Search results

  1. Bobwe2

    Mimi (wewe) ni nani haswa? Majibu yanaweza kufumbua fumbo la mwanadamu ni nani na asili yake pia hatima yake

    Hatuwezi kujijua sisi ni nani mpk kwanza tujue hii dunia imetokea wapi,kuna uhusiano mkubwa kati ya dunia na sisi,nahisi jibu la sisi ni nani analo alieleta hii dunia ambayo na sisi tumo.
  2. Bobwe2

    JKU ni JWTZ ya Zanzibar?

    Acha ujuha jku inamiliki silaha zote unazo zijua,halaf unalinganisha na mgambo wako,jku ni jeshi kamil
  3. Bobwe2

    Zanzibar ni nchi au Taifa?

    Tanganyika ilitaka kuimeza zanzibar imeshindikana,kuitema haiwezi na kuimeza haiwezi ipo kooni
  4. Bobwe2

    Wazanzibar: Muungano unatuumiza, unatupausha!

    Zanzibar wamechoka na mkoloni mweus full stop
  5. Bobwe2

    JKU na POLISI: Lipi lina hadhi kubwa zaidi Zanzibar?

    Ndani ya swali lako kuna jibu lako,ila kwa kukazia zaid polis wakishindwa jku inaamua.
  6. Bobwe2

    Nini majukumu ya majeshi ya Zanzibar?

    Kwa vile tanganyika haina jeshi kias uje na swali hilo,ipo hivi zanzibar ina kila kitu chake siku huu muungano wa magumashi ukiisha hili swali hutokaa uulize tena.
  7. Bobwe2

    Lini tutaacha Chuki? Hivi Wazanzibari hawatambuliki na Katiba kuwa Marais?

    Toka zanzibar ilipovamiwa na tanganyika jan12-64 hadi leo bado tanganyika hawajaweza kuimeza zanzibar,ni bora tu watanganyika mkawaachia wazanzibar na zanzibar yao .
  8. Bobwe2

    Natoa angalizo kwa siku ya kesho Jumamosi ya Juni 10, 2023

    Mwacheni mama apige kazi
  9. Bobwe2

    Nasema hivi sasa inatosha

    Kuweni wapole watanganyika,muungano huu ushaharimua maisha ya wazanzibar wengi,kaeni kwa kutulia
  10. Bobwe2

    Lini tutaacha Chuki? Hivi Wazanzibari hawatambuliki na Katiba kuwa Marais?

    Naona mnaangalia mlipo anguka,hamkai mkajiangalia mlipo jikwaa,watanganyika lazima muitoe tanganyika mlipoificha ili mambo mengne yaendelee.
  11. Bobwe2

    Mdude CHADEMA: Hii katiba haifai, Wazanzibari wanakuwa wakuu wa wilaya Tanzania bara huku Watanganyika hawaruhusiwi kuwa wakuu wa wilaya Zanzibar

    Watanganyika kwanza mujiulize huu ni muungano au ni ukoloni wa taifa moja kulitawala koloni jengine?huu si muungano
  12. Bobwe2

    Tuwe wakweli kwamba Nyerere alifanya vibaya kuua Uhuru wa Tanganyika na kugawa rasilimali za Watanganyika kwa Wazanzibari wasiotaka vyao kuguswa

    Ukweli hasa wadada wa tanganyika wakija zanzibar yale maumbo yao yanatupagawisha,nisilaumiwe
  13. Bobwe2

    Samia ni Rais wa chama chenu CCM, muungeni mkono kuleta Taifa la haki na umoja

    Mama anaupiga mwingi,mataga yamepoteana
  14. Bobwe2

    Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

    Acha ukuda,amir jeshi ni mzanzibar na safar hii lazima mnyooke watanganyika.
  15. Bobwe2

    Huu ndio Ulinzi wa Rais Samia Suluhu

    Ni zamu ya wazanzibar sasa,lazima kieleweke
  16. Bobwe2

    Mbowe, mkanye Lissu

    Mataga wanaamin lisu ndio kamuua mzee baba,wanaacha kupambana na israil mtoa roho wanapambana na lissu
Back
Top Bottom