Search results

  1. P

    Upendo Peneza anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa baada ya John Heche

    Hoolah to the iron lady Upendo,so daring and ever determined...we have our sisters at home who simply say yes to everything...huyu mdada alijaribu maisha plus,akathubutu ubunge viti maalum 2010 akiwa kinda kweli kweli!!!Here she comes again and this time she gonna make it,tunahitaji independent...
  2. P

    Uhamiaji yaomba wananchi kuwataja Wahamiaji haramu nchini

    Rais Jakaya Kikwete akilagiza kukamatwa kwa wahamiaji haramu walio katika mkoa wa kagera,cha kusikitisha katika hili ni vigezo vinavyotumika kuwatambua wahamiaji haramu na hasa wale wa kutoka nchi ya Rwanda ni vya kusikitisha na vinakiuka haki za binadamu na kuleta uonevu uloikishiri hasa kwa...
  3. P

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    kauli ya Kikwete kuwa serikali ya Rwanda ifanye mazungumzo na FDLR imeweka majibizano makubwa kati ya hizi nchi mbili ambazo kama wananchi inabidi tusifurahie kwani vita sio kitu kizuri kwa maendeleo ya taifa letu. Pamoja na kuwa kauli hio ilitamkwa na rais wangu ila inautata mkubwa sana. Waasi...
  4. P

    Mangula ahamia rasmi kambi ya Urais ya Lowassa!!

    Yani alishindwa kufika kwa vikao kwasababu alikuwa kwenye fungate hivyo,ndoa ilimkosesha kikao.
  5. P

    Mtandao hatari: Washirika wa Ludovick waanza kubainika

    Watanzania wa leo si wa iaka ya 1960s,ni watu wanaowaelewa CCM na mbinu zao aza kuuwa upinzani ila waweze kupeta tena.Lazima wafahamu kuwa wakati wa mabadiliko ndio sasa na itaeleweka jinsi gani ambavyo wanataka kuiharibu amani ya nchi yetu kwa mateso ya wanaharakati wetu.
  6. P

    Swali: Hivi itakuwaje? Chadema 2015 ikashindwa ikashinda CCM

    Ulishawahi kufikiria faida za harakati za chadema kuwa hata Kama haitaingia Ikulu, itakuwa imetengeneza Jamii ya watanzania wapigania Haki yao.Watu ambao hawatakuwa tayari kuvumilia kwa kunyimwa haki zao ktk nchi yao
  7. P

    Wachambuzi kama Mwanakijiji Tusaidie Athari za Mikataba ya Wachina Afrika nk.

    Lazima tukumbuke kuwa Katibu Mkuu aw CCM alikwenda china na kutamkanwazi kuwa wanawakaribisha wachina kuja kuwekeza nchini Tanzania hivyo alienda kujitembeza sasa wamekuwa kusaini miaka tabia 17 ambayo hatujui utelekezwaji wake. Ni wakati wa kuangalia katiba tunayotaka ili mikataba iwe inapita...
  8. P

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Hajaacha mwenyewe hivyo asitudanganye kuwa eti kaacha mwenyewe ili kuja kulitumikia taifa lake.Sidhani kama anafaa hata kugombea urais bongo kwetu kama kweli alikuwa hatulii ofisini,ni kweli kwamba hata sisi hatatufaa kwa sababu, we need more than serious people sasa kuliendeleza taifa hili.
  9. P

    Maendeleo ya Mgomo wa Madaktari na Mwitikio wa Serikali

    kigezo cha kuwa wanaitaji mazingira kuboreshwa ni cha muhimu sasa na malipo yao pia yaangaliwe wasiishie tu kupewa elimu ya bure.serikali isikilize malalamiko ya watendaji wake hata kabla ya migomo ili kuepusha uvunjifu wa amani na watu kupoteza haki yao ya kuishi hasa katika mgomo huu wa madaktari.
  10. P

