Search results

  1. Code Breaker

    Elimu ya maarifa: Je, wajua?

    These are marine echinoderms fossils called Crinoids, their stems have different shapes, and "screw shape" is one of them..They evolved more than 450 ma.
  2. Code Breaker

    Ipi tathmini yako kuhusu siku 100 za Rais Samia madarakani?

    SSH ameonesha 1. Kujua Cha Kufanya na Kujua cha Kutokufanya! 2. Kujua cha kusema na Kujua cha Kutokusema 3. Kutokungoja kushukuriwa kwa mema ayatendayo. 3. "Shouting for help" is NOT a sign of weakness. SSH hajaonesha. 1. Sura ya "Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" baada ya kujua jina la...
  3. Code Breaker

    Car4Sale Toyota IST inauzwa

    Rangi: Nyeupe Mwaka: 2004 Ukubwa wa injini: 1290 CC Namba ya usajili: DNS Mahali lilipo: Dodoma Bei: Milioni 9.0 Mawasiliano: 0688778881 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Code Breaker

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Swali: Nimehamia kwenye nyumba ambayo mita yake inatafuna umeme sio kawaida, nasema hivi kwa kuwa Vitu nilivyokua natumia nilipokua kwenye nyumba ya awali ndio hivyohivyo katika nyumba hii mpya.. Nimeita fundi wa wiring kafanya wiring upya ila bado matumizi yanaonekana ni makubwa mno.. Mfano...
  5. Code Breaker

    Hp Zbook 15

    HDD 700GB RAM 8GB PROCESSOR: Intel (R) Core (TM) i7-4800MQ CPU @ 2.70Ghz (8 CPUs), ~2.70 GHz Price: 850K Location: Dodoma DM for details.
  6. Code Breaker

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    First year in the University Vs Last Year..
  7. Code Breaker

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    REA wameweka line, nimefanya wiring na kuthibitishiwa na certified contractor kwenye form niliyoiwasilisha ofisi ya wilaya ya Ngara tangu March 2019, hadi sasa sijathibitishiwa kupatiwa umeme.. Kila siku wanafanya ukaguzi wa uthibitishaji wa lines.. Kwanini uunganishiwaji wa umeme unachukua muda...
  8. Code Breaker

    Marekani na maajabu yake kujigamba inaongoza kwa petroli na gesi

    Nani kakwambia Marekani hawachimbi mafuta/gesi? Tambua hili kuanzia leo, Marekani katika mwaka 2018 ilikua top producer wa oil Duniani wakiwa wamezalisha 16% ya mafuta duniani, ilifuatiwa na Saudi (13%), Russia (12%), Canada (5.5%), Iran (5%), Iraq (4.9%), UAE (4.2%), China (4%), Kuwait (3%)...
  9. Code Breaker

    GAS DEEP FRIER

    Ni mpya, haijatumika Inatumia gas tu Ina sehemu mbili za kukaangia... Inapatikana Dodoma Bei ni 500K tsh..
  10. Code Breaker

    Laptop kutoka Dubai mzigo umeingia

    Mimi nahitaji Hp probook /elite book, yenye ram kuanzia 8, core i5/7... Naweza pata
  11. Code Breaker

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habarini za kazi, katika kijiji cha Munjebwe, Rulenge Ngara, nguzo za umeme HT zimepita upande wa pili wa barabara approx. 150 m, na upande wa pili ambapo Kuna nyumba za wahitaji wa umeme hakuna nguzo za usambazaji na tunaambiwa REA wameshamaliza kazi katika eneo Hilo hivyo tuwafuate Tanesco na...
  12. Code Breaker

    Ushauri wakuu Nimepewa check ya billion 3 naenda kula Bata na mabinti wa India

    Mrembo anaenda kula bata na warembo! Kila la kheri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Code Breaker

    Pete iliyotangatanga

    Inaendelea kutanga! MJ hebu toa description fupi wasomaji wapate "kuiepuka" "kama" wakipewa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Code Breaker

    Hivi inakuwaje mtu anakojoa kabla hata hajachomeka dushe?

    Yanatokea sana kwenye daladala watu wakiwa wamebanana, sembuse ukiikalia!! Akivutiwa na wewe na kama haamini kinachokwenda kutokea, atajikuta anamaliza ukikuona naked! Muaminishe kua he got this, asikushikie manati kuku wake
  15. Code Breaker

    Nimechoka sana na maisha

    I think I do understand how you feel! And it's okay to feel that way! What I believe, that too shall pass and at the end everything will be okay, if it's not, then it's not the end.. Just hang in there
  16. Code Breaker

    Serikali yapiga marufuku usafirishwaji wa kaboni kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine

    Itasaidia endapo watawezeshwa kwa muda maalumu kuandaa ujenzi wa plants za kuchenjulia!! Ghafla huwa inaambatana na hasara na makwazo!!
  17. Code Breaker

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Mshana! Unahisi siku nane zimetutosha kukamilisha kazi?
  18. Code Breaker

    Mohamed Dewji (MO) aliyepotea, apatikana. Amerudi nyumbani akiwa salama

    Picha ndo inàanza!! Hakuna sababu yeyote inayojulikana kuhusu Mo abduction, mazingira ya kurudishwa hayamatch utekwaji wake, Mo amekuwa kama samaki, ana Mengi ya kusema tatizo mdomoni ana Maji!
Back
Top Bottom