Search results

  1. SAYANSIKIMU

    Msaada: Sipati usingizi huu mwezi wa pili

    Ni Hatari sana kutafakari kitu chochote ukiwa umelala maana utaharibu ubongo. Unapolala. hakikisha. fikra zako na hisia zinakuwa free kwa kusikiliza. sauti mbalimbi kama upepo ndege wa nyama nk. Usijadili maada yoyotr uwapo umelala
  2. SAYANSIKIMU

    Msaada: Sipati usingizi huu mwezi wa pili

    Ni rahisi sana kabisa kuvuta usingizi kwa kufuata hatua hizi. 1.Kaa kitandani au lala vizuri. 2.Anza kusikiliza kwa making milio ya ndege,magari au vitu vyovyote mazingira ya nje lakini isiwe radio . Sikiliza kwa makini sauti za mazingira Natural sound muda mfupi stress zitaondoka na...
  3. SAYANSIKIMU

    Msaada: Virus wa ajabu na jeuri kwenye compyuta na Memory Card

    Nitawatoaje kwenye. Safe mode. Ni type code gani
  4. SAYANSIKIMU

    Msaada: Virus wa ajabu na jeuri kwenye compyuta na Memory Card

    Mimi nikiweka memory card mafaili yote yanageuzwa kuwa uuuuuu.uuu na haitokei option ya. kulipa pesa.Kama unafahamu namna ya kuwalipa. Au. kujilinda dhidi ya hawa virus naomba unisaidie
  5. SAYANSIKIMU

    Msaada: Virus wa ajabu na jeuri kwenye compyuta na Memory Card

    Mi hata si elewi wameingiaje maana. antivirus NAyo lakini ndo hivyo tena imeshambuliwa
  6. SAYANSIKIMU

    Msaada: Virus wa ajabu na jeuri kwenye compyuta na Memory Card

    Ngoja. nijaribu kutumia hii application. nitakupa feed back
  7. SAYANSIKIMU

    Msaada: Virus wa ajabu na jeuri kwenye compyuta na Memory Card

    Heshima zenu wakuu komputa yangu na simu yangu imevamiwa na kirusi cha ajabu nikichomeka memory card mafaili yote yanageuzwa na kuwa ma folder mengi zaidi ya mia yenye jina la uuuuuuu.uuuuu. Ubaya wa haya ma folder mengi hayafutiki. Kirusi hiki ni jeuri maana hata kama niki...
  8. SAYANSIKIMU

    Majanga haya!! Siamini macho yangu pamoja na kuhangaika kote nimeshindwa kufuta fai

    hakuna option ya kudelete.hawa waliotengeneza simu sijui wametengenezaji hawajaweka option ya delete
  9. SAYANSIKIMU

    Majanga haya! Pamoja na kuhangaika kote nimeshindwa kufuta faili kwenye android phone

    Nilikuwa na download file muda huu kwa bahati mbaya nimedowload file nisilolitaka basi nikasema nilifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file siioni.Nimebonyezabonyeza vitu vingi bado sijajua Nita delete vipi mafaili kama video Nisaidieni wadau maana...
  10. SAYANSIKIMU

    Majanga haya!! Siamini macho yangu pamoja na kuhangaika kote nimeshindwa kufuta fai

    Nilikuwa na download nyimbo asubuhi kwa bahati mbaya nimedowload nyimbo nisiyoitaka basi nikasema niifute sasa kitu cha ajabu na bonyezabonyeza kuangalia sehemu iliyo andikwa delete file siioni.Nimebonyezabonyeza vitu vingi bado sijajua Nita delete vipi mafaili kama video Nisaidieni wadau maana...
  11. SAYANSIKIMU

    MSAADA: Nataka Kuformat Write Protected DVD

    Heshima Zenu Wakuu.Mimi Nina DVD nyingi za movies mbalimbali nataka kuziforma lakini cha kusikitisha na cha ajabu sana kila nikijaribu kuformat naambiwa yo cant format this disk becouse it is write protected.Mimi natumia window sewen na kompyuta ya HP anayejua namna ya kufomati hizi dvd naomba...
  12. SAYANSIKIMU

    Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

    Poa Ngoja Nijaribu Huko Labda Na Weza Pata Ufumbuzi
  13. SAYANSIKIMU

    Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

    Ngoja Nijaribu Tena. Maana Nimefanya Hivyo Kwenye Hosting Moja Nika Sign Up.Lakini cha ajabu link za kuweka vitu vyangu siiona. Naona Matangazo Yao Tu Kila Niki Login.
  14. SAYANSIKIMU

    Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

    Mimi Ni Mwanafunzi Wa Chuo Nipo Kwenye Project Hivi majuzi niliwauliza ya kwamba Nimetengeza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za HTML sasa nataka kuiweka ONLINE. Nikauliza yoyote anaye jua jinsi ya kuiweka website online anisaidie lakini naona mnachuna tu JIsui mnataka nipate supplementary...
  15. SAYANSIKIMU

    Jinsi gani ya ku-host website, naomba msaada

    Nimetengeneza Website Yangu Kwa Kutumia Code Za Html Na Imekamilika.Lakini Sijui Nifanyajefanyaje Ili Iwe Kwenye Internet Ili Kila Mtu Aione. Anayejua Naomba Anielekeze Maana Nime Google Ili Nijue Lakini Nimeshindwa Kupata Maelezo . NAOMBENI MSAADA WENU WAKUU
Back
Top Bottom