Search results

  1. Tayo zeboss

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    NDOA: easy word to explain bt hard to used 2do it
  2. Tayo zeboss

    Ndugu wafidiwe pesa katika mitandao ya simu ikitokea wenye Akaunti zenye salio wameaga dunia

    Nyie ndio watu tunaowahitaji ktk jamii inayotuzunguka kwani mnawaza ambayo yapo ktk jamii yetu na tunaishinayo lkn kutokana na dhiki kuwa nyingi na changamoto za maisha tunakosa muda wa kufikiri kuyahusu.. Naunga hoja mkono mkuu.
  3. Tayo zeboss

    Nasubiri awe mume ndio nimpe tunda

    Kama jamaa kaleta posa then kakuvalisha pete ya uchumba na mahari amelipa mpe mzigo huo tena kiuno ukizungushe vzuri! La siivyo hakuna ndoa hapo.
  4. Tayo zeboss

    Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

    Kwaiyo mkuu unataka kuniambia hasili yako wewe kumbe ni nyani?
  5. Tayo zeboss

    Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

    Sifa ya kwanza; kwenye kanisa langu hakutakuwa na sadaka kbs wala hutaona vikapu vya sadaka Ila ukiguswa na mahubiri yangu ruksa kutunza! Kama wasanii wanaimba ujinga na wanatunzwa je, kwangu mtumishi siujinga kukataa? Sifa ya pili; bakora lazima ziwepo kwa7bu sadaka hakuna asa tubembelezane nn...
  6. Tayo zeboss

    Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

    Nyie si mmeshazoea kukumbatia uwovu na ujinga na kubembelezana ktk ibada zenu ili waumini walete sadaka lkn hamjui kuhubiri ile kweli ili watu waongoke na kumjua Mungu hivyo huwez nielewa maisha yako yote wala kuelewa topic zangu Kenge weee!
  7. Tayo zeboss

    Ubatizo wa kweli ni Maji Mengi au Maji Machache?

    Ubatizo ni kitendo cha imani tu yanii kuzaliwa mara ya pili kuacha maisha ya zamani na kuishi maisha mapya yaliomo ktk maandiko au maisha ya Yesu aliyoishi au yale aliyotufundisha, mtu akikupiga shavu la kulia mgeuzie na lakushoto, mtu akikuibia TV mwachie na king'amuzi vitu kama hivyo mkuu. NB...
  8. Tayo zeboss

    Uharamu wa vitu hivi uko wapi?

    Mkuu maswali yako yote mepesi tu; imani yangu inaniambia kupitia Yesu, "sichokiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi bali kile kimtokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. 2) hilo lakuongea chooni mimi naongoza maana chooni ndio sehemu yangu ya kufanya mazoezi yangu ya kuimba! Sasa hao...
  9. Tayo zeboss

    Namna ya kufanya ili nirejeshewe pesa ninazomdai mtu Shilingi milioni 105

    Ukiwa na pupa na ukiwa na roho nyepesi utapoteza haki yako maana maandiko yenewe yanakuambia "mawazo yenye bidii {ktk lengo au kusudi fulani} huelekea utajiri tu, Bali kila mwenye pupa huuelekea uhitaji. Kwaiyo kuja hapa na kuomba ushauri umekuja sehemu sahihi kbs kwa kuwa umeonyesha bidii ya...
  10. Tayo zeboss

    Nahitaji Mwanaume wa kunipa Ujauzito lakini hatohusika na Malezi ya Mtoto

    Kuna mtu anatakiwa kuuziwa mbuzi kwenye gunia [emoji85] lkn huko mbele huko kuna shida naiyona. hzo missions zpo Sana Ila shida inakuja damu ni nzito kuliko Maji. Ana dai ameshapata huyo mtu na anasifa zote lkn anaogopa jamaa acje akapenda mazima! Swali linakuja kwa huyo mtt atakuwa mali ya nan...
  11. Tayo zeboss

    Natafuta mwenza

    Nikikukabidhi moyo wangu Hivi utanitesa mie, Naogopa nikikukabidhi moyo wangu Nahofia utanitesa mie, Wewe mtoto wa mjini Umezoea bata, mimi sina hizo! Nimekuzwa kwenya dini Nisije kupa moyo, ukanizawadia pigo. peh peh peh peeeh [emoji448][emoji448][emoji448]
  12. Tayo zeboss

    Natafuta mwenza

    Mkuu enzi za ujana ulikuwa wap? Ila kama ulikuwa unatafuta bac mrembo amepishana na gari la mshahara!
  13. Tayo zeboss

    Samsung Galaxy S23 Ultra kuja na kioo flat tofauti na S22 Ultra

    we are waiting to announce the winner today
  14. Tayo zeboss

    Hamisa Mobetto ana roho ngumu sana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli wa bush turudi bush tuwaachie wenye mji wao
  15. Tayo zeboss

    Nina siku 4 tangu niende kwa Malaya

    Kweli leo nimeamini Mungu fundi.. maana nasikiaga kwenye amri 10 za Mungu kuna amri ina sema USIZINI. asa nikawaza, alafu nikajiulza, kwann Mungu akataze huu mchezo? Sasa leo jibu nimelipata kwako mkuu [emoji23][emoji23][emoji23]
  16. Tayo zeboss

    Rick Ross yuko makini sana na afya yake

    Huwezi kuwa mjanja bila kuwa mjinga, wala huwezi kuwa msafi bila kuwa mchafu.. tumpeni muda kidogo atatufaa sana kutuelimishia mabinti zetu miaka ya mbeleni.
  17. Tayo zeboss

    Phone4Sale Samsung galaxy tab a 7 (2016) bei sawa na bure

    Ipo katika hali nzuri sana, wala haina tatizo lolote; pia ni nzuri kwa kusomea hususa kwa wale wenye matatizo ya kuona vzur kioo kina inches 7.0 Full tablet specifications [emoji116][emoji116]...
  18. Tayo zeboss

    Story gani katika kitabu cha dini yako unafikiri ni hadithi ya ngano tu?

    Kama bado hujapata jibu hii storry niambie mkuu nikuweke sawa, ili uwelewe na uamini Kisha uwokoke na kumpokea Yesu.
  19. Tayo zeboss

    Hivi ni ubwege kumsaidia mke wako kufua, kupika na kwenda sokoni?

    Ninavyojua mimi, na ndivyo ilivyo upendo ni vitu wiwili vinaungana na kuwa kitu kimoja.. Yan hauzid Wala haupungui, hvyo Kama mkeo nafua alafu wewe unasuhuza na kuanika ni sawa kbs.. Kama wewe unapika Alf mkeo anaandaa mboga na viombo mezani ni sawa kbs.. Ila Kama unafanya hayo yote pekeako, Alf...
Back
Top Bottom