Search results

  1. A

    Kuna matukio ya utekaji serikali kimya

    Kila wiki kuna utekaji vijana dar serikali kimya rais kimya tupeleke kesi ICC
  2. A

    TCRA kwa nini hamzifungii hizi website au mna kazi za ajabu ajabu

    https://tanesco.tz.onrecruit.site/?m=1#1702207336312 Hawa watu mnaweza mka deal nao mara moja lakini mnafikiria mengine.....
  3. A

    Mr. Politician

    https://youtu.be/2461HqUizAw?si=HDdWnPB7oW94nwvz
  4. A

    Mahakama Kuu mchunguzeni karani Yassin Muruko

    Mheshimiwa Jaji Kiongozi. Mahakama ni taasisi nyeti sana katika muunganiko wa Mihimili ya Nchi. Lakini inapotokea mfanyakazi mmoja anaichafua Taasisi hiyo inabidi sisi waathirika tuseme kusudi wewe kama kiongozi umuagalie kwa jicho la tatu, huyo karani yupo Mahakama Kuu ya Tanzania (Mwembeni)...
  5. A

    Waziri mkuu wa india abadilisha noti kushtukiza

    Waziri mkuu amewatangazia kubadilishwa kwa Noti ya 500 na 1000 rupee wananchi wa india kwa taarifa ya dharura wadau naomba nipate mchango wenu notice ya kubadilishwa pesa ndani ya masaa?
  6. A

    Madamoto: Uendeshaji wa bandari kitaalam

    Je wa jua Kuwa wenye The highest Qualification in Port and Shipping ya Yaani CHARTERD SHIPBROKER wapo 4000 na East Africa 180 na Kenya ni 178 na Tanzania 2 tu Leo hapa Channelten kupitia MADA MOTO na Julius Nguhulla mmoja Kati ya Watanzania wawili akielezea nini kifanyike katika kuinua uchumi...
  7. A

    Madamoto: Mabadiliko ndani ya Simba live saa nne usiku channel ten

    Leo usiku albert kilalah atakuwa na mfumwa mangara na wanachama wengine wa simba sports club kujadili mabadiliko ndani ya simba.
  8. A

    MADAMOTO: MABADILIKO NDANI YA SIMBA LIVE CH.TEN SAA NNE USIKU

    Leo usiku kwenye kipindi cha mada moto albert kilalah atakuwa na baadhi ya viongozi wastaafu na wanachama wa club ya simba kujadili mabadiliko ndani ya simba. moja ya wazungumzaji atakuwa Mfumwa Mangara
  9. A

    MADA MOTO: JUMATATU KIPINDI CHA MADA MOTO SIMBA V/S SIMBA MABADILIKO

    kesho kwenye kipindi cha mada moto chanel ten albert kilalah (the king) atakuwa na viongozi wastaafu na waliopo madarakani kuzungumzia mabadiliko ndani ya simba. saa nne usiku live on channel ten
  10. A

    Mada moto: Leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, Vicent Mashinji ndani ya mada

    Leo kwenye kipindi cha mada moto Katibu Mkuu wa CHADEMA Vicent Mashinji atakuwa na Albert Kilalah (the king) wakizungumzia tamko la CHADEMA. Saa nne usiku, live on Channel ten.
  11. A

    MADA MOTO: Mkurugenzi Mkuu wa CDA Dodoma, Mhandisi Muragili na Kilalah

    Leo kwenye kipindi cha mada moto mhandisi Paskasi Mragili mkurudenzi wa CDA (mamlaka ya ustawishaji makao makuu) Dodoma ataongea na Albert Kilalah the king live on Channel ten saa nne usiku.
  12. A

    Mada moto: Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda atakuwa na Albert Kilalah

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda atakuwa ndani ya kipindi cha mada moto kuzungumzia mambo mbali mbali ya mkoa wa DSM live saa nne usiku CHANNEL TEN.
  13. A

    video studio machines

    kama una vifaa vya tv studio na unavikodisha tafadhali ni pm
  14. A

    Mada Moto: ADC V/S ADC live saa nne usiku Channel Ten

    Leo usiku kwenye kipindi cha mada moto tv show pand mbili ya chama cha ADC ambao zinapingana watakuwa na Albert Kilalah kuelezea mambo yanayohusu chama cha ADC.. live saa nne usiku.
  15. A

    Mada Moto: Sakata la sukari na uchumi wa Tanzania

    Albert kilala anazungumzia SAKATA LA SUKARI NA UCHUMI WA TANZANIA
  16. A

    Mada moto: CUF kutoitambua serikali ya Zanzibar na wabunge wao na kutokushiriki bunge

    Ijumaa saa nne usiku kwenye kipindi cha mada moto Albert Kilalah na wageni wake watajadili kuhusu wabunge wa CUF bara kushiriki bunge la muungano.
  17. A

    Mada moto live on Chanel Ten: Kuzorota kwa mizigo bandarini

    Leo kwenye kipindi cha mada moto live saa nne kamili kwenye channel ten mada itazungumzia kuzorota kwa bandari ya Dar es salaam nani wa kulaumiwa? Wageni ni rais wa malori Tanzania nd.Elias Lukumay na nd. Mkinga na mtaalam wa C & F.
  18. A

    Kipindi cha mada moto leo: Msigwa na Polepole wajadili Mada ya msaada wa MCC

    Leo kwenye kipindi cha mada moto live on Chanel ten Albert Kilalah atakuwa na Mh.Peter Msigwa na Humphrey Polepole wakizungumizia msaada wa MCC.
  19. A

    KIPINDI CHA MADA MOTO LEO KWENYE CHANNEL TEN

    Leo usiku albert kilalah atakuwa rais wa femata john bina na meneja uchimbaji mdogo wa stamico tuna bandoma wakizungumzia NI MIKAKATI GANI SERIKALI IMEFANYA KUHAKIKISHA SEKTA YA MADINI INAWANUFANAISHA WAZAWA?
Back
Top Bottom