Search results

  1. mtzd

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba kama mtaongeza pia no nyingine kwa ufanisi zaidi ili moja ikiwa kwenye matumizi nyingine iwe inasaidia.
  2. mtzd

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tunashukuru , naomba kuuliza hizo no zinapatikana wakati gani. Kwani hiyo no ya Voda nilishawahi kupiga zaidi ya mara kumi bila kupokelewa na nilikua na tatizo la dharura. Nikaishia kupoteza fedha zangu za muda wa maongezi bila simu kupokelewa.
  3. mtzd

    Moto wateketeza kituo cha mafuta cha Petro - Azania Tegeta Dar

    Ni kweli nimepita hapo mida hii. Moto ni mkubwa sana. Kituo cha mafuta cha Petro. Gari za zimamoto ndio zinaelekea.
  4. mtzd

    Mnyika akielezea Ilani ya chadema/ukawa ITV sasa ivi

    Duh,Sera ya environment na mazingira !!!!
  5. mtzd

    Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Salama wadau,naona tuzo za Kilimanjaro music awards ndio zimeanza mlimani city na ziko live Clods tv na ITV, well naona kuna weakness zimeanza kuonekana,kuna jamaa yupo stage ndio mshika mic,Kwa nini wasingeweka stand kwa ajili ya hiyo Mic,kwanza wanamchosha,pili haileti Picha nzuri,mtu anataka...
  6. mtzd

    Sitti Mtemvu yuko Live Nirvana EATV

    Anaulizwa eti alizaliwa mwaka 1991 na kweye passport imeonyesha 1989 ipi ni kweli,anarudia kusema eti hayo yameshapita,amefunga ukurasa huo.sasa mbona haweki wazi.!!!!
  7. mtzd

    Sitti Mtemvu yuko Live Nirvana EATV

    Siti mtevu live on Nirvana,!
  8. mtzd

    Sitti Mtemvu yuko Live Nirvana EATV

    Aibu huyu dada,sasa kaja kwenye interview kufanya nini,eti kila akiulizwa umri wake anasema ameshafunga huo ukurasa, anaboa kweli!
  9. mtzd

    Whatsapp calling activation

    Great! inafanya kazi mkuu!!
  10. mtzd

    Waziri Saada Salum Mkuya ashindwa kujibu hoja za kamati.! Alia kama mtoto.!

    Mhmm hapo sasa? Duh huku Jf kuna mambo! Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  11. mtzd

    TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    Ishu sio kuwakosoa@ mwangalingimungu, yote uliyoyaongea ni sawa lakini hawajatoa ufafanuzi wa kueleweka na kama mdau hapo juu alivyosema wana chanel ya TBC2 kwa nini pia wasiitumie pale ambapo huku kuna vipindi ambavyo wanahisi ni muhimu kwao kuvionyesha. Tatizo na jinsi wanavyotoa maelezo...
  12. mtzd

    TBC1 & TBC2 Kurusha live mashindano ya fainali za kombe la dunia

    Wadau wapenda soka,taarifa ya habari ya mida hii ya TBC1 maneja wa vipindi alikua anaelezea jinsi baadhi ya vipindi vyao vitakavyo athirika kutokana na kombe la dunia, kuna jambo kaongea hapa mimi sijamwelewa, eti kuna baadhi ya mechi hawataonyesha bali watazirekodi na kuja kuzionyesha kesho...
  13. mtzd

    Je! wajuwa kuwa maisha unayoishi ndiyo Ibada?

    Touched by your words,kweli kabisa umenena ukweli ndugu. Tunaishi na Malaika humu humu duniani na Mungu anawatuma kwetu kwa njia mbalimbali,kama ndugu aliyetupa haya maneno. Mungu azidi kutuonyesha njia na kutubariki na kuwapa afya tele wote wale wanaotuonyesha njia sahihi za maisha. Ubarikiwe...
  14. mtzd

    Yanayojiri Bungeni leo Tarehe 19 may kikao cha 12 Bunge la bajeti

    Hivi huyu Hawa Ghasia anaelewa anachoongea eti anasema zamani waalimu walikua na uwezo wa kukaa miezi sita bila mshahara eti hawakalipwa mwezi wa nne wanalalamika. Kweli huyu ni waziri na mbunge anayewakilisha wananchi.aibuu hii! Hivi kweli kwa maisha ya sasa hivi mwalimu anaishije bila mshahara...
  15. mtzd

    Kumbe ishu ya kutekwa wasichana 20 nigeria ni changa la macho!

    Hilo nalo swali kwa kweli,inawezekanaje wazazi nao walie na kuhuzunika kwa kutekwa kwa watoto wao. Kama kweli ni ishu imetengenezwa ni kiasi gani wanalipwa. Tuwaombee kwa kweli wawe salama na wapatikane.
  16. mtzd

    Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA)2014 Live Updates

    Kuna jamaa kampokonya Maria Sarungi tuzo na wala sio yeye aliyeshinda. Aibu hii, hivi hawa watu wanaowasindikiza washindi wanakua na uelewa kweli! Duh nimeshangaa kweli!
  17. mtzd

    Poleni wadau wa Emirates, huo ndio muziki wa Pep Guadiola

    Na lingine, kati ya Ozil na robben nani alifanyiwa faulu iliyoonekana zaidi. Ukiangalia suala la penalti ya ozil haikua na uhakika sana kwani inaonekana kama alijigonga kwa bouteng ila refa ndio final wa kila kitu ,so inabidi arsenal wajipange, kwao itakua sio rahisi kama tunavyodhani. Nway huo...
  18. mtzd

    Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

    Vijana wa lumumba wameleta picha feki kijana kuwa makini,ili wapate cha kuongea,picha ya juu na ya chini tofauti ni kubwa sana,angalia shati la dr slaa picha zote mbili,zipo tofauti.
  19. mtzd

    Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

    Unakataa kuwa wewe sio masalia?
  20. mtzd

    Picha: Mapokezi ya Dr. Slaa Kigoma! [PHOTOS ARE FAKE]

    Naona upo live kutoka kigoma!!
Back
Top Bottom