Search results

  1. koncho77

    Usiombe kukutana na mbwamwitu

    Hawa jamaa ni shida cheki alivyomla mtoto Mama anaona halafu na Mama nae akafata Mtoto katolewa tumboni hapo
  2. koncho77

    Planet Bongo na WCB

    Leo kipindi cha Planet Bongo huku Dj Summer na yale manjonjo yake balaa tupu kule Dula Planet mwenye Bongo yake mara paap nikasikia goma la Rayvanny na Zuchu Number One limechezwa hewani nimefurahi mnooo maana yake bifu limeisha kati ya EA RADIO na WCB
  3. koncho77

    Nyie mnaoomba na ya kutolea

    Wanawake mmefanikiwa kuchukua Nchi hii sasa. Kwa hiyo Muache na Tabia zenu za kuomba omba Nauli na Hela za Kutolea. Mjiheshimu sasa!
  4. koncho77

    Naisubiri Bongo Planet bila ya Dullah

    Leo nasikia Eti ndio anaondoka dah jamaa yupo talented sana sijui kipindi kitakuwaje bila ya jamaa.
  5. koncho77

    Hakuna kukata tamaa

    Kuna kitu mnatakiwa muelewe. Sio kwasababu unapambana kwenye kutafuta, basi utafanikiwa. Hapana. Ila usiache kupambana.
  6. koncho77

    Ukitaka kujua mpenzi wako ni mwanamke wa namna gani, kuwa karibu na marafiki zake

    Kama marafiki zake wa 4 ni malaya, basi yeye ni malaya wa 5.. Kama unataka kujua demu wako ni mwanamke wa aina gani, kuwa karibu na marafiki zake.. Marafiki zake watakuonyesha demu wako ni mwanamke wa aina gani..
  7. koncho77

    Usitoe toe hela kwa demu wako

    Wekeza hela zako kwa ajili ya future wife wako na watoto wako.. Kama zinakuwasha na unataka kuzitoa basi wape wazazi wako, ndugu zako au hata majirani zako.. Sio kumpa binti kisa eti ni mzuri, Inatakiwa apewe na wazazi wake kwa kumfanya awe mzuri na wakuvutia..
  8. koncho77

    Nikimpata wa aina hii naoa

    Kama Mwanamke Anadharau Mishe Zako, Achana Naye.. Kama Mwanamke Ana Heshimu Mishe Zako, Kuwa Na Mahusiano Naye.. Kama Mwanamke Anakusaidia Katika Mishe Zako, Muoe..
  9. koncho77

    Kuna aina tatu ya wanawake wanaoomba hela

    Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa.. Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
  10. koncho77

    Mama zetu naomba kuwaelewa

    The same same mother atanuna mwanae wa kiume akioa mwanamke aliyezaa. Possibly akamkataa even. The same same mother atamshukuru Mungu na kutoa sadaka mwanae wa kike aliyezalishwa akipata mwanaume wa kumuoa
  11. koncho77

    Unapomwona mwenye deni lako

    Kuna Huyu unamdai hakulipi Halafu bado hajijali anavuka barabara bila kuwa Makini, Mara anapanda bodaboda havai helmet, unaona kama Yupo Tayari kufa na deni lako, inauma Sana!
  12. koncho77

    Hii unaikuta Tanzania peke yake

    Ni Tanzania pekee unamtambulisha rafiki yako kwa rafiki yako mwingine then boom wanakua mabestie kukuzidi alafu wanaanza kukusema wewe na ukoo wako mzima.
  13. koncho77

    Eti ni kweli!!

    Nina uhakika humu ndani wote mnatumia miswaki ya tangu mwaka jana
  14. koncho77

    Double Chance

    .
  15. koncho77

    Confirmation Code ya Whatsapp

    Wakuu naomba msaada wenu nimeinstall whatsapp kwenye device yangu ila kila nikiverify confirmation code hawanitumii sms kwenye simu yangu
  16. koncho77

    Huyu ndio wa kuoa

    Kama Asubuhi Hii Ameamkia Kwako Kakupa Na Morning Glory Kisha Kapasha Kakiporo Kapilau Alipika Jana Kakutengenezea Na Chai Ya Maziwa Ya Unga Kamalizia Na Vyombo Vichafu Na Kudeki, Sahizi Kajilaza Pembeni Ana View Status Za Mashosti Walio Kuwa Out Jana. Bro Oa Huyo Mwanamke Sent using Jamii...
  17. koncho77

    Hii ni kweli?

    Ukiona mwanaume anamfungulia mwanamke mlango wa gari basi lazima kimojawapo ni kipya; gari jipya au mwanamke mpya.
  18. koncho77

    Lini ulitambua maana halisi ya unga wa dona

    Ulikua na umri gani ulipogundua kua neno unga wa dona, sio unga unaotokana na mahindi yasiyokobolewa bali ni unga wa msaada kutokana na njaa ya mwaka 1974 (unga wa donor)
  19. koncho77

    Zima Taa

    Ujinga ni pale mwanaume anaposema hawezi kupelekeshwa na mwanamke.. Wakati akiambiwa kazime taa anaruka Kama swala
  20. koncho77

    Ni huyo huyo kwenye sikukuu hizi?

    Bae uliokula nae xmas na mwaka mpya msimu uliopita ndie utakula nae msimu huu au ndo mwaka mpya na mambo mapya?
Back
Top Bottom