi haina uhusiano kabisa na tendo hili la upendo...
  4. K

    Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Sababu zifuatazo zinaweza kuwa chanzo: 1. Past experience ( Inawezekana alikuwa abused... na kumbukumbu bado mbichi sana). 2. Inawezekana akawa anatoka nje ya ndoa. 3. Inawezekana akawa anafanyiwa tendo hilo kishirikina na hata kupoteza hamu kabisa 4. je mumewe anaweza kweli kazi? Au ndo kjihami...
  5. K

    Accidents at Kibaha: A Scientific Reason?

    Mzee mwanakijiji inaelekea una hamu ya kupata jibu hili. Kwa sababu wewe ndio umelianzisha nakushauri fanya uwezalo hata kama itachukua mwaka au zaidi upate jibu sahihi la swali lako la msingi. Hebu tafuta kwenye tovuti neno hili 'ROAD ACCIDENT AND BLACK SPOT', toka hapo utaona sehemu mbalimbali...
  6. K

    Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

    Jerry amejikuta ametumbukia kwenye hasira ya kiwango hicho kwa sababu hakutarajia kama angakutanana na upinzani kiasi hicho... Jerry kumbuka wewe ni muwindaji, unao wawinda wameshakufahamu kumbe sasa unawindwa si na mmoja bali wengi. "Uharibifu" unaendelea kuufanya kudhoofisha Mfumo uliopo ndio...
  7. K

    Video: Jerry Muro apasua jipu la sakata lake la rushwa!

    Jerry anajaribu kupigana na Mfumo ambao umeota mizizi mirefu anachofanya ni kukata matawi madogo madogo kama si majani. Wale wote wenye uchungu na nchi hii tunawajibu wa kuungana katika vita hii. Kinacho tokea sasa ni Reaction toka nguvu za mfumo huu ambao unaweza kuvunjwa tu kwa Kuuzoofisha...
Back
Top Bottom