Marehemu baba alipofariki, msiba wake ulihudhuriwa na watu wengi Sana. Hata kwenda makaburini, watu walilazimisha jeneza libebwe kwa mikono. That made me feel good. Kwamba mzee alikubalika ndani ya jamii. Funerals are traditional! Hata wanyama wanaombolezana. Unapohudhuria msiba wa ndugu au...
Nadhani huyu ndie mchezaji wa kwanza kufariki uwanjani hapo Tanzania. Nadhani allikuwa mchezaji wa Simba, na alifariki kwenye mechi ya Simba na Yanga miaka ya 70. Nadhani jina lake likikuwa John Tindwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.