Search results

  1. uhurumoja

    Uwanja wa JKT ni bora sana

    Baada ya kuona pitch ya JKT nadiriki kusema ndio pitch bora kwa Sasa nyuma ya Uwanja wa Benjamin Mkapa.
  2. uhurumoja

    Sioni umuhimu wa uwanja kwa yanga

    Wakuu haya ni maoni yangu kiafrika sioni umuhimu wa Yanga kuwa na uwanja wake wakati Kuna viwanja vitatu kwa dar anavyoweza Kutumia bila shida badala yake nadhani hiyo pesa ingejenga sport center nzuri itakayokuwa na hostel nzuri za pre season hospital ndogo ya kuhudumia wachezaji na wafanyakazi...
  3. uhurumoja

    Benchika, kocha mwenye bahati zaidi Tanzania

    Tangu aichukue Simba kutoka mikononi mwa Tinhowanaman Benchika amepata draw nyingi sana ndani ya mda mfupi draw hizi amezipata kwa team ndogo na za kawaida kabisa kama Namungo,Jwanengy,Azam na vipigo vya hapa na pale mfano kile Cha Mlandege (team dhaifu zaidi) na Wydad mbovu Pamoja na matokeo...
  4. uhurumoja

    Cape Verde kajua Kutumia AFCON

    Kuliko mataifa mengine yote cape Verde itapokea watalii wengi sana kutoka mataifa mbalimbali duniani ambao wataenda kuyaona Yale maua live. Japo wengi wanawapongeza wa SA kwa ushindi ila wengi wanasikitika kuwapoteza wale warembo kwenye TV zao kuanzia Jana sasa tutaendelea kumuangalia "Mama...
  5. uhurumoja

    Endapo Yanga na Simba zitakutana Final Mapinduzi cup

    Endapo Yanga na Simba zitakutana Final ya mapinduzi hiyo trh 13 basi itakuwa ni derby ya 3 ndani ya mda mfupi na wachunguzi wa masuala ya mpira wakiongozwa na Eddo Kumwembe wanasema huenda team hizi zikakutana nusu final ya Cafcl Hii mi naona inapunguza heshima ya derby hasa ikichukuliwa kuwa...
  6. uhurumoja

    Nimeingia mtandao wa X (Twitter)na kuondoka mwenyewe

    Yah sio mara ya kwanza kujiunga na mtandao wa X hii ilikuwa mara ya pili nikiamini labda mda huu ninaweza kumudu ila nikashindwa tena. X Kuna negativity sio za dunia hii. X kuna majadiliano yenye kuumiza na kuvunja sana moyo eg mgogoro wa Palestine na kule Nigeria north unaona yanayotokea hadi...
  7. uhurumoja

    Mapinduzi Cup

    Kwa wale wanaofatilia haya mashindano yenye ukwasi wa milioni 100 kwa mshindi wa kwanza na 80 kwa wa pili ambayo yameanza Leo wawe wanaweka updates hapa ili sisi watumiaji wa Dstv tujue Nini kinaendelea Mfano Leo bingwa wa mashindano hayo msimu huu kacheza na bingwa wa msimu uliopita je nani...
  8. uhurumoja

    Nilivyonusurika kifo Beit bridge

    Nimeona watu wakishare namna walivyopambana na baadhi ya matukio katika maisha Yao nami nimeona sio mbaya Leo nikaeleza namna nilivyonusurika kifo katika harakati za kutafuta maisha. Mwaka 2007 nikiwa kijana mdogo 18yrs niliamua kwenda kutafuta maisha South Afrika nikitokea Dar na hii ni baada...
  9. uhurumoja

    Imekuwa ngumu sana

    Katika siku za hivi karibuni imekuwa ngumu sana kumfariji mpenzi wako pale anapokwambia hayuko sawa na ukimuona haumwi maana wengine huwa wameuziwa na wapenzi wao so asipokupa sababu genuine una mpa pole na maisha yanaendelea
  10. uhurumoja

    Simba inasafiri bila Manula, Bocco kule Botswana

    Inaweza kuwa ni zama mpya ndani ya Simba au ni muendelezo wa sintofahamu iliyosababishwa na kipigo Cha goli 5 kutoka kwa club inayoongozwa na mwanyekiti wa vilabu vyote Afrika Hersi Said. Simba imewaacha nguli hao wa soka la ndani na nje ya nchi huku wakikabiliwa na mechi ngumu kutoka kwa...
  11. uhurumoja

