Search results

  1. wilbard athanass

    Manunuzi Amazon & Ebay. Seller hatumi mzigo kuja Tanzania

    wanajavi hii kuagiza mzigo nje imekaaaje maana niliagiza bidhaa china tarehe 13 mwezi huu naona mapak sasa bado haujatoka china huwa unakaa siku ngapi mpaka kunifikia
  2. wilbard athanass

    Aliyewahi kuwa mlinzi binafsi wa Kagame auawa Afrika Kusini

    Ni itakua ni hatari tupu hakuna urafiki wa jambazi na mtu ambaye siye jambazi
  3. wilbard athanass

    Kwanini Canaan alilaaniwa na sio Ham?!

    Nisoma japo ni muda mrefu nikaona leo kidogo nitolee majibu ni kwann ham hakulaaniwa uzao wa nuhu ulikuwa umebarikiwa na Mungu Ndio maana nuhu alishindwa kumlaani mtoto na laana zake zikaenda kwa mjukuu wake canan
  4. wilbard athanass

    195 gigapixel ndani ya picha moja.

    Hii picha ni hatari hii camera iliyo tumika duuuh
  5. wilbard athanass

    Je, ni kweli Dola leo hii inanunuliwa kwa zaidi ya shilingi 2300?

    Ikipanda kichwani ndio inakua hatari zaidi
  6. wilbard athanass

    Watoto wa Fatima: Mwanamke aliyewatokea ni nani na alisema nini?

    Hapa ndio ahali tunapolishwa matango pori
  7. wilbard athanass

    Biblia kwa Jicho Jingine

    Huyu jamaa kapotea wapi atupe mwendelezo
  8. wilbard athanass

    Elimu yetu

    Kuna shida kubwa sana hapa kwenye elimu yetu
  9. wilbard athanass

    Wema Sepetu abainika bado bikra 2018

    Kulogwa kubaya sana
  10. wilbard athanass

    Mtu mweusi: Kiumbe mwenye historia tata

    Link inazingua mbona
  11. wilbard athanass

    Ni kweli Waafrika tunastahili jina hili?

    Kk uko vizuri kuna baadhi ya vitu imenifungua kk sasa tuganyaje ili tutoke hapa izzo
  12. wilbard athanass

    Upi ni ukweli kuhusu bara la Atlantis

    soma mwanzo vizuri naona
Back
Top Bottom