Search results

  1. bintimzalendo

    Nawachukia wanaume

    duuuh! ata baba yako si mwanaume:A S angry:
  2. bintimzalendo

    Kwa mnaoishi mbali na wake zenu,Nitieni Moyo

    Hahahaha we sio naniliu wewe leo tulikuwa wote kwenye training kwel na umetoka kwa mkeo asubuh hii 😂😂😂
  3. bintimzalendo

    Sumu au Dawa ya kuua/kufukuza Popo kwenye Majengo

    Kwenye nyumba nnayokaa mwenye nyumba kaweka taa juu ya dari zinazowaka masaa 24 ili kuzuia popo, jaribun hii njia Inaweza saidia
  4. bintimzalendo

    Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    Kwa wanaopendA kuumwa magonjwa Ya moyo 😂😂😂
  5. bintimzalendo

    Human Resources Manager and Sales Executive wanahitajika

    Wawe na wateja wa uhakika 😇😇😇😇 Wenye vigezo watakuja muda si mrefu
  6. bintimzalendo

    Nahitaji line za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    Asante ankol ntakuwa makini
  7. bintimzalendo

    Nahitaji vifungashio

    habari zenu wanajamii forum<br>narudi tena kwa mara nyingine, nahitaji vifungashio (package) ya vikopo vya 250ml, 350ml na 500ml.<br>kwa anaeweza kunisaidia sehem ya kupata au anauza ivyo vifungashio kwa uhakika na naweza kuvipata muda wowote ntakaokuwa nahitaji na kwa idadi yoyote tuwasiliane...
  8. bintimzalendo

    Nahitaji line za Tigopesa, M-Pesa na Airtel Money

    habari wanajamii forum. nahitaji line za mpesa, tigo pesa na airtel money. nipo mwanza . 0652436216
  9. bintimzalendo

    Waliosomea fani tofauti na ualimu ndo walimu wa shule binafsi

    mbona watu wanasoma sociology na wanafanya kazi bank as bank tellers wengine wamesoma uhasibu wanafanya procurement...nk! WALIMU WENGINE MNAPENDA KULALAMIIIIIIIKA....aaaagh, MNATAKA TUWAONE KAMA SPECIAL GROUP, UALIMU NI FANI KAMA FANI NYINGINE BANA :suspicious::disapointed:
  10. bintimzalendo

    Chumba cha kupanga Mwanza

    Habari wadau, nahitaji chumba kimoja ambacho ni self mwanza. Maeneo kati ya Nera hadi Ghana (airport road). Kisiwe mbali sana na barabara
  11. bintimzalendo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Asanten wadau mmenipa mwanga mkubwa juu ya hiki kilimo. Inshaallah najiandaa nilime mwaka huu panapo majaaliwa ntawapa mrejesho.
  12. bintimzalendo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Kama unakampun naomba mawasiliano ya ofc/ yako binafsi
  13. bintimzalendo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Asante mkuu, inaonyesha unataarifa za kutosha kuhusu hiki kilimo na masoko yake. Naomba kukutafuta kama hutojali
  14. bintimzalendo

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Habar za asubuh wadau! Nimepata mashamba maeneo ya kisarawe na ninataka mwaka huu nilime ufuta. Nimesikia ufuta una soko zuri na uhitaji wake ni mkubwa. Naombeni taarifa sahihi juu ya ulimaji, upatikanaji wa mbegu, soko na msaada wa kitaalamu juu ya kilimo cha ufuta. Pia ntashukuru kama...
  15. bintimzalendo

    Ni aibu vodacom kuutumia uislam na yatima kibiashara

    Iyo inaitwa corporate social responsibility, na it is ethical kwa kampuni. Na sisi waislam hatuna tattizo na izo activity za makampuni coz ni kweli yatima wanauhitaj huo na maskini pia. Na sio mwez mtukufu tu, kampuni kama voda huwa wanafanya muda mrefu sana haya mambo na sio mwez wa ramadhan tu
  16. bintimzalendo

    Nahitaji mwanamke jamani

    Kila la kheri damuu, m/mungu atakufanyia wepesi utapata nusra
Back
Top Bottom