    Napata nguvu kushangilia Al Hilal

    Ukiangalia ujumbe wa team ya Al Hilal ambao watatumia uwanja wa BWM kwa ajili ya mechi zake za CAFCL umebeba ujumbe mzito na umejaa weledi mkubwa mno. Hata lugha iliyotumika kuomba support ya mashabiki ni lugha inayoleta ujasiri na upendo hakika hii mechi si ya kukosa. Al Hilal vs Esperance...
  12. uhurumoja

    The Covenant

    Hii movie nadhani naiangalia mara ya 10 Guy Ritchie alitulia aisee.
  13. uhurumoja

    Nimeona nimpe maua yake Goodluck Paul wa Azam

    Huyu jamaa mtangazaji wa Azam tv hasa katika habari na mijadala ya kidiplomasia yuko vizuri sana kiutangazaji Nimeona nimpe maua yake akiwa hai jamaa anajua kuhoji kwa utulivu na kumpa nafasi muhojiwa kujieleza au kujibu pasi na uoga Bila shaka atakuwa amesoma SAUT chuo Cha mwanahabari nguli...
  14. uhurumoja

    Engineer Hersi anafanya uongozi wa soccer uwe mgumu

    Ndani ya muda mfupi Rais wa yanga ameset standard ambazo zinawasumbua sana viongozi wa vilabu vingine hasa Simba na Azam. Vilabu hivi pinzani na mashabiki wao wanaamini kuwa chanzo Cha mafanikio ya yanga ni uongozi imara na udhamini madhubuti wa Sheik Mansoor (GSM) na hii ndio ukweli ulivyo...
  15. uhurumoja

    Mashujaa Sasa wanaelekea kwenye kiwango chao

    Baada ya kupoteza kwa Azam goli 3 Leo tena mashujaa wamepigwa goli zingine tatu kutoka kwa Singida Big Stars. Mashabiki wamekiri kuwa team yao Sasa imepoteana.
  16. uhurumoja

    Je, Yanga kumpoteza Gamondi na Max!?

    Inafahamika kwa Sasa namna ambavyo team nyingi kubwa afrika kwa Sasa zinavyohangaika kutafuta makocha na wachezaji wazuri watakaoleta sio TU ushindi Bali pia mpira wenye furaha na burudani kwa mashabiki wao. Gamondi kocha wa yanga ameonesha kiwango kikubwa sana pamoja na mchezaji Max katika...
  17. uhurumoja

    Wydad yatinga final AFL

    Team ya wydad Casablanca imetinga hatua ya final ya AFL baada ya kuiondoa Esperance ya Tunisia Sasa Wydad itamngoja mshindi baina ya Al Ahly na Mamelody Uzito wa mechi unaonesha wazi kabisa team zetu (TZ) bado Zina safari ndefu kufika ubora wa team za UNAF
  18. uhurumoja

    AFL kuanza Leo ufunguzi ni pale Pretoria

    Iko hivi baada ya zile team wasindikizaji a.k.a wafa kiume ,wakujitahidi au wazee wa makosa madogo yakirekebishwa tutafika mbali Leo ndio AFL inaanza rasmi Macho na masikio ya wapenzi wa soccer barani afrika yanaelekezwa pale katika dimba la Loftus Versfeld stadium Pretoria ambapo team ya...
  19. uhurumoja

    Simba na Yanga ubingwa ni wao

    Nimefatilia mashindano ya AFL ambayo kimsingi yanahusisha team ngumu zaidi za Africa. Katika kuangalia kwangu naona kiwango Cha Yanga na Simba kwa hivi Sasa wanaweza kucheza na team yoyote Ile na kupata matokeo. Kwa msimu huu natabiri Yanga itafika final na huenda ikachukua kombe kabisa la...
  20. uhurumoja

    Viingilio Mechi ya Simba vimeonesha mnawajali mashabiki na hamna tamaa

    Nimefatilia viingilio katika mechi ya ufunguzi wa African football league ambapo kiingilio cha chini ni 7000 kwa kweli nimefurahishwa japo mimi ni shabiki kamili wa Yanga ila kwa hili Simba mmeonesha kuwajali mno mashabiki na kuepuka tamaa. Shida itakuja Hilo nyomi lake kwa hiyo nadhani itakuwa...
Back
Top Bottom