    Waingereza wamnanga Rais Kikwete!

    hata pamoja nakufikiria labda io statement inatokana na kukataliwa ushoga sawa LAKINI hamna ambacho kimesemwa kigeni ambacho watanzania hawajakiona na ujinga huo wote umekuwa ukijadiliwa ila hasikiii wala serikali yake haisikii.Tuko kwenye nchi ambayo haina vipaumbele ambao wataongea kilimo...
  11. P

    Nawaunga Mkono Madaktari

    Hivi kabla ya mgomo wagonjwa walikuwa wanapata huduma nzuri na watu walikuwa hawafi kwa sababu walikuwa wanapewa huduma nzuri mahospitalini? Watu walikuwa wanakufa na pia walikuwa hawapewi huduma nzuri lakini kwa mgomo huu huduma zimesitishwa na vifo vitaongezeka zaidi,kila mtanzania ana haki...
  12. P

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    kama niliwaelewa vizuri CHADEMA,nadhani kwa kuwa mara nyingi serikali imekuwa ikilalamika kuwa chadema wao ni maandamano tu wao wataki kisikiliza wala kupatana,nadhani wao kwenda kwa kikwete ilikuwa kutafuta suluhisho kabla ya kufanya maamuzi mengine ili kujaribu kutumia negotiations katika...
  13. P

    CHADEMA sasa KUINGIA GHARAMA ZA MISIBA NA MATIBABU YA WAHANGA WA MAANDAMANO

    Rest in peace ones who died in the fight.
  14. P

    Elections 2010 Kanuni za Uchaguzi 2010 na mgogoro wa Sheria ya Gharama

    sheria hii ipo kuwabana vyama pinzani na sheria hii kutaka vyama vingine kufuata utaratibu wa CCM ni makosa na huonesha kuwa sheria ilitungwa kukidhi matakwa yao.may democracy prevail na sheria hii kulekebiswa
  15. P

    Kujiandikisha Dar es Salaam

    Tarehe 22-27 Machi, 2010 ni tarehe za kujiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa wakazi wote wa Dar es salaam, wote ambao umri unazidi miaka 18 twende tukajiandikishe. Kitambulisho kikiwa kimehalibika maandishi kutoonekana vizuri,nenda ukajiandikishe upate kitambulisho kipya. Kama...
  16. P

    Balozi Ngaiza Afariki dunia!

    RIP Mh ngaiza,may ur good works be followed by others for the change of our country
  17. P

    Mradi wa nyumba 5000 wakwamishwa na Daniel Yona?

    ujenzi mwingi wa nyumba hugeuzwa kuwa nyumba za wenye pesa na hununua nyumba hizo kwa bei nafuu na kufanya mradi ni kwa matajiri kujiongezea,ujenzi mwingi wa nyumba kwa madai za bei nafuu kwa masikini.
  18. P

    CCJ waibukia kwa Nyerere

    vyama kuonganisha nguvu ni ndoto ila wananchi ndio waonganishe nguvu na kuunga mkono chama wanachoona kitawasaidia na kuepuka kugawa kura na kufanya viongozi wasiofaa kuendelea kuongoza
  19. P

    Mwanamke gani mashuhuri kuukwaa U-DC baada ya uchaguzi 2010?

    maendeleo hayata onekana kama ni kwa kufata umaarufu kwani wengi wanawake maarufu ila wanatofaitiana umaarufu wa aina zipi,uwezo wa mtu uangaliwe zaidi ili isiwe bora mwanamke ktk nafasi hizo bali mwanamke anayefaa katika utendaji na kusukuma kurudumu la maendeleo
  20. P

    Mwalimu's advice to mrisho kikwete

    with all that Mwalimu where you cant seen,the guy is struggling to have the next five years for a show off.trying with his government to correct today what they have failed to implement in the first round of presidency,I guess he needs a direct warning from you.
Back
Top Bottom