Habari wanabodi
Naomba niingie kwenye mada, kama ni mtumiaji wa barabara ya Mandela na mfuatiliaji wa mambo nyakati za jioni utagundua kuna jambo la kutengeneza.
Iko hivi, wakati unatoka Ubungo kwenda Tazara au kinyume chake, mara nyingi utakuta foleni imeanzia mbali sana hata Mwananchi...
Wasalam wanabodi
Naleta kwenu hii mada kwa ufupi tu
Nimebahatika kufanya vibarua sehemu kadhaa, nimekutana na watu wenye taaluma mbalimbali ikiwemo wanasheria wasomi, wahandisi, walimu, wakulima na ndugu zangu hapo juu wahasibu n.k
Lakini katika experience yangu wahasibu wamekuwa watu wenye...
Naandika uzi huu kwa masikitiko makubwa.
Mhe. Amos Makala ukiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam na mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Dar es salaam.
Huu Mkoa ni kitovu cha biashara kwenye nchi hii, huu mkoa ndio una image kubwa ya nchi kibiashara, wageni zaidi ya 90% wako Dar...
Wakuu leo asubuhi hii waliopita barabara ya Airport (Pugu road) ni mashahidi kuwa pana foleni ndefu kwa sababu ya misafara ya viongozi, awali alipita Makamu wa Rais, baadae kidogo kukawa na foleni kubwa na askari wengi sana barabarani bila shaka itakuwa IGP naye anatoka kwake Chanika kwenda...
Habari wana JF
Nina ushauri mfupi tu kwa Serikali, kama itaona unafaa ifanyie kazi.
Iko hivi, askari Polisi bila kujali ni hawa khaki au FFU wanafanya kazi za kulinda raia na mali zao, watu hawahawa wanafanya kazi ya kulinda wanasiasa ambapo kila siku wanaona wanasiasa wanavyokula nchi...
Kwa ufupi sana, niliwahi kudate na mwanamke flani miaka ya nyuma mkoa flani sitautaja.
Tukapotezana kwa maana ya kuonana, ila mawasiliano yalikuwepo kwa simu. Juzi kati amekuja mjini kwa biashara zake, kaniahidi tutaonana kweli kafika tukaonana ilikuwa jioni sana.
Tukapata msosi tukaelekea...
Mkirusha matukio live mnaandika Mbashara hiki kiswahili cha wapi? Hili neno linaandikwa Mubashara msituletee mambo ya kihuni kama wale wapuuzi wanaotumia "X" badala ya "S", kuandika "hile" badala ya "ile" rekebisheni haraka msituandikie lugha za kihuni kama mmeishia chekechea.
Hiyo televisheni...
Habari za majukumu wakuu.
Pole na pilika za kutafuta maisha sambamba na kupambana na janga la Covid-19. Mungu ni mwema atatuvusha, tuendelee kuchukuwa tahadhari kujikinga na kuwakinga wenzetu.
Niende kwenye kiini cha mada yangu.
Kuna tabia flani imezuka au nisema labda ilikuwepo hata kwa...
Ram 6GB
Storage 128 GB
Battery 4000mAh
Imenunuliwa July mwishoni.
Kila kitu kipo utapewa mpaka risiti.
Haina scratch yoyote.
Bei 600,000 Tsh.
Sababu ya kuuza: Nataka hela nimefulia.
Simu iko Dar.
Mawasiliano: natokahapa@gmail.com
Au PM
Habari za wakati huu wadau
Siku za nyuma kidogo TCRA walianzisha mfumo ambao unakuwezesha kutuma imei namba kwa sms ya kawaida kwenda 15090 kisha wao hukujibu kwa kukutajia model ya simu yako.
Vile vile walianzisha mfumo wa online ambapo ukiingia tcra imei verification ukaweka imei namba ya...
Habari za wakati huu.
Niende kwenye mada moja kwa moja.
Jana nikiwa katika kijiwe flani hapa jijini kwa Makonda nilisikia watu wazima wakitoa malalamiko makubwa ambayo kiukweli yalinitisha.
Hoja zao zilihusu hospitali ya Mloganzila (ile branch ya Muhimbili National Hospital) iliyoko Kibamba...
Jumla ya watuhumiwa 17 wa makosa mbalimbali waliokuwa wamehifadhiwa kwenye ukumbi wa jengo jipya la Mahakama ya Mkoa wa Geita kusubiri mashauri yao kutajwa mahakamani, wametoroka katika mazingira ya kutatanisha.
Awali Mahabusu hao walikuwa wamehifadhiwa katika Ukumbi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Kawaida ya hoja hujibiwa kwa hoja, utafiti hupingwa kwa utafiti.
Iko hiviii wale ndugu zangu wanaomiliki au kutumia simu zinazotengenezwa na kampuni ya Tekno ndio hupendelea kutumia nyimbo za kawaida (muziki) kama miito ya simu zao, nyimbo za bongo fleva, reggae, nyimbo za kiingereza iwe rap...
Naandika hili moja kwa moja nikiwa ni muhanga wa jambo hili, naomba TCRA muingilie kati hizi meseji imekua kero sasa.
Kila dakika meseji ya kamari, uwe unacheza uwe hauchezi meseji utatumiwa tu.
Too much sasa mnaudhi aisee, mara Daka pesa, Instamoja, Weka bet n.k
Una block huyu anakuja...
Kama mko makini hasa hasa ME mtakubaliana namimi jamani wanawake kwenye awamu hii wanaomba hela sio mchezo.
Mtu unamtongoza leo asubuhi hata mzigo hujapewa kufikia jioni baby naomba hela nikanunue kile hiki mara kile.
Hata kama tunazo hata kama hatuna jamani sio kwa speed hiyo.
Hata akina...
Habari za wakati huu wana JF.
Sina mengi naomba mwenye ufahamu au uelewa na uhalali wa tangazo hili linalosambaa kupitia Facebook page ya Mhe. Ummy Mwalimu anipe ufafanuzi niondoe mashaka.
Ni Shirika la Msalaba mwekundu (Red Cross) linatangaza nafasi za ajira, jumla ya nafasi 100 kila Wilaya...
Sina maneno mengi leo.
Nataka kuwakumbusha wale tunaotarajia kuoa, kuolewa.
Katika kufuatilia kwangu haya mambo, nimebaini umaskini unakua kama chain.
Kama mwanaume wewe ni maskini na bahati mbaya ukaoa mwanamke kutoka familia maskini simply ni kwamba umaskini wako unaongezeka.
Kwanini? Kwa...
Habari za wakatu huu wana MMU.
Niende kwenye dhima moja kwa moja.
Nakumbuka enzi nasoma sekondari huko kijijini kwetu na baadae nikafanikiwa kuchaguliwa shule ya mbali, moja ya wosia niliokua napewa na mzee ni kuhakikisha nitakapohitaji kuoa basi nirudi kuoa nyumbani (kijijini kwetu) kikubwa...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana.
Nawapa taarifa hii mapema ili mchukue tahadhari dhidi ya wizi wa kitapeli kupitia tigo pesa.
Namba hii 0658 13**39, itakupigia kama mtoa huduma wa tigo, atajitambulisha vizuri kabisa, atakutajia location yako na atakwambia ni lini mara mwisho ulitembelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.